Search results

  1. J

    naomba mnitafutie kazi jamani

    Dah kumbe 2po weng, ushauri wa kujiajiri ni mgumu na unachallenge zake (1) lack of capital (2) experience (3) most of us graduate we are n't ready psychologically to be entrepreneur,(4) poor gvt policy (5) condtn of gettn loan frm micro- fnc usiombe! Mi mwenyew ni graduate wa sua lakn college...
  2. J

    MGOGORO: Malumbano ya UVCCM, Viongozi wastaafu na Hatima ya CCM

    Huyu jamaa ni mpuuzi sana! Mimi namjua vzur sana paul ni kijana safi na mtu muadilifu huyu jamaa tangu jana anamchafua ametumwa tu,
  3. J

    Migogoro ya ndani kwa ndani dhidi ya chama tawala

    Ngoja mi nseme kitu, paul makonda, 2lianza nae chuo 2007, mi nikiwa nachukua shahada ya ununuzi na ugavi, ila yey alichukua shahada ya menejiment ya ushirika na uhasibu. Ni kwel alidisco na akaomba kuanza upya tena shahada ya community economic devpt, na alipofika mwaka wa pili alipospond mwaka...
  4. J

    Shehe Mkuu wa Tanzania awakataza Waislamu kushiriki maandamano ya kisiasa

    Aisee meku! Wakristo 2015 tukichagua chadema na waislamu wakachagua ccm na cuf c 2meshinda chadema waache2 wapromote udini watakiona
  5. J

    Lipumba awavaa viongozi CHADEMA

    Yan badala ya kukosoa chama tawala we unakomaa na chadema, nahic cuf wamekosa mwelekeo
  6. J

    Picha za kusikitisha : Usifungue !!

    @ wew unayejiita geophysics, hv kwa nn kila kitu unacritisize na his una upunguf fulan
  7. J

    Kama umezaliwa mwaka 1985 na 1986

    Ni kweli haya yalitukuta na yanaendelea kutuangamiza
  8. J

    Kama umezaliwa mwaka 1985 na 1986

    Habarini wana jf jukwaa lenya watu makini na kutetea wanyonge, napenda kuanza kama ifuatavyo, kwa sisi tulizaliwa mwaka 1986 nakumbuka tulipitia pre- primary school na kupata kikombe cha uji na maziwa maisha hayakuwa shida na kufanikiwa kujiunga primary school ambapo kuanzia mwaka 1994-2000...
  9. J

    Natafuta kazi

    Mmmh mko cul
  10. J

    Natafuta kazi

    @geophysics sory nafikir status ya vyuo utapata tcu na inawezekana haujaangalia miaka kama mitano hv, ngoja nkupe shule ni branch ya SUA, na ni chuo kweny ukanda wa jangwa la sahara pekee cha biashara na ushirika, so kinajulikana labda wew2 hukifahamu na unashangaza sana na ni chuo pekee...
  11. J

    Natafuta kazi

    Hi, jamani kama jina langu lilivyo jobless ni muhitimu wa chuo, nmemaliza shahada ya kwanza chuo kikuu kishiriki cha ushirika na studi za biashara (muccobs) ba-procurement and supply mgt. Nna upper second gpa. Kama kuna m2 anamsaada kwang kupata angalau sehemu ya kujishikiza mawasilianao email...
  12. J

    Mambo ya kwa Babu LOLIONDO

    We m2 wa wap? Aisee kweny mambo ya mungu hakuna usomi, kwanza hujasoma bible vizur, c kila m2 ni mtakatifu wa kupewa karama ya uponyaji, mungu humteua mmoja katika kundi kwa ajili ya kudhihirisha ukuu wake, peleka upuuz wako huko
  13. J

    Hi

    Mmmh kwel, 20yrs huku, sa english yenyewe! Bac2 kanyaga twende jitokezen wenye sifa anazotaka mtoto
  14. J

    Kutoka Karimjee Hall: Mjadala juu ya Tamko la Uongozi wa Waislamu Jan 15, 2010

    Huu sasa ndo udini mbele na kuacha nyuma maslah ya nchi, cion kosa la maaskof , ni freedom of speech, tumsifu yesu kristo , bwana asifiwe mi naona niwe upande wa maaskofu tu maana hawa jamaa c wazur, na chama changu chadema. Usiulize kwa nn?
  15. J

    Yaliyojiri: Kongamano la Katiba: 15 Januari 2011 Nkrumah UDSM

    @genius brain, we chalii akili zako za kuku, we uwezo wa kufikir mdogo , na huna uchungu na kizaz kijacho , cjui nkwambiaje , 2nahitaji katiba mpya hata wasomi wanaunga mkono sasa unaleta ujinga ujinga2.
  16. J

    Yaliyojiri: Kongamano la Katiba: 15 Januari 2011 Nkrumah UDSM

    Naoma kurekebisha sio ushirika, ni (muccobs) moshi university college of cooperative and business studies ushirika kilikuwa zamani
  17. J

    Maaskovu Vs. Makamba na mgongano wa Arusha

    Mmmh kweli ccm kuna udini, lakin si tulisema serikali haina dini yote haya yanatoka wap? Makamba hajielew
  18. J

    computer inagoma ku log on...

    Mi pia nkiwasha inaniandikia your battery is low start window normally but nkichoose hapo inazima na kurestart tena wakati nmechomeka adapter kwa muda mrefu na nkichek level ya battery nakuta imejaa lakin haija be installed je ni tatizo gani?
  19. J

    Je waifahamu Muccobs?

    Muccobs ni chuo kikuu kishiriki cha ushirika na biashara ni branch ya Sua, kilipata kuwa university mwaka 2004, ningependa kusema kwamba tangu kipewe hadhi ya kuwa chuo kikuu kishiriki hamna darasa wala jengo lolote lililojengwa zaidi ya kubadili canteen kuwa lecture hall, dept ya kuhifadhi...
  20. J

    Hi

    Da ama kwel kama nlivyonena ugenini kaz yote haya yang, bado mengne yanakuja da but haina mbaya c kwamba kuwa jobless ndo ucgmix na wa2". No kujichanganya muhm mwisho jobless d'nt giv up da green pasture is near, and u d'nt hv any reason 2giv up!
Back
Top Bottom