D.M.O Karatu nunua jenereta kituo cha afya Dabal D

josephwaara

JF-Expert Member
Jun 18, 2016
304
637
Mnaopewa nafasi za kutumikia wananchi mfanye kazi hizi kwa ufanisi na siyo kuwaza tu manufaa yenu binafsi.

Kituo cha afya kilichokuwa kinatumika kama hospitalivya wilaya kinakosaje jenereta?

Yaani wagonjwa wanakosa huduma kisa umeme hakuna kweli, hizo elfu 10 za kufungua faili zinakwenda wapi?

Kwa kweli nimeumia mno leo baada ya kuona watu wagonjwa wakiteseka kwa kukosa huduma eti kwa sababu ya kutokuwepo umeme na ndio msukumo wangu kuandika hapa jukwaani nikitumai ujumbe huu utafanyiwa kazi.
 
Poleni

unaeza kuta jenereta lipo ila mafuta changamoto

wapeni muda
 
Back
Top Bottom