msonganzila
JF-Expert Member
- Jun 5, 2016
- 204
- 106
Duka zuri la Vinywaji vya Lejaleja linauzwa Dar es salaam maeneo ya Mbezi ya Kimara, lipo sehemu lilipo soko la Mbezi zamani Uwanja wa Shule...... Unaruhusiwa kuja kuona mzunguko wake wa Biashara...... Bei yetu ni Makubaliano...... 0683-011022