Search results

  1. Maxmizer

    UGANDA: Bobi Wine aachiwa huru kwa dhamana,arudi uraiani akitembelea magongo

    Mwanamuziki maarufu nchini Uganda ambaye pia ni Mbunge wa jimbo la Kyadondo, Bobi Wine ameachiwa huru kwa dhamana leo Agosti 27, 2018 na Mahakama Kuu mjini Gulu. Bobi Wine Robert Kyagulanyi a.k.a Bobi Wine amekuwa akizuiliwa na jeshi la polisi kwa takribani wiki mbili nchini humo amepewa...
  2. Maxmizer

    Nigeria: Boko haramu Wachoma moto Kijiji kizima na kuua watu wawili kwa kuwachoma moto wakiwa hai

    Kundi lenye itikadi kali za Kiislam la Boko Haram,jana limechoma kijiji kizima kilichoko Kaskazini Mashariki mwa nchi ya Nigeria,na kuua watu wawili kwa kuwachoma wakiwa hai. kwa mujibu wa Shirila la habari la AFP,lililowakariri baadhi ya wananchi,na vyanzo vya usalama,Boko Haram,limetekeleza...
  3. Maxmizer

    Kukabidhiwa kwa John Tshibangu

    kama habari inavyosema, Serikali ya Congo DRC yathibitisha kukabidhiwa kwa askari wa jeshi la congo aliyekamatwa nchini Tanzania hivi karibuni DRC govt confirms extradition of rebel colonel
  4. Maxmizer

    WhatsApp waruhusu video za Youtube kucheza moja kwa moja kwenye whatsapp.

    kama kichwa cha habari kisemavyo kinachotakiwa ni ku update whatsapp yako ,enjoy
  5. Maxmizer

    Iyunga, Mbeya: Ajali ya gari la Polisi (FFU)! Wawili wafariki dunia na tisa wajeruhiwa

    Jioni hii kumetokea ajali ya gari ya polisi aina ya defender Mbeya iliokuwa ikipeleka askari wa FFU lindoni wamefariki 2 na majeruhi 9, ======== UPDATES: Ajali ya gari kuacha njia kupinduka na kusababisha vifo na majeruhi - Mnamo tarehe 18.01.2018 majira ya saa 16:45 hrs huko maeneo ya...
  6. Maxmizer

    Katuni za Masoud

  7. Maxmizer

    Dar: Moto wawaka kiwanda cha bora usiku (Januari 13, 2018)

    Inasemekana moto mkubwa umezuka kwenye moja ya jengo na kusababisha taharuki miongoni mwa wakazi wa karibu na Quality Center, Barabara ya Nyerere jijini Dar. -Chanzo chake hakijafahamika wala madhara yaliyosababishwa na moto huo. -Tunaendelea kufuatilia undani wa taarifa hii global onlinetv
  8. Maxmizer

    New York Port Authority attack: Man held after Manhattan blast

    A man is being held after an attempted terror attack at New York City's main bus terminal. "Terrorists won't win," Mayor Bill de Blasio said after a blast at the Port Authority terminal in Manhattan during the morning rush hour on Monday. The suspect, Akayed Ullah, a 27-year-old Bangladeshi...
  9. Maxmizer

    Hivi kwanini wanawake hampendani?

    Habari wakuu poleni na majukumu ya kila leo natumaini wikiendi ilienda vizuri, Leo nipo na wakina mama/wanawake nauliza kwanini hampendani, nimefanya utafiti mdogo tu wa kuchunguza kila usafiri wa public/daladala nikagundua hampendani wala kuoneana huruma. Unakuta kapanda mdada ama mmama...
  10. Maxmizer

    Hackers wafanya yao website ya UDSM

    hackers kutoka Tanzania waingilia tovoti ya universtiy of dar es salaam kitengo cha aquatic wanadai serikali inawasomesha lakini ajira wanapeana kindugu na zoezi hili ni endelevu aquatic.udsm.ac.tz
  11. Maxmizer

    Je hii ni kweli kuhusu mita mpya za TANESCO?

    habari wanajamvi Jf niende kwenye mada moja kwa moja kuna habari ambazo nazisikia(sina uhakika) kuhusu kutumia mita mpya kwamba ikiwa mpya ili usiwekwe kwenye list ya wanaotumia umeme mwingi na kuwekwa list ya tarrif 4(sina uhakika kama ndivyo inavyoandikwa kitaalamu) hivyo kupelekea kununua...
  12. Maxmizer

    Hivi kipofu huwa anaota nini??

    Za jioni wakuu,swali hili niliulizwa na tukajadiliana na marafiki kadhaa lakini hatukupata jibu hebu tushirikiane kutoa mawazo. Kipofu akiota ndoto huwa anaona nini akiwa ndotoni nawasilisha
Back
Top Bottom