Search results

  1. msonganzila

    Natafuta nyumba ya kupanga

    Natafuta Nyumba ya kupanga,iwe na Vyumba 3 ,.Maeneo iwe Njia ya Goba kutoka Mbezi mpaka Masana au kutoka Goba Senta mpaka .Mwisho wa Daraja Mwelekeo Makongo,Offer yangu 200,000/= kwa Mwezi Karibu kwa Mwenye nayo +255-683-011-022
  2. msonganzila

    Mashine ya kutengeneza fance wire inauzwa

    Mashine hiyo imetumika,ipo kwenye hali nzuri sana.....karibu 0715-011022
  3. msonganzila

    TRANSFORMER ZINAUZWA

    Transformer mpya Mbili zinauzwa 33kv 1000kva -400V 33kv 50 kva -400V Zilinunuliwa kwa Ajiri ya projects, Sasa hakuna tena Project zinauzwa Karibuni Wadau...... Sent using Jamii Forums mobile app
  4. msonganzila

    Natafuta gari

    Ndugu zangu wana JF naomba kwa yeyote anaeuza Gar Aina ya VW TOURAN anijulishe......
  5. msonganzila

    Natafuta gari probox

    Wadau natafuta gari Aina ya PROBOX iwe na Ubora tu siangalii namba bajeti yangu 5,5MILLION mwenye nayo karibu.....
  6. msonganzila

    Naumwa kifua naomba msaada

    Ndugu zangu wana JF ninapata maumivu makali sana katikati ya kifua sasa yapata mwaka mmoja na miezi 8, pindi nitembeapo na hasa umbali kuanzia mita 50 yanatokea maumivu makali sana katikati ya kifua,pia nikioga yanatokea,nikiwa na hasira yanatokea hayo maumivu makali sana,nimejitahidi kubadili...
  7. msonganzila

    Duka linauzwa

    Duka zuri la Vinywaji vya Lejaleja linauzwa Dar es salaam maeneo ya Mbezi ya Kimara, lipo sehemu lilipo soko la Mbezi zamani Uwanja wa Shule...... Unaruhusiwa kuja kuona mzunguko wake wa Biashara...... Bei yetu ni Makubaliano...... 0683-011022
  8. msonganzila

    Kiwanja kaliakoo

    Nauza Kiwanja Kaliakoo Mtaa wa Tandamti na Sikukuu..... Mwenye kuhitaji karubu Sana........
  9. msonganzila

    IST inatafutwa

    Mwenye Toyota IST namba C au namba D ya Mwanzo kabisa naomba nijulishe,Offer yangu 6M 0683-011022
  10. msonganzila

    Pikipiki Inauzwa

    Pikipiki cc750 inatembea haina tatizo karibuni,Bei ni 2.5M pia unakaribishwa Mazungumzo..... Sent using Jamii Forums mobile app
  11. msonganzila

    Kiwanja airport Dar kizuri kinauzwa

    Karibu kuna kiwanja kizuri kinauzwa Maeneo ya Airport kinafaa kwa Hotel,Airport hakuna Hotel nzuri ya kisasa,Karibu uwekeze,ukubwa wa Eneo ni SQM 8914 KARIBU SANA BEI MAELEWANO..,....
  12. msonganzila

    Vyeti feki na uelewa potofu wa baadhi ya viongozi wetu

    Ndugu zangu wana JF jukwaa ambalo ni Darasa tosha,kuna Jambo naomba kueleweshwa pia kuelimisha wengine ambao watapitia katika Andiko hili;- Huku maofisini pamejitokeza Sintofahamu ya Baazi ya viongozi wetu kuwasumbua wale wafanyakazi ambao Majina yao yameonekana kwenye Rist ya Vyeti...
  13. msonganzila

    Msaada Wa Mtoto wangu anaumwa

    Ndugu zangu Wa JF naomba msaada kwa ambae nafahamu juu ya hili. Mtoto wangu alikuwa anaumwa na Sikio,lilikuwa likitoa Usaha,March 13 tukampeleka kwa Doctor akampatia Dawa,moja ya kuweka kwenye sikio lenyewe inaitwa CIPROFLOXACIN EYE/EAR DROPS(cipro-cent) unaweka Matone mala Tatu kwa siku,pia...
  14. msonganzila

    Fance wire Mashine inauzwa

    Karibuni ndugu jamaa na Marafiki,Mashine hiyo pichani inauzwa kwa mwenye kuhitaji....Bei yake ni 4.5M 0715-011022
  15. msonganzila

    Pata nyumba mbili kwa bei safi...Mbweni

    Pata Nyumba mbili kwa bei rahisi....zote zina hati miriki..... Uwapo tayari kuziona pls piga namba hii....0715-011022
  16. msonganzila

    Gari ya mizigo natafuta

    Natafuta Gar aina ya Benzi zile za kizamani,natafuta kwa ajiri ya kutoa Mbao vijijini kuleta Mjini.....Benzi ina uvumilivu mkubwa pia Spare zake zinapatikana.....ukipata njoo In Box au piga 0715-011022
  17. msonganzila

    Natafuta fuel pamp ya dodge RAM engine ya petrol V8 16 valves

    Naomba mwenye kufahamu wapi naweza pata Pamp ya Mafuta ya DODGE RAM V8......MSAADA NDUGU ZANGU
  18. msonganzila

    Spare ya DODGE RAM

    Natafuta PAMP ya Mafuta ya Gari aina ya DODGE RAM V8 16 VALVES.....
  19. msonganzila

    Kiwanja kinauzwa

    Karibuni kiwanja kinauzwa Msasani,Sqm 14920 kinafaa kwa Hotel.... Kwa mawasiriano zaidi:- 0715-011022
  20. msonganzila

    Nyumba Bunju

    Inauzwa karibuni wote.... 150Millions
Back
Top Bottom