Natafuta fuel pamp ya dodge RAM engine ya petrol V8 16 valves

msonganzila

JF-Expert Member
Jun 5, 2016
204
105
Naomba mwenye kufahamu wapi naweza pata Pamp ya Mafuta ya DODGE RAM V8......MSAADA NDUGU ZANGU
1488518667352.jpg
1488518712624.jpg
 
Hio nadhani inapatikana alipo Raisi mstaafu bwana Baraka Obama. Kwa ilala utamaliza fremu!
 
Boss kwanini usicheck Amazon, japo itakugharimu.

Lakini pia unaweza kutafuta inayofanana na hiyo madukani ukafanya modification.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom