Habari zenu wana jf. Nimeolewa nina miezi sita sasa kwenye ndoa yangu ila sijafanikiwa kupata ujauzito.nimejaribu kukutana na mume wangu siku za hatari kuanzia siku ya kumi na moja bila mafanikio. Hospitali nimepewa dawa za kukomaza mayai nilitumia mwezi uliopita.na siku zangu huwa na pata tarehe 4 japo mwezi huu nimepata tarehe tano. Je nifanyaje kwa sasa au nikutane nae siku zipi? Nawasilisha