Naumwa kifua naomba msaada

msonganzila

JF-Expert Member
Jun 5, 2016
204
105
Ndugu zangu wana JF ninapata maumivu makali sana katikati ya kifua sasa yapata mwaka mmoja na miezi 8, pindi nitembeapo na hasa umbali kuanzia mita 50 yanatokea maumivu makali sana katikati ya kifua,pia nikioga yanatokea,nikiwa na hasira yanatokea hayo maumivu makali sana,nimejitahidi kubadili Hosp ili kujua

Tatizo bado sipatiwi jibu sahihi ambalo japo nipate nafuu hospitali moja waliwahi niambia ni Anjeina peini nikatumia dawa bila mafanikio,hivi karibuni nimeambiwa labda vidonda vya tumbo,nipo kwenye dozi na hakuna hata nafuu hapa ni uwanja mpana wa kupata msaada naombeni ndugu zangu msaada wa kitabibu ili nipone asante...
 
Nenda Hospital kubwa mkuu
Nimekwenda TMJ pia REGENCY kwa Dar lakini pia nimekwenda AGHAKANI na SEKOUTURE kwa MWANZA lakini bado hakuna jibu sahihi ndugu yangu,kila ninapokwenda hupewa dawa na kunywa bila Mafanikio wala Nafuu.....
 
Ndugu zangu wana JF ninapata maumivu makali sana katikati ya Kifua sasa yapata Mwaka mmoja na miezi 8, pindi nitembeapo Na hasa Umbali kuanzia mita 50 yanatokea maumivu makali sana katikati ya Kifua,pia nikioga yanatokea,nikiwa na Hasira yanatokea hayo maumivu makali sana,nimejitahidi kubadili Hosp ili kujua Tatizo bado sipatiwi jibu sahihi ambalo japo nipate nafuu...Hospital moja waliwahi niambia ni Anjeina peini nikatumia dawa bila mafanikio,hivi karibuni nimeambiwa labda vidonda vya Tumbo,nipo kwenye Dozi na hakuna hata nafuu....Hapa ni uwanja mpana wa kupata msaada NAOMBENI NDUGU ZANGU MSAADA WA KITABIBU ILI NIPONE.....ASANTE...
umri wako ? Jinsia ? Unakunywa pombe ? Unavuta sigara ? Umeshafanya x-ray,ECG, echo ?
 
Kuna ndugu yangu nae alikua hvo hvo.yan kama ulivoeleza hapo.kwenda kupiga xray akaambiwa ni TB ambayo hipo nje ya mapafu.akawa anapewa dozi za TB.baada ya kumaliza dozi asahvi yupo furesh.niamin mkuu nenda kapige xray.
 
Umri wangu ni 47 jinsia MWANAUME ,SINYWI POMBE wala sivuti SIGARA,nimefanya ECG pia ECHO majibu sina Tatizo,X-RAY nilifanya Kwa kunywa aina furani hivi ya dawa ambayo unatakiwa kunywa kabla hujala kitu,majibu ikawa wanahisi vidonda vya TUMBO,ndio hapo nikaanza Dozi ambayo Leo ni MWEZI MMOJA SASA NA HAKUNA HATA NAFUU....JAPO SIJAACHA KUNYWA....dawa ninayokunywa inaitwa ESOMEPRAZOLE TABLETS 40MG,nakunywa kidonge kimoja kila siku
 
Kuna ndugu yangu nae alikua hvo hvo.yan kama ulivoeleza hapo.kwenda kupiga xray akaambiwa ni TB ambayo hipo nje ya mapafu.akawa anapewa dozi za TB.baada ya kumaliza dozi asahvi yupo furesh.niamin mkuu nenda kapige xray.
Ushauri wako nitaufanyia kazi,Mimi nipo Dar na kama na yeye huyo ndugu yako yupo Dar naomba Dokezo la Hospital ambayo alikwenda......
 
Ndugu zangu wana JF ninapata maumivu makali sana katikati ya kifua sasa yapata mwaka mmoja na miezi 8, pindi nitembeapo na hasa umbali kuanzia mita 50 yanatokea maumivu makali sana katikati ya kifua,pia nikioga yanatokea,nikiwa na hasira yanatokea hayo maumivu makali sana,nimejitahidi kubadili Hosp ili kujua

Tatizo bado sipatiwi jibu sahihi ambalo japo nipate nafuu hospitali moja waliwahi niambia ni Anjeina peini nikatumia dawa bila mafanikio,hivi karibuni nimeambiwa labda vidonda vya tumbo,nipo kwenye dozi na hakuna hata nafuu hapa ni uwanja mpana wa kupata msaada naombeni ndugu zangu msaada wa kitabibu ili nipone asante...
mkuu haujawahi kuwa na tatizo la presha?
au ndugu wa karibu mwenye hilo tatizo?
Na mara ya mwisho kupima presha lini?
 
Ninayo Presha Mkuu.....
ok mkuu wasiwasi wangu mkubwa ni kwamba huenda mshipa mkubwa unaotoa damu kwenye moyo kuleta sehemu nyingine za mwili (aorta) utakuwa umetanuka sehemu, hii kitaamu inaitwa 'aortic aneurism' na vipimo nafuu vya kuona hilo ni X-ray ya kifua na ultrasound ya tumbo, ila kama mfuko unaruhusu vipo vipimo vikubwa zaidi.
Hivyo nakushauri nenda hospitali yoyote kubwa(napendekeza hospitali za ngazi ya rufaa au za private kubwa) katika kujieleza kwa daktari mdokezee hilo tatizo nililolisema itamrahisishia namna ya kukusaidia.
NB: unatakiwa kujua kuwa mahospitali kuna madaktari wa ngazi tofauti tofauti kuanzia CA, CO, Md, MMed na kuendekea, sasa inaweza tokea ukakutana na CA akakomaa na tatizo lako asipate majibu hivyo ukiona haupati majibu sahihi ongea hata na manesi wa hospitali husika wakusaidie mawasiliano ya daktari mwenye uwezo wa kukusaidia
 
Ndugu zangu wana JF ninapata maumivu makali sana katikati ya kifua sasa yapata mwaka mmoja na miezi 8, pindi nitembeapo na hasa umbali kuanzia mita 50 yanatokea maumivu makali sana katikati ya kifua,pia nikioga yanatokea,nikiwa na hasira yanatokea hayo maumivu makali sana,nimejitahidi kubadili Hosp ili kujua

Tatizo bado sipatiwi jibu sahihi ambalo japo nipate nafuu hospitali moja waliwahi niambia ni Anjeina peini nikatumia dawa bila mafanikio,hivi karibuni nimeambiwa labda vidonda vya tumbo,nipo kwenye dozi na hakuna hata nafuu hapa ni uwanja mpana wa kupata msaada naombeni ndugu zangu msaada wa kitabibu ili nipone asante...
Unahisi kiungulia (moto) kifuani?
 
ok mkuu wasiwasi wangu mkubwa ni kwamba huenda mshipa mkubwa unaotoa damu kwenye moyo kuleta sehemu nyingine za mwili (aorta) utakuwa umetanuka sehemu, hii kitaamu inaitwa 'aortic aneurism' na vipimo nafuu vya kuona hilo ni X-ray ya kifua na ultrasound ya tumbo, ila kama mfuko unaruhusu vipo vipimo vikubwa zaidi.
Hivyo nakushauri nenda hospitali yoyote kubwa(napendekeza hospitali za ngazi ya rufaa au za private kubwa) katika kujieleza kwa daktari mdokezee hilo tatizo nililolisema itamrahisishia namna ya kukusaidia.
NB: unatakiwa kujua kuwa mahospitali kuna madaktari wa ngazi tofauti tofauti kuanzia CA, CO, Md, MMed na kuendekea, sasa inaweza tokea ukakutana na CA akakomaa na tatizo lako asipate majibu hivyo ukiona haupati majibu sahihi ongea hata na manesi wa hospitali husika wakusaidie mawasiliano ya daktari mwenye uwezo wa kukusaidia
Asante Sana mkuu,nimekwenda Mhimbili kitengo cha Moyo cha JAKAYA KIKWETE, MA DR WALIHISI HIVYO WAKANITOBOA KWENYE PAJA LA UPANDE WA KULIA, WAKAINGIZA KITU AMBACHO KILIKWENDA KULEKODI KILA KITU KWENYE MISHIPA PIA MOYO, WAKANIPA NA CD YAKE,LAKINI HAWAKUONA KILE AMBACHO WALIHISI, SANA SANA NIKAPEWA DAWA AMBAZO ZINAPUNGUZA MAUMIVU KAMA UNA ANGEIN PAIN, HAWAKUNIELEZA NI NINI HASA KINANISUMBUA, NA NDIO MAANA NIMEKUJA HAPA KWENYE NDUGU JAMAA NA MARAFIKI JF, NISAIDIENI NDUGU ZANGU,......
 
Kama Moto, maumivu Makali Sana, Ukiwa unatembea inakubidi UPUMZIKE KWANZA KILA BAADA YA MITA 50 NA UKAE SI CHINI YA Danika 10 mpaka 20 ndio uendelee na safari, japo ukiendelea ni Mita 50 tu hoi...... Masada ndugu zangu....
Unahisi kiungulia (moto) kifuani?
Kama Moto, maumivu Makali Sana, Ukiwa unatembea inakubidi UPUMZIKE KWANZA KILA BAADA YA MITA 50 NA UKAE SI CHINI YA Danika 10 mpaka 20 ndio uendelee na safari, japo ukiendelea ni Mita 50 tu hoi...... Masada ndugu zangu.... Kama Moto, maumivu Makali Sana, Ukiwa unatembea inakubidi UPUMZIKE KWANZA KILA BAADA YA MITA 50 NA UKAE SI CHINI YA Danika 10 mpaka 20 ndio uendelee na safari, japo ukiendelea ni Mita 50 tu hoi...... Masada ndugu zangu....
 
Habari mkuu pole kwa hilo tatizo linalokusumbua

Mkuu kama hayo maumivu yapo kifuani upande wa kushoto au hata kulia, yawezekana sio ugonjwa wa moyo kama unavyofikiria maana madoctor kama ungekuwa na matatizo ya moyo mapema sana tatizo lako wangeliona, hicho kifaa walichokiingiza kilienda kupiga picha na kuchukua vide katika mishipa yako yote ya moyo so kama wangeona tatizo wangekwambia, ina maana huna tatizo la moyo

Mkuu mimi sio doctor lakini yawezekana asilimia 100% unasumbuliwa na kitu kinachoitwa acid reflux, katika mwili wako tatizo ambalo lilishwawahi kunikuta mwaka mmoja uliopita na lilinipa tabu kweli kweli hadi nikahisi ni ugonjwa wa moyo maana kifua kilikuwa kinauma na kubana endapo nitatembea umbali mrefu au kufanya kazi nzito, moja kwa moja nilihisi kuwa ni heart attack au labda ni mishipa ya damu imeziba kwa mafuta ndio maana kifua kikawa kinabana upande wa kushoto na katikati lakini kumbe tatizo lilikuwa ni acid reflux, yaani tumbo kuwa na acid nyingi kitu ambacho kinapelekea hiyo acid kupanda juu na kuleta maumivu makali ya kifua na kifua kubana au kuuma

Mara nyingi case ya huu ugonjwa hufanana moja kwa moja na magonjwa ya moyo kama heart attack au mishipa ya moyo kuziba maana dalili zake hufanana

k
Kama Moto, maumivu Makali Sana, Ukiwa unatembea inakubidi UPUMZIKE KWANZA KILA BAADA YA MITA 50 NA UKAE SI CHINI YA Danika 10 mpaka 20 ndio uendelee na safari, japo ukiendelea ni Mita 50 tu hoi...... Masada ndugu zangu.... Kama Moto, maumivu Makali Sana, Ukiwa unatembea inakubidi UPUMZIKE KWANZA KILA BAADA YA MITA 50 NA UKAE SI CHINI YA Danika 10 mpaka 20 ndio uendelee na safari, japo ukiendelea ni Mita 50 tu hoi...... Masada ndugu zangu.... Kama Moto, maumivu Makali Sana, Ukiwa unatembea inakubidi UPUMZIKE KWANZA KILA BAADA YA MITA 50 NA UKAE SI CHINI YA Danika 10 mpaka 20 ndio uendelee na safari, japo ukiendelea ni Mita 50 tu hoi...... Masada ndugu zangu....
 
mkuu pole sana 90% ya madaktari wa tanzania ni wauhaji sio watabibu ipo haja serikali kuwatazama kwa umakini
kwanza hawapendi kusikiliza historia ya tatizo lako ili iwe rahisi kutambua tatizo lako piri wanapenda kukuandikia dawa bira kufahamu tatizo wao wanaandika dawa tu tatu sio rafiki wa wagonjwa hawapendi kushauri mambo madogo yasiohitaji tiba wala vipimo ambayo kwa namna moja au nyingne husaidi kupunguza makari ya ugonjwa kama sio kuponyesha kabisa
mkuu kwa mujibu wa maelezo yako hayana tofauti na nulivyokua naumwa ila mm yalianzia upande wa moyo yakaja mpaka kifua katikati hapo unapoumwa ww ikafika hatua mpk kukohoa makohozi yanayoambatana na damu kutembea umbari mrefu siwezi nahema juu juu miguu inauma matatizo kedekede katika mfumo wa kifua yaan hadi kupumua tabu mpk nikawa napoteza uzito siku hadi siku kwa mawazo.
baada kuangaika na madaktari wauhaji wa hosptari mbarimbari na kufakamia midozi kwa midozi ya madawa kibao bila nafanikio
nikakutana na daktari mmoja malaika ambapo nilienda katika hosptari yao ambayo inasifika sana kwa kutibu moyo nia kupima kipimo kimoja cha bei mbaya akanionea huruma sana na maelezo yangu alichonishauri kwanza nipime HIV kwa microscop nipime makohozi ya TB HYPLORY kwenye damu na kiasi cha acid tumboni
akanikuta nina kiasi flani cha HYPLORY na ACID nyingi kiasi inasababisha moyo wangu usifanye kazi inavyotakiwa(kumbuka moyo wangu hauna shida) ila nikiwa katika mazingira flani hasa ya joto kali au kutumia nguvu nyingi njaa hasira mawazo nk moyo wangu hushindwa kufanyakazi vizuri hivyo hali hii huathiri viungo vingi sana vya mwili kudholota kiasi hupelekea kuumwaumwa hasa kifua nk na wakati mwingne kujihisi presha

hajuniandikia dawa alichonishauri kubadili mtindo wa maisha husasani upande wa Chakura ili kuweza kukabiliana na tatizo la ACID pamoja na hyplory
kula kwa wakati
kuchagua aina ya vyakura
kulala usiku vizuri na mazingira rafiki yenye hewa safi
kufanya tendo la ndoa kwa mpangilio
kuacha kubeba vitu vizito au kazi ngumu
na muhimu zaid kurelax
akaniambia nijarib hayo mambo kwa muda wa mwezi 1 then niangakie mabadiriko gan yatatokea na kweli niliona matokeo kiasi sasa nmshukuru mungu nipo vizuri kiasi tofauti na miezi mitatu nyuma moyo auumihumi kifua kubana kimeacha miguu kuwaka moto imepote naweza tembea umbali mrefu na kifua kisibane kukohoa damu kumekata yaan nipo vizuri
hivi muhimu sana BAMIA,UGARI WA DONA,ASARI, TANGO, KUPUMZISHA MWILI, KUFANYA JIMAI KWA UTARATIBU MZURI, KUACHAKUBEBA VITU VIZITO tiba zilizonisaidia sana
 
Habari mkuu pole kwa hilo tatizo linalokusumbua

Mkuu kama hayo maumivu yapo kifuani upande wa kushoto au hata kulia, yawezekana sio ugonjwa wa moyo kama unavyofikiria maana madoctor kama ungekuwa na matatizo ya moyo mapema sana tatizo lako wangeliona, hicho kifaa walichokiingiza kilienda kupiga picha na kuchukua vide katika mishipa yako yote ya moyo so kama wangeona tatizo wangekwambia, ina maana huna tatizo la moyo

Mkuu mimi sio doctor lakini yawezekana asilimia 100% unasumbuliwa na kitu kinachoitwa acid reflux, katika mwili wako tatizo ambalo lilishwawahi kunikuta mwaka mmoja uliopita na lilinipa tabu kweli kweli hadi nikahisi ni ugonjwa wa moyo maana kifua kilikuwa kinauma na kubana endapo nitatembea umbali mrefu au kufanya kazi nzito, moja kwa moja nilihisi kuwa ni heart attack au labda ni mishipa ya damu imeziba kwa mafuta ndio maana kifua kikawa kinabana upande wa kushoto na katikati lakini kumbe tatizo lilikuwa ni acid reflux, yaani tumbo kuwa na acid nyingi kitu ambacho kinapelekea hiyo acid kupanda juu na kuleta maumivu makali ya kifua na kifua kubana au kuuma

Mara nyingi case ya huu ugonjwa hufanana moja kwa moja na magonjwa ya moyo kama heart attack au mishipa ya moyo kuziba maana dalili zake hufanana

k
Asante Sana mkuu Richard leo nimeongea na Dr kaniambia Kuna kipimo kinapitishwa mdomoni kinaingia mpaka tumboni kikiwa na Camera.... Kipimo hicho kitaonyesha kila kitu Kama ni Acid au Vidonda...... Nafikilia hilo kufanya kwa sasa..... Asante Sana mkuj
 
mkuu pole sana 90% ya madaktari wa tanzania ni wauhaji sio watabibu ipo haja serikali kuwatazama kwa umakini
kwanza hawapendi kusikiliza historia ya tatizo lako ili iwe rahisi kutambua tatizo lako piri wanapenda kukuandikia dawa bira kufahamu tatizo wao wanaandika dawa tu tatu sio rafiki wa wagonjwa hawapendi kushauri mambo madogo yasiohitaji tiba wala vipimo ambayo kwa namna moja au nyingne husaidi kupunguza makari ya ugonjwa kama sio kuponyesha kabisa
mkuu kwa mujibu wa maelezo yako hayana tofauti na nulivyokua naumwa ila mm yalianzia upande wa moyo yakaja mpaka kifua katikati hapo unapoumwa ww ikafika hatua mpk kukohoa makohozi yanayoambatana na damu kutembea umbari mrefu siwezi nahema juu juu miguu inauma matatizo kedekede katika mfumo wa kifua yaan hadi kupumua tabu mpk nikawa napoteza uzito siku hadi siku kwa mawazo.
baada kuangaika na madaktari wauhaji wa hosptari mbarimbari na kufakamia midozi kwa midozi ya madawa kibao bila nafanikio
nikakutana na daktari mmoja malaika ambapo nilienda katika hosptari yao ambayo inasifika sana kwa kutibu moyo nia kupima kipimo kimoja cha bei mbaya akanionea huruma sana na maelezo yangu alichonishauri kwanza nipime HIV kwa microscop nipime makohozi ya TB HYPLORY kwenye damu na kiasi cha acid tumboni
akanikuta nina kiasi flani cha HYPLORY na ACID nyingi kiasi inasababisha moyo wangu usifanye kazi inavyotakiwa(kumbuka moyo wangu hauna shida) ila nikiwa katika mazingira flani hasa ya joto kali au kutumia nguvu nyingi njaa hasira mawazo nk moyo wangu hushindwa kufanyakazi vizuri hivyo hali hii huathiri viungo vingi sana vya mwili kudholota kiasi hupelekea kuumwaumwa hasa kifua nk na wakati mwingne kujihisi presha

hajuniandikia dawa alichonishauri kubadili mtindo wa maisha husasani upande wa Chakura ili kuweza kukabiliana na tatizo la ACID pamoja na hyplory
kula kwa wakati
kuchagua aina ya vyakura
kulala usiku vizuri na mazingira rafiki yenye hewa safi
kufanya tendo la ndoa kwa mpangilio
kuacha kubeba vitu vizito au kazi ngumu
na muhimu zaid kurelax
akaniambia nijarib hayo mambo kwa muda wa mwezi 1 then niangakie mabadiriko gan yatatokea na kweli niliona matokeo kiasi sasa nmshukuru mungu nipo vizuri kiasi tofauti na miezi mitatu nyuma moyo auumihumi kifua kubana kimeacha miguu kuwaka moto imepote naweza tembea umbali mrefu na kifua kisibane kukohoa damu kumekata yaan nipo vizuri
hivi muhimu sana BAMIA,UGARI WA DONA,ASARI, TANGO, KUPUMZISHA MWILI, KUFANYA JIMAI KWA UTARATIBU MZURI, KUACHAKUBEBA VITU VIZITO tiba zilizonisaidia sana
Asante Sana ndugu yangu PAMJELA ushauri wako wa kuhusu kupumzika ni mzuri Sana maana Siku ambazo siendi Kazini hasa,Jmos na Jpili maumivu Hakuna na nakuwa mzima Kabisa,swala la kupumzika nitalifanyia kazi Sana ikiwepo muda wa kulala usiku Mapema Sana....!!
 
Habari mkuu pole kwa hilo tatizo linalokusumbua

Mkuu kama hayo maumivu yapo kifuani upande wa kushoto au hata kulia, yawezekana sio ugonjwa wa moyo kama unavyofikiria maana madoctor kama ungekuwa na matatizo ya moyo mapema sana tatizo lako wangeliona, hicho kifaa walichokiingiza kilienda kupiga picha na kuchukua vide katika mishipa yako yote ya moyo so kama wangeona tatizo wangekwambia, ina maana huna tatizo la moyo

Mkuu mimi sio doctor lakini yawezekana asilimia 100% unasumbuliwa na kitu kinachoitwa acid reflux, katika mwili wako tatizo ambalo lilishwawahi kunikuta mwaka mmoja uliopita na lilinipa tabu kweli kweli hadi nikahisi ni ugonjwa wa moyo maana kifua kilikuwa kinauma na kubana endapo nitatembea umbali mrefu au kufanya kazi nzito, moja kwa moja nilihisi kuwa ni heart attack au labda ni mishipa ya damu imeziba kwa mafuta ndio maana kifua kikawa kinabana upande wa kushoto na katikati lakini kumbe tatizo lilikuwa ni acid reflux, yaani tumbo kuwa na acid nyingi kitu ambacho kinapelekea hiyo acid kupanda juu na kuleta maumivu makali ya kifua na kifua kubana au kuuma

Mara nyingi case ya huu ugonjwa hufanana moja kwa moja na magonjwa ya moyo kama heart attack au mishipa ya moyo kuziba maana dalili zake hufanana

k
Mkuu ulitumia dawa gani maana namim ninadalili kama ulizosema hapo
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom