Search results

  1. Ta-kibombo

    DOKEZO Manispaa ya Kahama mnatia aibu, mji unanuka. Badilikeni

    Kahama ni moja ya miji inayokua kwa kasi sana nchini. Pamoja na hilo, nadhani pia ni moja ya miji michafu sana nchini. Mitaro mingi ya barabarani inatiririsha maji machafu ya bafuni na yakwenye chemba za vyoo. Kuna baadhi ya mitaa ata ukipita kwa haraka unapokewa na harufu kali. Hivi idara ya...
  2. Ta-kibombo

    Msaada, simu inajirestart nakuleta mwanga mweupe

    Wakuu habari za uzima!naitaji msaada wenu jinsi yakulitatua tatizo la simu Mara kwa Mara inaleta mwanga mweupe bila kudisplay maandishi yoyote Yale mpaka niizime niwashe Mara kadhaa ndio inakubali napo haichukui muda kuendelea nalile lile tatizo.Aina ya simu ni tecno,ili tatizo limeanza gafla...
  3. Ta-kibombo

    Msaada:Simu inajirestart nakuleta mwanga mweupe

    Wakuu habari za uzima!naitaji msaada wenu jinsi yakulitatua tatizo la simu Mara kwa Mara inaleta mwanga mweupe bila kudisplay maandishi yoyote Yale mpaka niizime niwashe Mara kadhaa ndio inakubali napo haichukui muda kuendelea nalile lile tatizo.Aina ya simu ni tecno,ili tatizo limeanza gafla...
  4. Ta-kibombo

    Msaada:simu kujipokea

    Wakuu naombeni msaada wenu,simu aina ya tecno s1 ikipigiwa inaita kama sekunde mbili tu inajipokea yenyewe.Yani unaweza kua mbali na simu,simu ikipigwa unakuta imeshajipokea yenyewe IPO hewani.je,ili tatizo nalitatua vipi wakuu?
  5. Ta-kibombo

    Msaada:Wimbo remix ya wimbo akatambala wa saida karoli

    Salaam wakuu,kuna remix ya wimbo akatambala imeimbwa na saida karoli nimeisikia Leo kwenye kituo kimoja cha redio.Nimejaribu kuitafuta mitandaoni lakini sijafanikiwa,kama kuna aneweza kufanikisha kuupata wimbo huu anaweza kuuweka umu.Shukran
  6. Ta-kibombo

    Application yakutoa sauti kubaki beat kwenye audio

    Salam wadau,naomba kujua applications za zenye uwezo wa kutoa sauti nakubaki beat tu kwenye audio kwakutumia simu
  7. Ta-kibombo

    Msaada: Simu haisomi internet connection nikiweka laini ya halotel

    Wadau heshima kwenu.kuna simu nikiweka laini ya halotel mtandao unasoma lakini internet connection haisomi.Litakua tatzo ni nini make laini hiyo hyo nikiweka kwema kwenye simu nyingine internet unasoma.pia simu hiyo hiyo nikiweka laini nyingine internet connection unasoma vizuti tu
Back
Top Bottom