Wadudu wapo above 100 wanasema imekua kali saaanaKwanini asitumie amoxycilline,,
Ninachokiona hapo ni biashara ya dawaWadudu wapo above 100 wanasema imekua kali saaana
Ni Ceftriaxone,dawa ni salama in brief.Habari zenu jmn.... hii dawa ya kuchoma kwenye mishipa kwa mjamzito kwa ajili ya uti ni salama? haiwezi kuleta madhara kwa mtoto. ujauzito ni wa wiki 28...
Ninachokiona hapo ni biashara ya dawa
Private hospAmeandikiwa hospitali ya Serikali au Private?
Matumizi mabaya ya antibiotic
Atumie tu Caps Amoxyclline kwa muda siku 7
Na pia awe anakunywa Maji ya kutosha
Kwani ni vibaya kuuliza? Si unapata elimu zaidiSiku hizi kila mfanyiwacho huko mnapofanywa hukimbizia sehemu kama hizi
Asante saaana.Ni Ceftriaxone,dawa ni salama in brief.
Sio cetriaxone
Unge muuliza aliye kupatia dawa kule kuleeeeKwani ni vibaya kuuliza? Si unapata elimu zaidi
Tunatumia Ceftriaxone injection mahali ambako Mara nyingi hapastahili na hii ndiyo inayofanya kujenga usugu mapema sana wa sawa ambao ni muhimu kwa tiba.Private hosp
Mkuu uko sawa kabisa nakuunga mkono,mie naona Si changamoto kubwa sana kwa suala la huyu matwin,kati ya dawa zilizotumika na amabazo zinatumika in indiscrimate way ni dawa za familia ya penicillin,mfano shida za mfumo wa hewa kama mafua makali au kikohozi ,ni kama mtu anavyoweza kununua paracetamol mtu atakimbilia kununua Amoxicillin bila kupata ushauri wa mtaalamu. mtoa huduma alikuwa Sawa tu,ila kama ningekuwa ni Mashauri wake ningemuomba ampe Cefdnir badala ya Ceftriaxone maana ni ya vidonge hivyo mgonjwa hatapata traumatic treatment.Ceftriaxone ni dawa ya kawaida tu,third generation cephalosporin inategemea pia na culture and sensitivity results.Tunatumia Ceftriaxone injection mahali ambako Mara nyingi hapastahili na hii ndiyo inayofanya kujenga usugu mapema sana wa sawa ambao ni muhimu kwa tiba.
Mahali ambao daktari angetumia antibiotic ya level ya kwanza au pili unakuta daktari anatumia antibiotic ya level ya tatu au ya nne ambayo ni ya juu kabisa bila sababu yoyote ya msingi. Mwisho wa siku tunatengeneza usugu wa sawa
Haya mambo kwa wenzetu wa ulaya na america huwezi kuyaona hata kidogo wanazilinda sana antibiotics zao ili kutozitumia ovyo Ku avoid kusababisha usugu wa sawa
Hapo ni changamoto kwa Madaktari, wafamasia,na mamlaka za usimamizi na ufuatiliaji wa huduma za afya
Kivipi?Kuua mende kwa SMG. Duh!
Kunadawa za daraja la chini ambazo zinafanya jazi vizuri tuu, na gharama rahisi.Kivipi?
Kama zipi? Na hii ni daraja la juu kivipi ?ila kwenye suala la gharama nakubaliana na wewe lakini si dawa hatarishi wala si dawa ya juu kivile,in brief it is broad pharmacological.May be walifanya culture & sensitivity,all in all is safe to be used in pregnant mother.Kunadawa za daraja la chini ambazo zinafanya jazi vizuri tuu, na gharama rahisi.
Mpaka mbongo aende hospital ujue ameshajidunga mi antibiotic ya kutosha ...ningekubaliana na wewe kwamba kabla ya kuitibu hiyo UTI basi kufanyike C/S.Tunatumia Ceftriaxone injection mahali ambako Mara nyingi hapastahili na hii ndiyo inayofanya kujenga usugu mapema sana wa sawa ambao ni muhimu kwa tiba.
Mahali ambao daktari angetumia antibiotic ya level ya kwanza au pili unakuta daktari anatumia antibiotic ya level ya tatu au ya nne ambayo ni ya juu kabisa bila sababu yoyote ya msingi. Mwisho wa siku tunatengeneza usugu wa sawa
Haya mambo kwa wenzetu wa ulaya na america huwezi kuyaona hata kidogo wanazilinda sana antibiotics zao ili kutozitumia ovyo Ku avoid kusababisha usugu wa sawa
Hapo ni changamoto kwa Madaktari, wafamasia,na mamlaka za usimamizi na ufuatiliaji wa huduma za afya