msonganzila
JF-Expert Member
- Jun 5, 2016
- 204
- 105
Ndugu zangu Wa JF naomba msaada kwa ambae nafahamu juu ya hili.
Mtoto wangu alikuwa anaumwa na Sikio,lilikuwa likitoa Usaha,March 13 tukampeleka kwa Doctor akampatia Dawa,moja ya kuweka kwenye sikio lenyewe inaitwa CIPROFLOXACIN EYE/EAR DROPS(cipro-cent) unaweka Matone mala Tatu kwa siku,pia akapewa Dawa ya kunywa CLAMOVID (co-Amoxiclav for oral suspension u.s.p 156.25mg/5ml) ambayo pia alikuwa anakunywa mala 3 kwa siku.
DAWA HIYO IKATUMIKA KWA SIKU SABA IKAWA IMEKWISHA,Tukakaa siku saba kisha tukalejea tena kwa Doctor April 3 Doctor akamwangalia akasema bado kwenye sikio kuna Unyevunyevu akampa tena aina ya Dawa hizo hizo kisha tuludi baada ya week 2.....SA MSAADA WANGU NINAOHITAJI KUTOKA JF HAPA NI;- LEO APRIL 8 MTOTO ANACHEMKA BALAA.....PIA ANATOKA VIUVIMBE VIDOGO VIDOGO KAMA KAUMWA NA KITU....VINAWASHA SANA,PIA MASIKIO YANAWASHA NA KUCHEMKA SANA,MUDA WOTE ANALIA LIA TU,UMRI WAKE NI MIEZI 10 NA SIKU NANE....MSAADA NDUGU ZANGU NAHOFIA KUWA TUMEZIDISHA DAWA AU NI NIN HAPO.....?? MSAADA NDUGU ZANGU....KARIBUNI....