Natafuta kazi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Natafuta kazi

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Jobless B, Mar 9, 2011.

 1. J

  Jobless B Member

  #1
  Mar 9, 2011
  Joined: Jan 12, 2011
  Messages: 29
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hi, jamani kama jina langu lilivyo jobless ni muhitimu wa chuo, nmemaliza shahada ya kwanza chuo kikuu kishiriki cha ushirika na studi za biashara (muccobs) ba-procurement and supply mgt. Nna upper second gpa. Kama kuna m2 anamsaada kwang kupata angalau sehemu ya kujishikiza mawasilianao email. Blessingme74@ovi.com. Najua jf ndo kila kitu. Nawasilisha
   
 2. g

  geophysics JF-Expert Member

  #2
  Mar 9, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 904
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Hii MUCCOBS ndio chuo gani...na ubora wake katika masomo ukoje???? Twaweza kukupatia kazi lakini wasi wetu utendaji na ubora wa elimu yako. Ushirika na studi za biashara? Ushirika uliishakufa lakini we unaenda kusomea chuo cha Ushirika. Nashauri utumie matokeo ya form six kwanza kuliko degree.
   
 3. J

  Jobless B Member

  #3
  Mar 9, 2011
  Joined: Jan 12, 2011
  Messages: 29
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  @geophysics sory nafikir status ya vyuo utapata tcu na inawezekana haujaangalia miaka kama mitano hv, ngoja nkupe shule ni branch ya SUA, na ni chuo kweny ukanda wa jangwa la sahara pekee cha biashara na ushirika, so kinajulikana labda wew2 hukifahamu na unashangaza sana na ni chuo pekee kinachotoa digrii pure ya ununuzi na ugavi. Kwa msaada zaidi nenda Procurement and Supplies Professionals and Technicians Board (PSPTB), Moshi University College Of Co-operative & Business Studies. Na www.tcu.ac.tz utakuwa umeiva.
   
 4. J

  Jobless B Member

  #4
  Mar 9, 2011
  Joined: Jan 12, 2011
  Messages: 29
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mmmh mko cul
   
Loading...