Search results

  1. josephwaara

    D.M.O Karatu nunua jenereta kituo cha afya Dabal D

    Mnaopewa nafasi za kutumikia wananchi mfanye kazi hizi kwa ufanisi na siyo kuwaza tu manufaa yenu binafsi. Kituo cha afya kilichokuwa kinatumika kama hospitalivya wilaya kinakosaje jenereta? Yaani wagonjwa wanakosa huduma kisa umeme hakuna kweli, hizo elfu 10 za kufungua faili zinakwenda wapi...
  2. josephwaara

    Msaada: Simcard huwa inakula data?

    Wakuu heshima kwenu. Kuna jamaa angu analalamika ulaji wa wa data kwenye simu yake, unaweza kukuta 2gb sinakata mchana mmoja tu ila matumizi yake anadai ni ya kawaida tu. Nilipocheki Data Usage kwenye simu yake niliona kinachotumia data kwa wingi ni "Simcard Traffic ." (Sikumbuki vizuri maneno...
  3. josephwaara

    Mpoto na Msechu ni marafiki wa karibu wa kila familia tajiri?

    Hawa miamba kila msiba wa watu mashuhuri hawakosi kuingia studio na kutengeneza nyimbo za maombolezo na misibani hawakosi kuweka kambi. Huwa najiuliza hawa jamaa kweli ni usanii tu, ukaribu na familia au maokoto? Mpoto anisamehe sijawahi kumwelewa kabisa[emoji19] R.I.P Lowassa.
  4. josephwaara

    Simu "copy" ina maana gani?

    Wakuu bila shaka huu siyo msamiati mpya ila kama mjuavyo inawezekana jambo unalisikia miaka mingi tu na kulielewa juujuu tu ila ukitakiwa kulieleza kitaalamu ukakwama. Nimepita ukurasa fulani mtandaoni jamaa anasema wanauza iPhone 15 Pro Max 512Gb ila copy (sh laki 4) ndo nkapaata mshawasha wa...
  5. josephwaara

    Hivi tatizo la umeme ni huku mikoani tu?

    Wakuu mnaoishi huko kwa Chalamila hali ikoje? Ndugu zenu huku hali ya umeme imekuwa tete mno yaani sasa hakuna hata ratiba ya kukata tena. Ni nini siri ya hili tatizo wakuu mbona mvua nyingi mno?
  6. josephwaara

    Mara ya kwanza kufika Mwanza

    Wakuu habari, Nina safari ya Musoma kutokea Arusha kwa basi, nimepata basi la Mwanza hivyo itanibidi kulala Mwanza kisha niendele na safari siku ya pili. Kwa kuwa ndio mara yangu ya kwanza kusafiri kuelekea huu ukanda nkaona niombe ABC za ninakoelekea kwa maana pa kushukia, mtaa wa kulala...
  7. josephwaara

    Naweza kubadili jina nililotumia miaka mingi?

    Wakuu heshima kwenu, naomba msaada katika suala hili. Nilipofikisha umri wa miaka 10 niliugua sana, katika kutafuta tiba mzazi wangu akakutana na ushauri wa mimi kutumia jina jingne (nimefupisha story). Sasa ishu hilo jina nikaja kusajiliwa nalo shule na kutumika kwenye vyeti vyote vya shule...
  8. josephwaara

    Msaada; Spray ya kusafishia sofa

    Wakuu naomba kufahamishwa jina la hiyo spray, bei yake na mahali ninakoweza kupata I mean maduka gani? Natanguliza shukrani.
  9. josephwaara

    Nini majukumu ya Waziri wa Wizara ya Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari?

    Hoja yangu ni kufahamu majukumu ya Waziri katika Wizara hii inayoitwa Habari, Mawasiano na Teknolojia. Mitandao ya simu inabadili vifurushi kila uchwao tena bila taarifa, mdhibiti wao ni nani? Mheshimiwa waziri nasi twatamani kulamba asali angalia suala hili.
  10. josephwaara

    Msaada: Education achague vyuo gani?

    Wakuu nimeombwa ushauri ulio juu ya uwezo wangu, dogo ana three ya 13 PCB, EDD ni msichana. Nmemshauri km ni education aende phys na chem bios aspire chini kwa sbb za kibiashara. Hapo kwenye vyuo nmemwambia anipe muda niwaulize wataalam wangu. Shukrani.
  11. josephwaara

    Hakika Watumishi tumedhalilishwa

    Promo zote zile, mbwembwe zote mlivyotuuzisha sura kwa wananchi, tunawaeleza nini ndg zetu waamini tumeongezwa elfu 30??? Binafsi sijashangaa maana sijawahi kuwa na imani na yule mnyiramba, ana kiburi kweli kweli na mbaya zaidi ni kipenzi cha maza. Tutalipiza huko makazini.
  12. josephwaara

    Tetesi: Madiwani kulipwa mshahara wa Tsh 1,000,000 kwa lipi?

    Wakuu katika pitapita zangu nimekutana na tetesi kwamba madiwani wataanza kulipwa mshahara wa tsh milioni moja kwa mwezi. Kitaalamu hii inaitwaje?
  13. josephwaara

    Tunaokerwa na tangazo la Vodacom tufanyeje?

    Wakuu kuna tangazo la kuhimiza watu kurasimisha simcard zao, pale unapopiga simu tu linaanza lenyewe kabla ya simu kuita. Kwa kweli linakera mno hasa mtu unapokuwa unapiga simu za dharura. Mlio na connection muwashauri waliondoe tafadhali.
  14. josephwaara

    Kupinga usichokijua ni kujidhalilisha

    Wakuu nisisalimu tu maana tangu nijiunge jamiiforums sikuwahi kuona salamu iliyojibiwa humu[emoji16][emoji16] Ndg zangu watanzania tujenge tabia ya kufuatlia mambo na ikitokea kuna jambo linajadiliwa huna ufahamu nalo basi kaa kimya ujifunze kwa wengne kuliko kutia neno ukaanika ujinga wako...
  15. josephwaara

    Natamani maisha ya JamiiForums yawe wazi siku moja!

    Watu wa jamiiforums tunatishiana mno buana! Majigambo mengi, dharau kedekede na ujuaji usio na kikomo. Naona nyuzi kibao sasa za majivuno na mashambulizi kwa watu wengine au kundi fulani la watu. Utakuta mdau wa JF anajisifu kwamba ana IQ kubwa, anamiliki fedha, mchacharikaji, ni mjanja wa...
  16. josephwaara

    Nimeamini kuna watu wana akili ya ajabu

    Inawezekana vipi mtu mwenye upeo mzuri wa kuwaza kusafirishwa kutoka mkoani kwa fedha zako, uuze mali zako au za mzazi wako, mkalundikwe chumba kimoja watu zaidi ya 20 huko Dar eti kwa ahadi ya kufanikiwa kibiashara. Kweli kijana mzima wa miaka zaidi ya 24 unalipa milioni 5 hewani kwa mmiliki...
  17. josephwaara

    Msaada kuhusu Samsung S8+ ya USA

    Wakuu nataka kununua Simu ya Samsung S8+ Model number G9555U , baada ya kugugo nimeona ni version ya USA, naomba kuuuliza je nkiichukua itakuwa na changamoto gani???
  18. josephwaara

    Huyu mzee kanifikirisha sana!

    Heshima kwenu wakuu, nikiwa napitia taarifa mbalimbali kule youtube bhana nkakutana na kipindi cha ziara iliyofanyika na mwandishi wa Wasafi Digital huko Manyara kuhusu kabila la wahadzabe. Katika mahojiano na mzee mmoja kuhusu masuala ya kulenga shabaha yule mzee akasema aliwahi kushiriki...
  19. josephwaara

    Nimetumiwa ujumbe huu WhatsApp

    Nikiwa nmetulia zangu jana jioni ikaingia meseji ya namba mpya whatsapp, Hello, nikaijibu baada ya kutafakari kwa muda kama dakika 20 hivi maana nlipitia kwanza mtandaoni nione hiyo code ya +229 ni ya nchi gani, nkajibu, Yeah. Mazungumzo yakaishia hapo. Leo asubuhi kantumia hii msg na picha 4...
  20. josephwaara

    Waislamu mnijibu tafadhali

    Mimi ni Mkristo na kama mjuavyo tutakuwa na sikukuu ya pasaka siku ya Jumapili. Sasa swali linaloniumiza kichwa ni hili, kuna rafiki yangu tunafanya kazi pamoja, pia ni majirani. Mimi nimeoa ila yeye yuko single na amefunga mwezi huu Ramadhan. Je, naweza kumwalika nyumbani kama kumfuturisha...
Back
Top Bottom