Search results

  1. samtz1

    Waliofanikiwa kufanya oral (TRC) kuanzia tarehe 5-8 february tukutane hapa

    Habari wana jamvi, Ni muda sasa umepita tangu baadhi yetu tuliofanikiwa kufanya interview ya oral pale Dodoma kwa kada tofauti tafauti katika shirika la reli TRC, naomba kujua kwa wenye uzoefu hivi huchukua muda gani kwa hizi interview mpaka kuita watu makazini? Maana mpaka sasa naona kimya.
  2. samtz1

    Dondoo kuhusu ujenzi wa nyumba za kisasa

    Kujenga nyumba yako mpya kunahitaji umakini mkubwa sana na wakati mwingine unahitaji kushiriki mwenyewe moja kwa moja katika nyanja zote za mchakato wa kujenga nyumba ili uhakikishe kuwa na mwisho mzuri wa nyumba yako "ya ndoto''. Kumbuka kuwa nyumba yako utakayojenga inatarajiwa kukaa kwa muda...
  3. samtz1

    Avatar za member wa JF zinaendana na tabia zao.

    Habari wadau, nimejaribu kufikiria na hili kuhusu avatar za member wengi wengi wa jf zinaendana na tabia zao.maana sometime nikiangalia avatar ya mtu na anachopost au comments nagundua wazi kabisa tabia na avatar iliyopo ya member husika inaendana na tabia yake mfano...
  4. samtz1

    Easy buy africa

    Habari za jioni wadau wa jf kuna huu mtandao wa Your Shopping friend in Africa - EasyBuyAfrica - Site naomba kujuzwa kama uko salama katitka kununua bidhaa online kupitia mitandao kama ebay n.k au kama kuna njia nyingine rahisi zaidi ya kununua bidhaa online.
  5. samtz1

    Mara ya kwanza kutumia smartphone(touch)

    Najua Kila mmoja wetu huwa anakumbana na changamoto kadha wa kadha pale anapokutana na kitu kipya.Hebu Niambie wewe ulipata changamoto zipi kwa Mara yako ya kwanza kutumia Simu aina ya smartphone au touch kama wengi walivyozoea kuita. Binafsi ilikua inanisumbua kuunganisha internet mpaka...
  6. samtz1

    Supermarket za bongo bwana

    Juz kat npo kipande cha super market na mtoto mkareee tunanunua bidhaa mara ghafla ushuz ukanibana nikaona apa nitembee kwa spid ili nmuache demu nyuma nipate chance ya kuachia vitu vyangu sasa kila nikiongeza spid mtoto nae yupo tu daaah kwa bahat nzuri nkawa nasikia mdundo wa mzik unasikika...
  7. samtz1

    NYUMBA ZINAUZWA

    Habari wadau nyumba hizo hapo chini zinauzwa, zipo katika eneo la mbagala kilungule jijini Dar es salaam . Nyumba zina vyumba vitatu na choo cha ndani kwa kila chumba na eneo la nje lenye ukubwa Wa kutosha kwa natumizi mengine. kila nyumba inauzwa kwa 27 mil. Kwa atakae hitaji ani pm tuwasiliane
  8. samtz1

    Dr. Mwaka atekeleza agizo la serikali.

    Ule utaratibu wa waganga wa tiba za asili kujitangaza na kutangaza dawa zao kwenye redio, mitandao ya kijamii hususan kwenye blogs sasa umekuja katika sura mpya.Hii imejidhihirisha baada ya kutembelea moja ya blogs hizo za Mganga Maarufu nchini (Dr.mwaka) anaefanya shughuli zake katika maeneo...
  9. samtz1

    Madereva wa Mabasi Ya 'Mwendo Kasi' wapanga kuigomea serikali

    Madereva wa mabasi yaendayo haraka jijini Dar es salaam wamesema watagoma kuendesha magari hayo kufuatia uongozi wa mabasi hayo kuwapa mkataba wa kazi usiokidhi mahitaji. Baadhi ya mahitaji hayo ni mshahara mdogo wa shilingi laki 4 kwa mwezi tofauti na makubaliano ya awali ya shilingi laki 8...
  10. samtz1

    Dimpoz ni ugonjwa?

    Habari zenu wadau wa JF, Nataka kujua hivi dimpozi ni ugonjwa au nini, ama dimpozi zinatokana na nini? Naomba kuwasilisha kwenu wadau..
  11. samtz1

    Balozi Seif Ali Iddi atoa Taarifa Rasmi ya Maadhimisho yaMikaka 52 ya Mapinduzi ya Zanzibar

    Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi alisema kwamba Maadhimisho ya Sherehe za kutimia Miaka 52 ya Mapinduzi ya Zanzibar ya mwaka 1964 yatafanyika kama kawaida na kupangwa kuanza rasmi leo jumapili ya Tarehe 3 Januri 2016. Alisema Serikali imejipanga kikamilifu kuhakikisha...
  12. samtz1

    Mgeni

    Habari wandugu bila shaka ni wazima humu ndani hongereni kwa kuuona mwaka mpya 2016, poleni kwa machunug ya 2015 na hongereni kwa mafanikio 2015 awali ya yote mwaka ndyo huu ndo kwanza tunaunza kwa jina samtz1 makazi: dar es salaam job title: construction
Back
Top Bottom