Ta-kibombo
JF-Expert Member
- Dec 4, 2015
- 648
- 517
Salaam wakuu,kuna remix ya wimbo akatambala imeimbwa na saida karoli nimeisikia Leo kwenye kituo kimoja cha redio.Nimejaribu kuitafuta mitandaoni lakini sijafanikiwa,kama kuna aneweza kufanikisha kuupata wimbo huu anaweza kuuweka umu.Shukran