Habari wana jf .... samahani naomba kufahamishwa ni lini hasa mtu aliyejifungua kwa operation anaweza kuanza kula kawaida tofauti na ndizi au viazi. Kwani havikai tumboni na mtoto ananyonya saana kwa hivyo unakuta muda wote mama ananjaa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Habari zenu jmn.... hii dawa ya kuchoma kwenye mishipa kwa mjamzito kwa ajili ya uti ni salama? haiwezi kuleta madhara kwa mtoto. ujauzito ni wa wiki 28...
Habari zenu.
Naomba kupatiwa ufafanuzi mimi ni mjamzito sasa kwa muda si mrefu saana nona vitu vinapita kwenye macho kama mistari isiyo na shepu ( eye floaters) nimeenda kwa gyno zaidi ya mara nne anasema ni kawaida kwa sababu vipimo vyote vipo sawa... presha ipo sawa.
Damu ipo sawa. Sukari...
Habari zenu ndugu zangu.... nahitaji msaada wenu saana. Dada angu ni mjamzito wiki ya 15 sasa ila jmn hali yake haitaki kabisa kuimarika ni kutapika nyongo japo kwa sasa sio kila siku sasa kinachonileta kwenu ni rangi husika ya nyongo akianza kutapika inakuwa njano ile kali akiendelea inakuwa ya...
Habari zenu wana jf......
Mdogo wangu ni mjamzito mimba kama mwenzi mmoja hivi ameenda hospitali ameambiwa ana U.T.I na TYPHOID amepewa amoxicillin 250mg atumie kwa siku kumi na anakunywa 2×3
Je wapendwa kwa hali yake ni sahihi.
Habari zenu wana jf. Naombeni msaada wenu mimi ni muhitimu wa shahada ya uchumi na maendeleo. Kwa muda mrefu sasa nimetafuta kazi sijapata lakini moyo wangu unanisukuma kufanya kazi katika mashirika yanayoshughulika na jamii katika mambo ya ukimwi, watoto wanaoishi katika mazingira magumu, yaani...
Habari zenu wapendwa! Kama kichwa cha habari kilivyo je umeshawahi kuwa na rafiki, namaanisha urafiki wa kawaida tu yaani kwa mwanamke ni mwanamke mwenzio(shosti) na kwa mwanaume ni mwanaume mwenzio(mshkaji). Halafu mkatofautiana kiasi kwamba ukajuta kuwa na urafiki nae? Karibuni kuchangia
Habari zenu wana jf. Mdogo wangu amemaliza degree ya economic of development. Kwa sasa anataka asome masters ya community development. Kulingana na soko la ajira hii kozi ni nzuri au? Msaada wenu wa mawazo plz.
Hivi wanawake tuna nini lakini, yaani wewe umeolewa na bado unamtafuta mume wa mwenzio na unalazimisha kumtumia meseji na asipo jibu unalalamika utadhani mumeo. Ukiulizwa si unamume wewe unasema eti hashiki simu yangu.
Jamani heshimuni ndoa zenu kama hueshimu yako heshimu basi ya mwenzio...
Habari zenu wana JF wenzangu,
Je ni muda upi unashauriwa ukae kwenye mahusiano na mpenzi wako kabla ya kufunga ndoa? Maana naona watu wakioana mapema matatizo yakianza basi watasema hawakujuana vizuri na pia wakikaa mda mrefu matatizo yakianza watasema alificha tabia. Sasa ni kipindi gani...
Habari zenu wana JF wenzangu,
Ningependa kutoa ushauri kwa wenzagu ambao bado hawajaoa wala kuolewa,jamani pateni nafasi ya kuzichunguza familia mnazotaka kuingia.
Mnaweza kuwa mmekutana ofisini,chuoni,kanisani,sokoni au kwenye mitandao yetu ya kijamii na mkapendana sana,ila katika maisha...
Habari zenu wana jf. Nimeolewa nina miezi sita sasa kwenye ndoa yangu ila sijafanikiwa kupata ujauzito.nimejaribu kukutana na mume wangu siku za hatari kuanzia siku ya kumi na moja bila mafanikio. Hospitali nimepewa dawa za kukomaza mayai nilitumia mwezi uliopita.na siku zangu huwa na pata...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.