Katuni za Masoud

Maxmizer

JF-Expert Member
Aug 14, 2016
4,806
4,215
2c4b51c1471ea413ac5245af96a77c88.jpg
 
uhalisia na takiwimu za kwenye spreadsheet ni vitu viwli tofauti.

kauli za anayepulizwa na kiyoyozi tangu aingiapo garini mpaka ofisini kwake na yule anayepigwa na jua huku akisaga soli ya kiatu/malapa kwenda kujitafutia chochote ni vitu viwli tofauti kabisa
 
Massoud anapoteza sifa ya katunist. Amekuwa ni kama chama cha Upinzani Ona hata anavyoargue issues asubuhi Amekuwa not reasonable. Yuko biased. Hawaulizi maswali magumu. Huwezi mwana akizungumza Upinzani kama mtangazaji. Ila uzuri anajua soko lake mnatakaje
 
hebu weka hata katuni moja inayo sifia utawala from around the world hasa hizi ambazo lengo lake ni kufichua aima fulani ya tatizo
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom