Saudi Arabia: Mwanamke amshataki mume wake kwasababu ya kumpenda sana

gidlameck

JF-Expert Member
Jul 8, 2016
618
524
Kuna story niliisoma jana imetokea huko Saudi Arabia kuna dada amemshataki mume wake kwasababu mume wake anampenda mno.

Alihojiwa na mahakama amewahi kukupiga au kukufanyia fujo akasema hapana tangu wameoana hajawahi kumfanyia jambo lolote la kumvunjia amani kitu ambacho dada hapendi, anatamani hata wawe wanagombana japo mara moja lakini dada kila akifanya jambo baya jamaa anamsamehe kwa hiyo dada ameshindwa hayo maisha ya amani anaomba talaka.
 
Back
Top Bottom