Search results

  1. shizukan

    Zanzibar inainyonya Tanganyika, wakati wa kudai Tanganyika yetu

    Nenda Bagamoyo kashuhudie magunia ya mkaa yanayopakiwa kwenye majahazi kwenda Unguja kila siku ya Mungu ili kuilisha jamii ya watu wenye chuki ambao hawako tayari kukuonesha hata njia endapo tu watabaini umetoka Bara. Mimi nitaendelea kukumbuka kauli za watu hawa wabaguzi mara baada ya fununu...
  2. shizukan

    Hivi tunajua maana ya kusalimiana au tunafanya mazoea?

    Moja kati ya tabia zetu (Watanzania) zinazonishangaza ni namna yetu ya kusalimiana. (Na pengine salamu zenyewe) Mfn: A na B wameongozana pamoja, wanamkuta C kakaa nje ya nyumba yake. A anamsalimia C : Habari za saa hizi? Anajibiwa: Nzuri wkt huo huo B anamsalimia C : Habari za leo? Naye...
  3. shizukan

    Wanawake wa malezi haya hawajui amani ya ndoa

    Kwa muda nimekuwa nikiwachunguza wanawake/wasichana ambao wanaingia katika mahusiano/ndoa kutoka katika familia ambazo wazazi wametengana au waliwahi kutengana. Kwa wachache nilipata fursa ya kuchunguza mienendo yao ktk mahusiano nimegundua wana mtazamo tata kuhusu ndoa na kwa hili huwa chanzo...
  4. shizukan

    Maths Professor!

    We mathematicians can prove anything mathematically without being bribed! For example, I can prove 1=2. Let x = y Then 2x - 2y = x - y Bracket the expression to get (2x - 2y) = (x - y) Taking 2 out of the brackets, we get 2(x -y) = (x - y) from here we divide the equation by (x - y) from...
  5. shizukan

    Heavy Duty Mouse Trap!

    A man rushed into a shop in such a hurry that he nearly knocked down other customers standing by the counter. Man: Do you sell mouse traps? Shopkeeper: Oh, yes of course! 5 dollars, I will get one for you. (he turned to a little wooden box, opened it and start searching) Man: Please hurry, I...
  6. shizukan

    Tuitafsiri vipi serikali ya ccm katika hili la magamba?!!!

    Nimesoma front page ya Mwananchi ya leo kwenye mtandao, kuna habari za CCM kuunda kamati ya nidhamu ya chama kushughulikia 'magamba' yaliyogoma kuvuka kwa hiyari. Kiini cha hoja yao ni 'utuhumiwa wa ufisadi' na wengi wa watuhumiwa ni 'viongozi wa serikali na wastaafu wa umma' soma habari hapa...
  7. shizukan

    Nazi zimepanda bei au ni double standards kwenye HUKUMU?

    Kwenye magazeti ya Ijumaa iliyopita, mojawapo limeandika habari za kufungwa jela miaka miwili jamaa mmoja huko Zanzibar (somebody Athumani) kwa kosa la kuiba nazi 10 ktk shamba la makamu wa rais Shaababi Gharib Bilal. Nilichokishangaa mimi ni kupewa hukumu sawa na huyu jamaa yetu asiyeweza...
  8. shizukan

    Binti yangu anakojoa kitandani

    Tafadhali wanaJF kama kuna mtu ana-experience tatizo kama la kwangu na amelitatuaje. Binti yangu ana miaka 13 sasa na anakojoa kitandani almost everyday. Hili tatizo sasa linamuathiri kisaikolojia kwa kuwa amekuwa mkubwa sasa. As you know hapa kwenye hii nchi iliyouzwa kila kitu ni blah blah...
  9. shizukan

    Nafasi za kazi AGRIBUSINESS

    Bandugu wanaJF, kuna hizi nafasi za kazi zimetoka kwenye The Guardian Nov 4 za the so called Agribusiness, kwenye site ya Zoom zimeelezwa kwa kifupi kupita maelezo hakuna requirements wala description na mbaya zaidi ni mode of application kupitia zoom. Kama ndugu yetu wa ZOOM ataona ujumbe wangu...
Back
Top Bottom