Kama umezaliwa mwaka 1985 na 1986 | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kama umezaliwa mwaka 1985 na 1986

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Jobless B, Mar 18, 2011.

 1. J

  Jobless B Member

  #1
  Mar 18, 2011
  Joined: Jan 12, 2011
  Messages: 29
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Habarini wana jf jukwaa lenya watu makini na kutetea wanyonge, napenda kuanza kama ifuatavyo, kwa sisi tulizaliwa mwaka 1986 nakumbuka tulipitia pre- primary school na kupata kikombe cha uji na maziwa maisha hayakuwa shida na kufanikiwa kujiunga primary school ambapo kuanzia mwaka 1994-2000 tulilipa ada kwa ajili ya maendeleo ya shule na 2kafanikiwa kupata elimu bora ingawa ni kwa gharama lakini pasipo kupata kikombe cha uji au chai, baadae 2kafanikiwa kujiunga na shule za sekondari ndipo wengi wetu tukaanza kujitambua, mwaka 2002 serikali kwa kudai inaongeza kiwango cha elimu ikapandisha wastan, 2lipofika fm4 mitihani ikavuja na kufanya weng we2 kuishia hapo kwa kupata div 4 na 0, wachache 2lipigana na kuvuka lakini c kwa uzembe wetu bali ni kwa uzembe wa serikali, tukaendelea na kufika 2007, ambapo 2lifanya vizuri mitihani yetu 2kitegemea matokeo mazur kumbe serikali ilipanga mchezo mchafu dhidi yetu kwamba hawa ndo waliiba mitihani 2004 so lazima 2lipize ambapo walihitaji div 3 nying kwa ajil ya crash program kupata walimu weng kwa ajili ya mpango wa maendeleo kwa elimu ya sekondari, na wachache sana 2lijiunga na vyuo vya elimu ya juu, 2007 huku ndo sasa weng wetu tulifahamu zaid haki zetu na kuona ukandamizaji wa serikali kwa wanachuo ambapo kulikuwa na migomo kadhaa kuishinikiza serikali kutambua ugumu wa maisha na sera ya serikali ya cost sharing ambopo condition zake hadi leo zinatutia kifungoni kwa hivi vichache tulivyoweka co-lateral, na nakumbuka wakati tukidai haki zetu ili kurudi chuo mwanzo mwa mwaka 2009 tulilazimishwa kusaini form ya kuomba kudahiliwa upya na masharti magumu, lakin kwa kuwa ha2kuwa na uwezo wa kukataa ili2bidi tufanye hvyo tu, nakumbuka baada na haya yote chuoni kulingana na uonevu huu nakumbuka wengi wetu tulikuwa na shauku ya kuona mwaka 2010 ni mwaka wa mabadiliko na kwa nguvu zote tulikiona chama ambacho kitakachoondoa majonzi yetu, lakin baada ya kusikia kwamba 2mechoka kuonewa na tunataka mabadiliko, zilifanyika hila chafu kwamba kwa sisi tuliokuwa 2namaliza ha2kupewa haki ya kurudi makwetu kujiandikisha so at the end 2kawa ha2jielew na wenzetu walikuwa wanabaki walipewa matumaini watapiga kula wakiwa vyuoni lakin kwa ubabe wa serikali kweli halikutokea hilo, na baada ya kumaliza wana2dai mikopo yao, hawajatengeneza mazingira ya kujiajiri, harafu kwa ajira za serikali wamesema hela hamna hd bajeti ijayo so ni historia ya majonzi tupu takriban wahitimu wavyuo 10000, hawana ajira hadi sasa, hiv kwel watu kama sis utuambie kuna demokrasia na maendeleo tz, tunahitaji serikali yenye demokrasia na maendeleo kupitia (chadema)
   
 2. TANMO

  TANMO JF-Expert Member

  #2
  Mar 18, 2011
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 8,919
  Likes Received: 220
  Trophy Points: 160
  Pole na hongera kwa kutambua haki zako.. Tupo pamoja kwenye harakati
   
 3. Sizinga

  Sizinga JF-Expert Member

  #3
  Mar 18, 2011
  Joined: Oct 30, 2007
  Messages: 7,923
  Likes Received: 455
  Trophy Points: 180
  Flow mzuri ya mawazo lakini ungenganisha kwa nucta na space kati ya para na para ingekuwa mzuri zaidi...lakini kwa ufupi tu sio nyie peke yenu ndio mmeonewa...kuanzia kwako ondoa miaka tano nyuma na ongeza ongeza miaka yote iliyobaki baada ya mwaka wako hayo yote uliyosema ndiyo nyumbani kwake...mpaka leo ajira ni tatizo, mkopo ni tatizo, walimu ni tatizo, umeme ni janga, miundombinu ni monchary, mafisadi wako juu, mitihani inavuja kama kawa, watoto wa wakubwa ambao walikuwa vilaza tu washuleni wanapeta..and so n so....!!
   
 4. Husninyo

  Husninyo JF-Expert Member

  #4
  Mar 18, 2011
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 23,814
  Likes Received: 589
  Trophy Points: 280
  Oopps!
  Nimechelewa kuzaliwa.
   
 5. Gsana

  Gsana JF-Expert Member

  #5
  Mar 18, 2011
  Joined: Aug 28, 2010
  Messages: 4,387
  Likes Received: 348
  Trophy Points: 180
  Mkuu pole kwa ilo. Nataka kusema kuwa hamna story ya ukweli niliyokutana Jf na kuiamini %100 kama yako. Ni ukweli mtupu,pia kweli mitihani ilivuja 2004 na wakaaidi kuwakamata 2007 kitu ambacho kilitendeka. Mtihani wa f6 2007 ulikuwa mrahisi lakini hakufanana na matokeo yake. Nasikia maksi zilitengezwa baraza la mitihani ili kupunguza watakaopata mikopo mwaka 2007. Hapa walipanga div.I ziwe ngapi,II,III n.k. Mwalimu aliyesahihisha mtihani alivujisha siri za watu flani,majina sitataja,walikuwa wamepata div.ì ila walipopanga matokeo walipata 2 point10,na 11. Wakati wa kuomba mikopo wakasema div.2 wavulana hawatapata,walipopokea maombi kidogo sana HELSB,ikawa aibu,wakaongeza kuwa wavulana div.2 nao wapewe mikopo. Wakatangaziwa nao wakaomba upya. Hawakutosha mpaka na baadhi ya div.3 walipewa mikopo hata bila vigezo wala kusoma kozi maalum,nina mifano ya div3 wahasibu TIA,IFM ,bCOM udsm na procurement cbe dodoma waliopata mikopo wakiwa na div.3. Yani siasa za watawala na ufisadi ujinga wa taifa. Pole sana ndugu ila umesahau kitu,hata baada ya kumaliza chuo 2010,serikali imesema haina ajira za kuwapa mpaka 2011. Kizazi cha 1983-1986 wenye kuhitimu na kupata ajira ni wachache mno na waliohitimu chuo 2009 mpaka 2010 %95 hawana ajira! Kubali usikubali kizazi hiki kimetelekezwa!!
   
 6. nziriye

  nziriye JF-Expert Member

  #6
  Mar 18, 2011
  Joined: Jan 23, 2011
  Messages: 960
  Likes Received: 47
  Trophy Points: 45
  We have a lot to say kwa wale wenzangu na mie wa mwaka 1983-1986,yani i wont forget ktk maisha yangu misukosuko ya nectas za 2004 na 2007 yani walivyotutendea mmmh!!nashukuru nilipata ka-division 2 kwa mitihani yote miwili na hako kalinipa tikiti ya kula boom lao pale udsm,shida sasa inakuja ni pale inapokuja swala la ajira mmmh! kama ni nuksi vile ,ni mwendo wa know who?nenda na tembea uone wahitimu wengi wamekimbilia ualimu,kuuza mitumba,customer cares,n.k n.k,mfumo mbovu wa elimu ndo unaoleta haya yote kwani serikali inatuandaa tuje kuwa job seekers na si job creators ,so bandugu lets wait until we get job from them.
   
 7. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #7
  Mar 18, 2011
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,520
  Likes Received: 19,943
  Trophy Points: 280
  kumbe naweza kuwazaa wote :) kweli JF tupo hadi na wajukuu zetu hapa.
   
 8. nziriye

  nziriye JF-Expert Member

  #8
  Mar 18, 2011
  Joined: Jan 23, 2011
  Messages: 960
  Likes Received: 47
  Trophy Points: 45
  teh teh teh teh teh...babu ivuga bwana unajua what tunajaribu kumega na kuvuna busara za watu wazima na pia tambua above 18 huyo si mtoto according to sheria za nchi,so wote hapa ni watu wazima na nadhani hata wewe ukiwatembelea wazazi wako unakuwa mtoto kwao ,so kwa that perspective sie ni wajukuu zako
   
 9. Deodat

  Deodat JF-Expert Member

  #9
  Mar 18, 2011
  Joined: Sep 18, 2008
  Messages: 1,279
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 145

  teh teh teh! waache vijana wachote hekima kwa sisi wazazi wao!
   
 10. J

  Jobless B Member

  #10
  Mar 19, 2011
  Joined: Jan 12, 2011
  Messages: 29
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ni kweli haya yalitukuta na yanaendelea kutuangamiza
   
 11. m

  mataka JF-Expert Member

  #11
  Mar 19, 2011
  Joined: Feb 4, 2011
  Messages: 287
  Likes Received: 30
  Trophy Points: 45
  pole nziriye kwa yanayokusibu
   
 12. s

  sugi JF-Expert Member

  #12
  Mar 20, 2011
  Joined: Feb 12, 2011
  Messages: 1,367
  Likes Received: 113
  Trophy Points: 160
  you are born to suffer
   
Loading...