Ta-kibombo
JF-Expert Member
- Dec 4, 2015
- 648
- 517
Wakuu habari za uzima!naitaji msaada wenu jinsi yakulitatua tatizo la simu Mara kwa Mara inaleta mwanga mweupe bila kudisplay maandishi yoyote Yale mpaka niizime niwashe Mara kadhaa ndio inakubali napo haichukui muda kuendelea nalile lile tatizo.Aina ya simu ni tecno,ili tatizo limeanza gafla siku ya pili Leo.Kama kuna namna yakulitatua naomba msaada wa kimawazo.