Habari zenu wana jf. Ninaishi dodoma mjini natafuta ajira.elimu yangu ni degree ya uchumi na maendeleo.
Mkuu Songambele kusini ya mkoa upi kuna mchumi pia yupo huko huko kusini anatafuta kazi.Ni PM nina nafasi lakini ya muda mfupi na mbali na Dodoma kama hutojali. Kama utafaa ufanye kwanza kama intern halafu performance yako itasema kama uchukue mkataba au la kuishi worry not ni katika mikoa ya kusini na nikipata details zako Zaidi zitanisaidia kufanya maamuzi.
Mkuu Songambele kusini ya mkoa upi kuna mchumi pia yupo huko huko kusini anatafuta kazi.
Mkuu kama ikitokea chance pia nitashukuru.Ni PM nina nafasi lakini ya muda mfupi na mbali na Dodoma kama hutojali. Kama utafaa ufanye kwanza kama intern halafu performance yako itasema kama uchukue mkataba au la kuishi worry not ni katika mikoa ya kusini na nikipata details zako Zaidi zitanisaidia kufanya maamuzi.