UGANDA: Bobi Wine aachiwa huru kwa dhamana,arudi uraiani akitembelea magongo

Maxmizer

JF-Expert Member
Aug 14, 2016
4,807
4,215
Mwanamuziki maarufu nchini Uganda ambaye pia ni Mbunge wa jimbo la Kyadondo, Bobi Wine ameachiwa huru kwa dhamana leo Agosti 27, 2018 na Mahakama Kuu mjini Gulu.


Bobi Wine
Robert Kyagulanyi a.k.a Bobi Wine amekuwa akizuiliwa na jeshi la polisi kwa takribani wiki mbili nchini humo amepewa dhamana pamoja na wabunge wenzake watatu, akiwemo Mbunge mteule wa jimbo la Arua.

Kwa upande mwingine Mahakama hiyo pia, imewaachia watuhumiwa nane kwa dhamana, wote wanadaiwa kuhusika kurushia mawe msafara wa Rais Yoweri Museveni wakati wa kampeni za uchaguzi mdogo wa jimbo la Arua.

Source:bongo5
 
Back
Top Bottom