Hivi kwanini wanawake hampendani?


Maxmizer

Maxmizer

JF-Expert Member
Joined
Aug 14, 2016
Messages
4,005
Likes
3,317
Points
280
Maxmizer

Maxmizer

JF-Expert Member
Joined Aug 14, 2016
4,005 3,317 280
Habari wakuu poleni na majukumu ya kila leo natumaini wikiendi ilienda vizuri,

Leo nipo na wakina mama/wanawake nauliza kwanini hampendani, nimefanya utafiti mdogo tu wa kuchunguza kila usafiri wa public/daladala nikagundua hampendani wala kuoneana huruma.

Unakuta kapanda mdada ama mmama mjamzito, mwenye mtoto mdogo ama mzee nilitaraji wao ndio wawe wa kwanza kuonyesheana upendo na huruma kwa kuwapisha kundi hili la watu lakini inakua kinyume kabisa wanakaa kimya na miwani ya tinted wanavaa ghafla kwamba hawajamuona inabidi wanaume ndio wawapishe hawa wajawazito, wazee na wenye watoto wadogo.

Hii si nzuri abadani leo wewe upo sawa ila baadae nawewe utakua mjamzito , utakua na mtoto mdogo,utakua mzee utahitaji kufanyiwa favour hii hii kwa abiria wenzako.

Naomba/Nashauri tuacheni tabia hii pendaneni kama mnavyopendana mkiwa saloon, mkipiga soga, kwenye sherehe zenu na vikundi vyenu.

AHSANTENI
 
Norshad

Norshad

JF-Expert Member
Joined
Jun 3, 2013
Messages
3,448
Likes
6,364
Points
280
Norshad

Norshad

JF-Expert Member
Joined Jun 3, 2013
3,448 6,364 280
kwa hili naunga mkono hoja, tena unakuta ndo anajifanya yupo bize kishenz, aisee mimi huwa nawalipiia na nauli kama nipo fresh, kama ndio kwenye mwendomdundo nawapisha tu kiroho saaafi
 
Nahirat

Nahirat

JF-Expert Member
Joined
Jul 31, 2017
Messages
607
Likes
927
Points
180
Nahirat

Nahirat

JF-Expert Member
Joined Jul 31, 2017
607 927 180
Hii thread imejirudia tusha comment via kutosha mstuchoshe
 
Sakayo

Sakayo

JF-Expert Member
Joined
Sep 10, 2015
Messages
35,692
Likes
103,733
Points
280
Age
30
Sakayo

Sakayo

JF-Expert Member
Joined Sep 10, 2015
35,692 103,733 280
Inategemea Mkuu.... Kwanza ni kipi kinakufanya umchukie mwingine????

Sio wote wenye chuki
 
Simara

Simara

JF-Expert Member
Joined
Oct 1, 2014
Messages
4,178
Likes
10,652
Points
280
Age
46
Simara

Simara

JF-Expert Member
Joined Oct 1, 2014
4,178 10,652 280
ha ha ha umenichekesha hapo kwenye tinted utakuta anachukua na simu anaanza kuchat, ila kiukweli kama nimechoka simpishi huwa naishia tu kusema Mungu nisamehe
 
rikiboy

rikiboy

JF-Expert Member
Joined
Feb 19, 2017
Messages
5,153
Likes
5,376
Points
280
Age
41
rikiboy

rikiboy

JF-Expert Member
Joined Feb 19, 2017
5,153 5,376 280
Yanii wamama huwezi kuta kampisha mzee au mjamzito au mgonjwa akae..!! Kamwe... Sema saa nyingne ina keraa unaweza mpisha mmama akae na ujauzito wakee au na mtoto afuu Hata Kusemaa Ahsanteee hakunaaaa na hapo.ukute mnaenda mbali sana..!! Huwa nakerekaa piaaa sana tuuu... Wanadhani sijui ni wajibu wetu kuwapishaaa... Ndo maana saa nyingne huwa najikausha... Wabibi lazima aseme ahsante...shida wamama yanii!!
 
Low Battery

Low Battery

JF-Expert Member
Joined
Jan 27, 2015
Messages
207
Likes
118
Points
60
Low Battery

Low Battery

JF-Expert Member
Joined Jan 27, 2015
207 118 60
Kuna ukweli hapo Mkuu.. hawa viumbe sijui wana matatizo gani?
 
Hajar

Hajar

JF-Expert Member
Joined
Mar 12, 2014
Messages
25,498
Likes
66,029
Points
280
Hajar

Hajar

JF-Expert Member
Joined Mar 12, 2014
25,498 66,029 280
Mi nionavyo kwa kuwa mmeshatujua basi nyie wanaume jitahidini kuwapisha wakae nadhani itasaidia na kufanya kutokupendana kwetu kusionekane. Ila kusimama saa nyingine. Mmh.

Pia nikwambie tu sio kwenye madaladala pekee hata makazini, mitaani, kwenye biashara yaani sehemu zilizo nyingi wanawake hatupendani kwa sababu tulio wengi tuna roho za wivu na hiyo ndio sababu kuu yaani ni kumi kwa mmoja wenye kuona mwanamke mwenzangu kafanikiwa namimi nichape kazi nimfikie tulio wengi tunawaza aharibikiwe.

Hivyo tusameheni tu saa nyingine.
 

Forum statistics

Threads 1,237,968
Members 475,809
Posts 29,308,196