Kwanini wanawake hawana upara (walaza)

Kwanini wanawake hawana upara (walaza)

gidlameck

JF-Expert Member
Joined
Jul 8, 2016
Posts
618
Reaction score
532
Katika pitapita zangu sijawahi kumuona mwanamke ana upara kichwani.

Je hivi vipara automatically ni kwa wanaume tu au wao huwa wanaficha na mawigi.?
 
Kipara husababishwa na uridhi pamoja homoni za kiume .... hii ndio maana wanawake mara zote hawapati vipara kama uvionavyo kwa wanaume, wao huwa wana kitu kama kupoteza nywele ambapo huwa haifikii ile hali ya wanaume

Hivyo, si rahisi kumkuta mwanamke mwenye kipara
 
Duuh kweli mmeamua, 50/50 itawatoa kamasi... Haki Sawa.

Usile Mbegu.
 
Wanaume = kipara
Wanawake = komwe


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Na je??? Kama ni homone vp Kuusu baadhi ya wanawake kuwa na ndevu kama ilivyo kwa waume...inaweza kuwa wanawake baadhi wakawa na testosteron homorne ????

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom