Nafasi za kazi AGRIBUSINESS | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nafasi za kazi AGRIBUSINESS

Discussion in 'Nafasi za Kazi na Tenda' started by shizukan, Nov 7, 2011.

 1. shizukan

  shizukan JF-Expert Member

  #1
  Nov 7, 2011
  Joined: Jan 16, 2011
  Messages: 1,158
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 0
  Bandugu wanaJF, kuna hizi nafasi za kazi zimetoka kwenye The Guardian Nov 4 za the so called Agribusiness, kwenye site ya Zoom zimeelezwa kwa kifupi kupita maelezo hakuna requirements wala description na mbaya zaidi ni mode of application kupitia zoom. Kama ndugu yetu wa ZOOM ataona ujumbe wangu atusaidie kwa hili pia, pale wameelekeza tutume references na tatizo ni kwamba hakuna namna unaweza ku-upload more than 5 files kupitia zoom. Kama yupo mwana JF mwenye kopi ya the guardian ya 4th Nov, please do me (us) a favour kutuscania na kulink that page from the paper ili tupate e-mail address ya agribusiness tutume makaratasi yetu tusubiri kuitwa kutoa rushwa
   
 2. tindikalikali

  tindikalikali JF-Expert Member

  #2
  Nov 7, 2011
  Joined: Jan 14, 2011
  Messages: 4,883
  Likes Received: 96
  Trophy Points: 135
  kweli mkuu, hata mimi ndipo huwa napata shida na hwa zoom. siwezi kuattach files
   
 3. Kalunguine

  Kalunguine JF-Expert Member

  #3
  Nov 7, 2011
  Joined: Jul 27, 2010
  Messages: 2,544
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  Tuma covering Cv,covering letter and references to avrecruit.morogoro@gmail.com-Ddline tarehe 18Nov.Experience ni 5 yrs for senior and mid level positions,juniors-3yrs
   
 4. shizukan

  shizukan JF-Expert Member

  #4
  Nov 7, 2011
  Joined: Jan 16, 2011
  Messages: 1,158
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 0
  Hii inahusika na AGRIBUSINESS au unatupa mchongo mpya? Kama ni wa AGRIBUSINESS unaweza pia kunisaidia job descriptions na qualifications za Driver? I will appreciate comrade.
   
 5. shizukan

  shizukan JF-Expert Member

  #5
  Nov 7, 2011
  Joined: Jan 16, 2011
  Messages: 1,158
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 0
  Hii inahusika na AGRIBUSINESS au unatupa mchongo mpya? Kama ni wa AGRIBUSINESS unaweza pia kunisaidia job descriptions na qualifications za Driver? I will appreciate comrade.
   
 6. Kalunguine

  Kalunguine JF-Expert Member

  #6
  Nov 7, 2011
  Joined: Jul 27, 2010
  Messages: 2,544
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  POsts za Agribusiness Project drivers,logistic officer,IT specialist,Office manager na Data entry-(Party Time) hawajasema specific qualifications.Hizo wamezitenga kama administrative positions,tofauti na technical positions zingine awe na experience ya kitu gani..Sina scaner,I could scan for you ili ujionee mwenyewe.
   
 7. shizukan

  shizukan JF-Expert Member

  #7
  Nov 7, 2011
  Joined: Jan 16, 2011
  Messages: 1,158
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 0
  That is enough, thank you!
   
 8. Likwanda

  Likwanda JF-Expert Member

  #8
  Nov 7, 2011
  Joined: Jun 16, 2011
  Messages: 3,854
  Likes Received: 45
  Trophy Points: 145
  Pm Kwa Totolucky, naona yeye ndiye Mr huwa anawakilisha vizuri zoomtanzania.
   
Loading...