Search results

  1. gidlameck

    2021 ilikuwa ya moto sana kwangu

    ile january tu mahusiano yalinichapa kisawasawa ,nikajaribu kulima mvua ikazidi mazao yakaenda na maji, mwezi wa 8 nilipata tuhuma kali ya kutembea na mke wa mtu yule mama hata sijawahi kumsemesha ila nilivyofuatilia kumbe kuna siku rafiki yangu alikuja ninakoishi kunicheki mda huo yule mama...
  2. gidlameck

    Jinsi sogea tuishi ilivyoharibu thamani ya ndoa

    Sasa hivi kumekuwa na wimbi kubwa sana la ndoa sogea tuishi hali iliopelekea kupoteza na kuondoa heshima na ladha ya ndoa kwa ujumla. Unakuta binti jioni yupo kwao asubuhi mnaamka mnamwona kwa John ukiuliza utaambiwa kaolewa unajiuliza mbona ndoa zimekuwa rahisi hivi kumbe sogea tuishi. Baada...
  3. gidlameck

    Dar bwana ukifanikiwa kufika lazima utaona tofauti

    Ukifanikiwa kufika Dar hakika utaona tofuti kubwa sana na miji mingine ila utofauti upo kwa wakazi wake. Dar kila mtu mjanja, ukifika Dar baada ya muda utavuliwa tu uraia wa mkoani iwe kwa kutapeliwa ama kukabwa ni kama utaratibu halali ila mimi najiuliza ile mihongo, vipande vya nazi, karanga...
  4. gidlameck

    Mwenye uelewa na masuala ya mikopo Benki naomba anieleweshe suala hili

    Kuna ndugu yangu ambae kwa sasa ni marehemu alifariki mwezi wa 2 mwaka huu huko Arusha baada ya mazishi vikao vya kifamilia vilifanyika na kikubwa ilikua kuhusu mali za marehemu pamoja na watoto marehemu alikua na watoto 3 ndani ya ndoa na 2 nje ya ndoa lkn hawa wa nje ya ndoa walikua...
  5. gidlameck

    Naomba kuuliza

    hivi ukiwa umetoka kanisani na una hisi njaa na nyumbani pana ka umbali unaweza kupita ama kuingia bar ukapata japo supu au mchemsho ? Sent using Jamii Forums mobile app
  6. gidlameck

    Saudi Arabia: Mwanamke amshataki mume wake kwasababu ya kumpenda sana

    Kuna story niliisoma jana imetokea huko Saudi Arabia kuna dada amemshataki mume wake kwasababu mume wake anampenda mno. Alihojiwa na mahakama amewahi kukupiga au kukufanyia fujo akasema hapana tangu wameoana hajawahi kumfanyia jambo lolote la kumvunjia amani kitu ambacho dada hapendi...
  7. gidlameck

    Kwanini wanawake hawana upara (walaza)

    Katika pitapita zangu sijawahi kumuona mwanamke ana upara kichwani. Je hivi vipara automatically ni kwa wanaume tu au wao huwa wanaficha na mawigi.?
  8. gidlameck

    Unawezaje kuhimili pindi unapoachwa na mke au mpenzi wa dhati?

    Niende moja kwa moja kwenye maada nawauliza hasa wanaume wenzangu hivi mnawezaje kuhimili pindi unapoachwa na mke au mpenzi wa dhati maana naona kama kwangu imekuwa gunia la misumari ndani ya moyo nimekuwa mteja gafla wa bar jirani pia nimeshindwa hata kufanya kazi na mbaya zaidi suruali...
  9. gidlameck

    Hivi ni biashara gani kwa hapa dDar bado inawateja

    wakuu poleni na mihangaiko ya kila siku napenda kuuliza ni biashara ipi ambayo bado ina wateja maana naona vijiwe vingi vimepoa kweli kweli
  10. gidlameck

    Wanaume unahimili vipi msongamano ndani ya daladala na mabasi mwendokasi?

    Huu mji wa Dar una wenyewe sisi tunaotoka mikoani unaweza ukaumbuka asubuhi asubuhi tu hivi nyie vidume wa Dar mnahimili vipi msongamano wa kwenye usafiri hasa mwendokasi au nanihii zenu mpaka peee leo asubuhi. Nimetoka Kimara naenda mjini hio nyomi balaa sasa mbele kuna mdada na nyuma kuna...
  11. gidlameck

    Kichwa kuwa na mikunjo husababishwa na nini, kuna tiba yake?

    Habari awali ya wote nimshukuru mwenyezi mungu kwani bila yeye hakuna jambo linakuwa Jamani kichwa changu kina mikunjo je inasababishwa na nn na je kuna tiba yeyote? Mikunjo ipo kwenye ngozi ya nywele
  12. gidlameck

    Jinsi vibaka walivyopeperusha ndoto zangu

    Habarini wana jukwaa kiufupi namshukuru mungu maana bila yeye nisingekuwepo kabisa nakumbuka mwezi wa sita nilipata kibarua mkoani singida cha ujenzi nilianza kazi japo mazingira yalikuwa magumu lkn nilikomaa na nilimuomba mungu pia na baada ya mwezi nikafanikiwa kukabidhi kazi wakati wote wa...
  13. gidlameck

    Naomba kuelewesha kwanini alama za vidole hazifanani kati ya mtu na mtu?

    Sina shaka mungu ametujalia kuiona ck nyingine tena ambao hamkufanikiwa kusimama na kutembea mola awape wepesi tena naomba kujua kupitia jukwaa hili kwani kuna wataalam na wabobezi wa mambo mbalimbali napenda kuuliza ni kwa nn alama za vidole havifanani kati ya mtu na mtu Halafu kuna jamaa...
  14. gidlameck

    Dawa za kuongeza siku za kuishi ARV

    Naamini jpl iko nzuri Kwa kila alie jaliwa kuiona ktk pita pita zangu za kupiga vibarua sehem tofauti tofauti nimegundua hz dawa za kuongeza siku za kuishi hazitakiacha kizazi hiki salama mbaya zaidi wengi wetu hatupendi kutumia salama na kila ck vijana wanapishana Kwa vibabu kutafuta power jeck...
  15. gidlameck

    Shuhuda zinazotolewa na baadhi ya makanisa ni za kweli?

    Kuna kitu napenda kuuliza hasa wakazi wa Dar, hivi haya makanisa ya Dar mbona wanahubiri sana kuhusu kufanikiwa na si kutubu na kuokoka sina maana mbaya ila ni tofauti sana na huku nilipotokea mimi ni mkulima tu wa vitunguu huko kati. Kwa sasa nipo kwa uncle Dar na uncle ni muumini wa hizi dini...
  16. gidlameck

    Utambulisho

    Hodi wana jamii mi mgeni
Back
Top Bottom