Kiwanja airport Dar kizuri kinauzwa

Kiwanja airport Dar kizuri kinauzwa

msonganzila

JF-Expert Member
Joined
Jun 5, 2016
Posts
204
Reaction score
106
Karibu kuna kiwanja kizuri kinauzwa Maeneo ya Airport kinafaa kwa Hotel,Airport hakuna Hotel nzuri ya kisasa,Karibu uwekeze,ukubwa wa Eneo ni SQM 8914
KARIBU SANA BEI MAELEWANO..,....
 
1499407921286.jpg
 
Acha uongo! Airport kuna hotel kubwa na ya kisasa ya FQ Hotel...
na wew unajua maana ya hotel ya kisasa kweli? au ukishaona magorofa tu ndo kisasa hotel za airport zote ziko uswahiliiiiini makelele 24/7 ,vibaka , uchafu yani bora ukalale kwingine utenge muda wakuwah flights yako
 
Karibu kuna kiwanja kizuri kinauzwa Maeneo ya Airport kinafaa kwa Hotel,Airport hakuna Hotel nzuri ya kisasa,Karibu uwekeze,ukubwa wa Eneo ni SQM 8914
KARIBU SANA BEI MAELEWANO..,....
Airport wp.mwanza arusha dar?
 
Airport ya Chato au unazungumzia ipi?
 
Airport ya Chato au unazungumzia ipi?
 
Mamlaka husika TZ lazima zitafute njia ambayo itaboresha na kuyafanya maeneo yanayo Zunguka MWALIM JK INTER AIR PORT yawe yanavutia kwa kweli .

Maeneo yanayo zunguka Airport Dah yanasikitisha sn ukizitizama zile nyumba unakata tamaa kabisa na uwekezaji ....maan navyo jua mm Airport ndio RECEPTION ya NCHI...
kwani unaanza kuwa na NEGATIVE THINKING.

Napaka leo sijapata jibu hivi watu wa mipango MJI walijisahau kiasi gani maeneo hayo Airport kuyafanya yawe yenye mvuto japo si Dar es salaam yote.

Na hawa watu wa Mpango MJI wanasema wamesoma vizur.
 
Back
Top Bottom