Karibuni kwa maswali yote ya kiafya

Mkuu nina shida ya meno kufa ganzi nikinywa soda aina ya pepis na nikitumia dawa ya meno ile white dent nyeupe shida ni nini?
Habari ndugu Ipananga
Bila kujali jinsi hali hiyo itokeavyo kama ulivyoeleza. Iwe kwa kunywa soda aina yoyote au dawa ya meno aina Fulani.

Kimsingi tatizo la meno kufa ganzi Mara nyingi hua likijitokeza hasa pale Mtu. anapotumia mswaki hadi zile blashe zake zinaisha ama kua ngumu.

Mswaki uliofikia hali hiyo ni hatari kwa afya ya meno, kwani ule ugumu, unaposwaki huenda kuondoa ile Lea ya nje ya jino.

Na mara nyingi hua inatokea hasa kwenye shingo la jino. Pale ambapo ufizi unaanzia.
Sehemu hii pamoja na Lea ya ndani ya jino.hua kuna vitundu vidogo vidogo hujitokeza ambapo hua vinaruhusu kitu chochote chenye tindi Kali. Ubaridi pamoja na umoto kupenya kiurahisi na kusababisha hali ya uganzi.

Lakini pia hali hii hua wakitokewa watu ambao hua wakilala huku wakisaga meno yao, tendo hilo hua likisababisha kuondoa ile Lea ya nje ya jino(enamel)

Lakini pamoja na hayo hali hiyo pia hua ikiwatokea watu ambao meno yao hua hayako imara hasa kutokana na upungufu wa madini ya casium.

Bwana ipananga ninakushauri fika hospitali ili uonane na wataalam wa meno ili wakufanyie uchunguzi.

Humu unaweza kuelekezwa dawa nyingi sana.
Lakini kumbuka kadiri unavyozidi kuelekezwa dawa bila uchunguzi wa kitaalam ndivyo unavyozidi kuchrlewa.

Ganzi inapotokea kwenye meno ni ishala inayoonyesha kuna vitu vina pita moja kwa moja hadi ndani.

Kwa hiyo wahi matibabu haraka kwa wataalam wa eneo hilo la meno.
Kabla hayajaathiriwa zaidi na kuitajika kung'olewa.
 
Habri yako Doctor, Tatizo la nguvu zakiume. Kuhawh kukojoa kwa haraka sana na kushindwa kurudia tena baada ya hapo, na ochovu mkubwa kufatia baada ya tendo hata mpaka siku mbili mbele.
Njema kabisa Mkuu.
Una umri gani ndugu! Je katika umri huo tayari umesha endeleza familia, tukiachilia mbali mke? Nina maanisha watoto.
Je una historia ya tatizo la kisukari?Ningependa ujibu hayo tafadhali ili lipatikane la kuzungumzia.
 
Habari ndugu Ipananga
Bila kujali jinsi hali hiyo itokeavyo kama ulivyoeleza. Iwe kwa kunywa soda aina yoyote au dawa ya meno aina Fulani.
Kimsingi tatizo la meno kufa ganzi Mara nyingi hua likijitokeza hasa pale Mtu. anapotumia mswaki hadi zile blashe zake zinaisha ama kua ngumu.
Mswaki uliofikia hali hiyo ni hatari kwa afya ya meno, kwani ule ugumu, unaposwaki huenda kuondoa ile Lea ya nje ya jino.
Na mara nyingi hua inatokea hasa kwenye shingo la jino. Pale ambapo ufizi unaanzia.
Sehemu hii pamoja na Lea ya ndani ya jino.hua kuna vitundu vidogo vidogo hujitokeza ambapo hua vinaruhusu kitu chochote chenye tindi Kali. Ubaridi pamoja na umoto kupenya kiurahisi na kusababisha hali ya uganzi.
Lakini pia hali hii hua wakitokewa watu ambao hua wakilala huku wakisaga meno yao, tendo hilo hua likisababisha kuondoa ile Lea ya nje ya jino(enamel)
Lakini pamoja na hayo hali hiyo pia hua ikiwatokea watu ambao meno yao hua hayako imara hasa kutokana na upungufu wa madini ya casium.
Bwana ipananga ninakushauri fika hospitali ili uonane na wataalam wa meno ili wakufanyie uchunguzi.
Humu unaweza kuelekezwa dawa nyingi sana.
Lakini kumbuka kadiri unavyozidi kuelekezwa dawa bila uchunguzi wa kitaalam ndivyo unavyozidi kuchrlewa.
Ganzi inapotokea kwenye meno ni ishala inayoonyesha kuna vitu vina pita moja kwa moja hadi ndani.
Kwa hiyo wahi matibabu haraka kwa wataalam wa eneo hilo la meno.
Kabla hayajaathiriwa zaidi na kuitajika kung'olewa.
Mkuu kweli wewe ni daktari hongera unanishawishi hata mimi kusomea
 
Ahsante dokta nitafanya hivyo
 
Njema kabisa Mkuu.
Una umri gani ndugu! Je katika umri huo tayari umesha endeleza familia, tukiachilia mbali mke? Nina maanisha watoto.
Je una historia ya tatizo la kisukari?Ningependa ujibu hayo tafadhali ili lipatikane la kuzungumzia.

Nina miaka 32
Sina watoto. nina mwaka mmoja ndani yandoa.
Sina historia yoyote la tatizo la kisukari.
 
Afu na dawa ya fangasi mkuu za kwenye makende
Bwana feyzal. (FANGASI).....ukitaka kujua dawa ya fangasi. Badiri lugha....mbona magonjwa mengine mnayataja na kiswahili? Badiri na hili ili tupate dawa yake.
FANGASI / UKUNGU.
Ndugu Feyzal Ukungu ni Matokeo ya tatizo Fulani ambalo linaweza kuwepo mwilini
Kimsingi ukungu ni tatizo la pili baada ya tatizo kuu. Bila kujali eneo ulipo huo ukungu.
Ukaona unaandamwa na matatizo ya ukungu Pendelea sana kufanya uchunguzi katika damu kuliko kutibu ukungu wenyewe. Ili upate chanzo cha tatizo la huo ukungu. Na kawaida ukungu hutibiwa mwisho.
Kama ambavyo unavyojiokeza mwisho baada ya tatizo.
Ama huisha wenyewe baada ya tatizo kuu kuisha.

Huwezi kutibu ukungu na ukaisha pasipo kutibu tatizo kuu ama tatizo la msingi. Bwana feyzal ninakushauri nenda katika kituo cha afya ili ufanyiwe uchunguzi.
Litalopatikana huyo ndo atakuwa mtuhumiwa wa huo ukungu.
 
Pole na majukum muanzisha Uzi Nina tatizo moja
Nasumbuliwa na tumbo kusokota n mda mrefu umepita hua linapona lakin kwa mda badae maumivu yamarud hasa mda wa asubuh na usiku pia likianza kuuma hua mpaka natoka jasho mwili unakua wa moto naomba msaada wako
Habari ndugu.
Ninakushauri nenda kapime Typhod.
Tuanze na hilo kwanza.
Ukiipima ukakuta Ipo tibiwa hiyo. Halafu kaa uangalie kama hali hiyo ya tumbo na umoto itaendelea.
Ikiendelea rudi. Tutakushauri tena mpendwa.

Lakini kama umeenda kupima hiyo Typhod na ikawa haijaonekana, rudi tutakushauri pia!
 
mkuu vp kwa mtoto anaesumbuliwa na utokaji wa uchafu masikion.. ametumia dawa nying za asil lkn wap bdo linatoa uchafu huwa linasimama kwa siku kadhaa lkn saiv bdo linaendelea ttzo itakuwa nn mkuu pia huwa analalamika linamuwasha kwa ndan
 
Je kuna watu wana shida ya ukosefu wa nguvu za kiume zoezi hilo wanaruhusiwa kufanya?
Habari bwana Dotto
Ni kwamba wana ruhusiwatu na itawasaidia kabisa, labda kama kutakua na tatizo zaidi katika afya ya uzazi.
 
Nina kitu kama uvimbe chini ya ulimi, mwanzo ilianza kama matezi nkafika hospital wakanipima wakasem niuvimbe wakawaida tu wakanipa ant biotic, nlipozitumia nkapona kabisaa Ila ndani ya wiki moja tu tangu nimalize dozi nmeona tatizo lmeanza kurudi tena, kwani uvimbe chini yaulimi unasababishwa nanini?
 
Nina miaka 32
Sina watoto. nina mwaka mmoja ndani yandoa.
Sina historia yoyote la tatizo la kisukari.
Ndugu inawezekana kutakua na shida katika Epidydimis.
Nimesema hivyo kwa sababu kuna dalili ya moja kwa moja inaendana na hilo. Swala la kufika kileleni mapema.
; MAPEMA; kipengele hiki mapema. Yani kufika kileleni mapema. Ni ashirio la kwamba semen (shahawa) zinakuja zikiwa hazina sperms(mbegu)kwa maana hiyo semen ni nyepesi sana. Na ndio maana unakua ukifika kileleni mapema sana.
Kanuni inatuambia kwamba kadiri shahawa semen zinapozidi kua nyepesi ndivyo pia humfanya mhusika kua mwepesi zaidi kufika kileleni.
Ni mwaka mmoja toka uoe na hamjapata mtoto.
Hilo pia limenifanya nishuku Mrija wa Epidydimis una matatizo hasa matatizo ya kuziba.
Mapenzi ya ndoa mwaka mmoja ni mapenzi mapya na ni mapenzi moto moto hasa kwa umri kama huo.

Ndugu mwaka mzima mkeo awe haja pevusha mayaitu? Au mue mnapishana nazotu hizo siku za kupevusha mayai mwaka mzima? Mapenzi mapya unakutana na mkeo Mara moja kisha unachoka hadi siku mbili? Halafu mapenzi nimapya.
Ndugu dos twenty twenty. Tatizo utakua unalo ambalo linaweza kusababisha ukashindwa kuitwa baba na mkeo kushindwa kuitwa mama.
Ninakushauri fika haraka Hospitali. Usihofu kabisa ndugu.
Pale utakutana na wataalam wa eneo hilo.
Lakini kabla hujaenda ningependa upime magonjwa mengine ya kiafya. ikiwepo kisukari.kwani hili swala la kuchoka huko uliloeleza ina wezekana ukawa pengine na magonjwa mengine yalio athiri mrija huo.
Na kufanya hivyo
Kutamfanya hata daktari, kufupisha muda na kutotumia muda mrefu kuamua.
 
Nikojoa kwa nguvu au nkiubana mkojo uume unauma hali inayopelekea nikose raha
Habari bwana Ronzobe.
Mi nikushauritu kwamba nenda kapima VDRL. Kwani maelezo yako. Yanakushitaki kua Mrija unaopitisha mkojo hauko sawa.
Mi Sitaki upime mkojo kwakua najua kuna kitu kitakutwa kwenye mkojo na ndio kitatibiwa hicho. Hilo mi silitaki nataka utibiwe tatizo halisi.
 
mkuu vp kwa mtoto anaesumbuliwa na utokaji wa uchafu masikion.. ametumia dawa nying za asil lkn wap bdo linatoa uchafu huwa linasimama kwa siku kadhaa lkn saiv bdo linaendelea ttzo itakuwa nn mkuu pia huwa analalamika linamuwasha kwa ndan
Habari ndugu Hosh Kosh
Ndugu kwakua umesha sema tatizo ni la muda mrefu Tafadhali tusiongeze muda wa kuzidi kuathirika mtoto na wala siitaji kujua ana umri gani.

Jambo la maana kwako ni kumpeleka mtoto hospitali kwa wataalam wa eneo hilo. Pale cha kwanza watamfanyia vipimo vya C/S ya huo uchafu unaotoka sikioni. Pamoja na mambo mengine yataendelea.
 
Habari ndugu:
Naomba nikuulize kwanza kabla ya kujibu swali lako.
Je Na mate mdomoni hua yanakauka? Au kuhisi kinywa kua kikavu?
Mate hayakauki ila mdomoni ndani kule kwenye koo kwenye yale matezi mawili la kulia na kushoto yamekuwa na vitu kama vidonda kumeweka doti doti nyeupe na kuna wekundu na vidot vingne vya rangi kama cream nikiingiza kidole nikikwangua kwa nguvu kinatoka kipande cha kitu kinatoa harufu Kali sana ukikiminya kinaminyika au wakati mwingine hata nikikooa vinatoka hvyo vtu mdomon ukikiminya kinapasuka ila kinanuka sana, kwa nje sasa upande wa kulia ndokuna kauvimbe kwa nje hukioni ila ukishika unaskia kama kigololi hv sahv kinanipa maumivu nikikishika
 
Ndugu inawezekana kutakua na shida katika Epidydimis.
Nimesema hivyo kwa sababu kuna dalili ya moja kwa moja inaendana na hilo. Swala la kufika kileleni mapema.
; MAPEMA; kipengele hiki mapema. Yani kufika kileleni mapema. Ni ashirio la kwamba semen (shahawa) zinakuja zikiwa hazina sperms(mbegu)kwa maana hiyo semen ni nyepesi sana. Na ndio maana unakua ukifika kileleni mapema sana.
Kanuni inatuambia kwamba kadiri shahawa semen zinapozidi kua nyepesi ndivyo pia humfanya mhusika kua mwepesi zaidi kufika kileleni.
Ni mwaka mmoja toka uoe na hamjapata mtoto.
Hilo pia limenifanya nishuku Mrija wa Epidydimis una matatizo hasa matatizo ya kuziba.
Mapenzi ya ndoa mwaka mmoja ni mapenzi mapya na ni mapenzi moto moto hasa kwa umri kama huo.

Ndugu mwaka mzima mkeo awe haja pevusha mayaitu? Au mue mnapishana nazotu hizo siku za kupevusha mayai mwaka mzima? Mapenzi mapya unakutana na mkeo Mara moja kisha unachoka hadi siku mbili? Halafu mapenzi nimapya.
Ndugu dos twenty twenty. Tatizo utakua unalo ambalo linaweza kusababisha ukashindwa kuitwa baba na mkeo kushindwa kuitwa mama.
Ninakushauri fika haraka Hospitali. Usihofu kabisa ndugu.
Pale utakutana na wataalam wa eneo hilo.
Lakini kabla hujaenda ningependa upime magonjwa mengine ya kiafya. ikiwepo kisukari.kwani hili swala la kuchoka huko uliloeleza ina wezekana ukawa pengine na magonjwa mengine yalio athiri mrija huo.
Na kufanya hivyo
Kutamfanya hata daktari, kufupisha muda na kutotumia muda mrefu kuamua.

Asante sana mkuu.

niliwah kukutana na daktari mmoja akaniambia nina upungufu wa uzalishaji wa sparm,

Ushauri naomba, ni spitali gani au ya aina gani nijalibu kwenda.

na jea kama kuna vyakula au first aid yoyote ya kuweza kunisaidia kwa kuanzia?
 
Nina kitu kama uvimbe chini ya ulimi, mwanzo ilianza kama matezi nkafika hospital wakanipima wakasem niuvimbe wakawaida tu wakanipa ant biotic, nlipozitumia nkapona kabisaa Ila ndani ya wiki moja tu tangu nimalize dozi nmeona tatizo lmeanza kurudi tena, kwani uvimbe chini yaulimi unasababishwa nanini?
Habari kwastlema!
Ndugu unasema ulienda hospitali wakakupima wakakueleza ni uvimbe wa kawaida.
Hivi! Hayo unayooeleza ni maelezo yako, au ni maelezo ya daktari?
Kwa kweli nimekua na mashaka juu ya maelezo yako. Kwani daktari anapokupima tegemea majibu ya aina mbili. 1 Tulipokupima tumegundua tatizo. 2 hatujagundua tatizo.
Sasa Mimi nikuulize ulipimwa nini wewe! Kuhusu tatizo hilo? Hadi ukaambiwa uvimbe ni wa kawaida!
 
Back
Top Bottom