Msaada, simu inajirestart nakuleta mwanga mweupe

Ta-kibombo

JF-Expert Member
Joined
Dec 4, 2015
Posts
648
Reaction score
517
Wakuu habari za uzima!naitaji msaada wenu jinsi yakulitatua tatizo la simu Mara kwa Mara inaleta mwanga mweupe bila kudisplay maandishi yoyote Yale mpaka niizime niwashe Mara kadhaa ndio inakubali napo haichukui muda kuendelea nalile lile tatizo.Aina ya simu ni tecno,ili tatizo limeanza gafla siku ya pili Leo.Kama kuna namna yakulitatua naomba msaada wa kimawazo.
 
Mkuu hii jaribu kuiflash kwanza ikigoma nunua nyingine .
 
Nunua nyingine [emoji41]
Nyingine sio hoja,ila hii nayo bado ina muda mfupi sana toka inunuliwe kwahiyo kama inaweza rekebishika inaweza kuendelea kutumika hasa kipindi hiki cha vyuma
 
Wakuu habari za uzima!naitaji msaada wenu jinsi yakulitatua tatizo la simu Mara kwa Mara inaleta mwanga mweupe bila kudisplay maandishi yoyote Yale mpaka niizime niwashe Mara kadhaa ndio inakubali napo haichukui muda kuendelea nalile lile tatizo.Aina ya simu ni tecno,ili tatizo limeanza gafla siku ya pili Leo.Kama kuna namna yakulitatua naomba msaada wa kimawazo.
jaribu kureset kwanza?, ikiendelea kuzingua...kama bado ina warranty peleka calcare(service center yao tecno+infinix),kama huna warranty jaribu kuiflash wewe mwenyewe(kazi ndogo) au peleka kwa fundi.
 
mkuu niepekeze namna yakuiflash mwenyewe
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom