josephwaara
JF-Expert Member
- Jun 18, 2016
- 304
- 641
Wakuu nataka kununua Simu ya Samsung S8+ Model number G9555U , baada ya kugugo nimeona ni version ya USA, naomba kuuuliza je nkiichukua itakuwa na changamoto gani???
Model namba yake ni G955U na siyo kama ulivoandika.Wakuu nataka kununua Simu ya Samsung S8+ Model number G9555U , baada ya kugugo nimeona ni version ya USA, naomba kuuuliza je nkiichukua itakuwa na changamoto gani???
Unlocked za US hazina shida ya network.Tatizo ni kushika network baadhi ya maeneo yanakua down saana.. ila ni nzuri kwa maeneo ya mjini
Nmekupata mkuu, kuna jamaa angu kaichukua juzi, nmeicheki kweli changamoto ya hiyo msg app nmeiona, kweli ni single line, swali nlilojiuliza ni kwamba sijaona Microsoft apps, nliwahi kutumia Samsung J5(2016) na saiv natumia A50, zote zilikuwa pre installed hizo apps, mbona hii S8+ haina?Model namba yake ni G955U na siyo kama ulivoandika.
Changamoto kuu ni messaging app yake hainaga delivery report na hata setting yake haipo pia ni single line.
The rest ni simu nzuri, Haioverheat, au kuisha charge haraka kama hizi za Exynos.
Nilikuwa nayo moja niliiuza last month pesa mbuzi tu.
Tafuta brand (simu) nyingine. Zipo nyingi.Nmekupata mkuu, kuna jamaa angu kaichukua juzi, nmeicheki kweli changamoto ya hiyo msg app nmeiona, kweli ni single line, swali nlilojiuliza ni kwamba sijaona Microsoft apps, nliwahi kutumia Samsung J5(2016) na saiv natumia A50, zote zilikuwa pre installed hizo apps, mbona hii S8+ haina?
Dah! Asante kwa taarifa mkuu.Tafuta brand (simu) nyingine. Zipo nyingi.
Ni simu ya 2017 hio, deal la Microsoft na Samsung lilikuwa 2019. Hio J5 labda ziliwekwa tu ila hazikua lazima kama simu za sasa.Nmekupata mkuu, kuna jamaa angu kaichukua juzi, nmeicheki kweli changamoto ya hiyo msg app nmeiona, kweli ni single line, swali nlilojiuliza ni kwamba sijaona Microsoft apps, nliwahi kutumia Samsung J5(2016) na saiv natumia A50, zote zilikuwa pre installed hizo apps, mbona hii S8+ haina?
kwenye charge ni sahihi kabisa ninayo battery yake ni 3500mAh alaf inakaa na charge kutwa nzma. wakati oneplus 8pro ina 450mAh nayo nazicharge pamoja tu.Model namba yake ni G955U na siyo kama ulivoandika.
Changamoto kuu ni messaging app yake hainaga delivery report na hata setting yake haipo pia ni single line.
The rest ni simu nzuri, Haioverheat, au kuisha charge haraka kama hizi za Exynos.
Nilikuwa nayo moja niliiuza last month pesa mbuzi tu.