Dimpoz ni ugonjwa?

samtz1

JF-Expert Member
Nov 8, 2015
1,197
1,370
Habari zenu wadau wa JF,

Nataka kujua hivi dimpozi ni ugonjwa au nini, ama dimpozi zinatokana na nini?

Naomba kuwasilisha kwenu wadau..
 
Last edited by a moderator:
Dah si ugonjwa bana. Husababishwa na mzunguko wa damu hasa pale mgandamizo unapofikia 50bar kwa kasi kubwa huzunguka na kuvuta nyama ndani. Dimpoz huweza kutokea popote siyo lazima shavuni. Kama hutaki acha kuamini :p
 
Habari zenu wadau wa jf nataka kujua hivi dimpoz ni ugonjwa au nini, ama dimpoz zinatokana na nini
naomba kuwasilisha kwenu wadau

kwa kukusaidia tu na kwa faida ya wengineo humu ni kwamba hizo dimples au mtu mwenye dimples awe ni Mwanaume au Mwanamke basi jua ana vitu au characters hizi kubwa zifuatazo na ambazo Mwenyezi Mungu huwa hazitoi tu hovyo hovyo hata kwa " mangumbaru " wengine:

  1. mwenye dimples huwa na BAHATI sana maishani.
  2. mwenye dimples huwa na MVUTO mkubwa.
  3. mwenye dimples huwa ni mtu ANAYEPENDWA sana na mno ( Charismatic ).
  4. mwenye dimples huwa na UTAMU usio na kifani katika TENDO zima la ndoa.
  5. mwenye dimples huwa na USHAWISHI mkubwa mno popote alipo.
  6. mwenye dimples huwa ni mtu ANAYEPENDWA kupita kiasi na Mwenyezi Mungu.
  7. mwenye dimples huwa ni mtu MKARIMU, MCHESHI na asiye na MAKUU.
ukizikataa hizo basi ujue unataka tu kuleta " ligi " isiyo na mdhamini ila ukweli ndiyo huo. asante sana Mwenyezi Mungu kwa UUMBAJI wako huu.
 
Nimekupata mkuu
 
Kweli tupu hii, nimepata na amani sasa!.
 
Sio ugonjwa..Ni urembo wa kike

kwahiyo mimi na kipenzi changu Mwanamuziki na Kiongozi wa Bendi ya Wenge Musica BCBG JB MPIANA bila kumsahau mchezaji wa zamani na mtoto wa anfield Liverpool F.C. Michael Owen, aliyekuwa kiungo na nahodha wa Arsenal Patrick Viera, Rais wa sasa wa DRC kijana Joseph Kabila, Mwanamuziki wa Bongo Flavor Ommy Dimpoz na hayati Baba wa Taifa la Afrika ya Kusini Nelson Mandela ( Tata Madiba ) sisi ni WANAWAKE? nakuomba utuombe RADHI mkuu upesi sana mkuu. hata sisi hatukuziomba hizi DIMPLES mkuu na hatupo wengi tulionazo hivyo siyo kosa letu na pengine jilaumu wewe na bila kumsahau @nifah kwanini MISHAVU yenu haina DIMPLES.
 
Hata mimi ni nalo yani silipendi:mad::mad:..Ndio maana sicheki hovyo mda mwingi nimevaa sura ya kazi..Mtoto wa kike akiwa nayo mawili mashafuni,mawili nyuma ya mgongo kwenye kiuno DuH!!! Urembo tosha kabisa hanaaja ya kupaka makeups
 
kuna DIMPLES na SHIMO je mwenzetu una kipi hapo? manake naona sasa hata msio na DIMPLES hizi naturally sasa mnataka KULAZIMISHA mnazo. jamani hii kitu hutolewa tu na Mwenyezi Mungu kwa MAPENZI yake na unaweza kukuta dunia nzima wenye nazo hatuzidi hata 100 kwanini TUSIRINGE?
 
Acha kujibaraguza wewe,dimpoz ni kilema kama hujui au unajua umeshajikubali ndio unakitetea kilema chako.
Pole sana
 
Back
Top Bottom