Dar bwana ukifanikiwa kufika lazima utaona tofauti

gidlameck

JF-Expert Member
Jul 8, 2016
618
524
Ukifanikiwa kufika Dar hakika utaona tofuti kubwa sana na miji mingine ila utofauti upo kwa wakazi wake. Dar kila mtu mjanja, ukifika Dar baada ya muda utavuliwa tu uraia wa mkoani iwe kwa kutapeliwa ama kukabwa ni kama utaratibu halali ila mimi najiuliza ile mihongo, vipande vya nazi, karanga wanaouza wale kina dada kwenye foleni za magari ni ushahidi tosha kuna tatizo la kiufundi mahali.

Mikoa mingine hio biashara hakuna
 
Watu wa Dar wanakula kipande cha muhogo uko kwenu mnakula hogo zima na kama nazi mnakula nzima nani mwenye matatizo apo
 
Bongo joto yani bongo balaa, Dar ina wenyewe mkuu kama huilewi bora urudi tuu huku Mang'ula tulime mpunga na miwa.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom