Naomba ufafanuzi wa dawa hii

matwin

Senior Member
Jan 7, 2016
124
134
Mimi ni mjamzito nimepewa dawa hii hosp sasa sijawah hata kuiona wala kuitumia je ni ya kazi gani.

1490098608011.jpg
 
Nimeisoma Mtandaoni nikakutana na maelezo haya, inaonekana ni kwa ajili ya kusaidia kukua kwa seli za neva za mtoto tumboni au maendeleo ya kichanga kwa ujumla tumboni

=================================
NeurotonlBl is a special combination of vitamins BI, B2, B6, BI2 and folic acid which are essential neurotropic factors. Vitamin 6-Complex consists of water soluble vitamins that are not significantly stored by the body; excess quantities are excreted in urine. They play a vital role as coenzymes in the conversion of carbohydrates, protein, and fat into energy largely needed by the nervous tissue.

itamm 6T l1as a very important role Intfie transmission of nerve impulses through nerve membranes. Severe deficiency of vitamin B 1 leads to peripheral neuritis and polyneuritis. Vitamin B2 enhances energy production. Symptoms of its deficiency
are mainly cheilosis, glossitis and scaly dermatitis. Vitamin B6 promotes red-blood-cell formation; and its deficiency leads to peripheral neuritis and anorexia. It is also needed for the nervous system, and normal brain function.

Vitamin BI2 is essential for the function of all cells especially those of the central nervous system, bone marrow and the gastrointestinal. It is important in nucleic acid and folic acid metabolism. Its deficiency leads to severe central and peripheral nervous system affections and pernicious anemia.

Folic acid is needed for the formation of red blood cells and the proper formation and function of white blood cells. It is important for healthy cell division and replication because it is a coenzyme in DNA and RNA synthesis. It is also very important during pregnancy, as it helps regulate embryonic and fetal nerve cell formation. Deficiency of vitamin BI2 and/or folic acid leads to megaloblastic anemia
 
Kichwa kizito ... kinakaza. Sioni vzr na miguu inachoka kwenye magoti... nimepima kila kitu kipo sawa ... sukari ipo sawa .. damu ipo sawa presha ipo sawa
Nakushauri ukiwa na hali hiyo upendelee kwenda hospitali zetu za serikali matwin! hospitali za binafsi ni nzuri lakini wanapenda kukuongezea dawa za kila aina ili vijisenti viingie kwenye mfuko wao!

Pole sana, kama umepata mashaka na hizo dawa rudi kwa Dr. umuulize au hata kwenye famasi ya karibu na wewe.
 
Nakushauri ukiwa na hali hiyo upendelee kwenda hospitali zetu za serikali matwin! hospitali za binafsi ni nzuri lakini wanapenda kukuongezea dawa za kila aina ili vijisenti viingie kwenye mfuko wao!
Pole sana, kama umepata mashaka na hizo dawa rudi kwa Dr. umuulize au hata kwenye famasi ya karibu na wewe.
Asanteeee saaana
 
Nimeisoma Mtandaoni nikakutana na maelezo haya, inaonekana ni kwa ajili ya kusaidia kukua kwa seli za neva za mtoto tumboni au maendeleo ya kichanga kwa ujumla tumboni...a
Pia mie nimesoma hivyo ila huyo aliyesema ni dawa ya stroke amenitisha
 
Multivitans ambayo itakufanya wewe na mtoto muwe safe wakati wa ujauzito. Kama hyo Folic Acid inazuaia neural tube defects wakati wa ukuaji wa mtoto tumboni .
 
Back
Top Bottom