Supermarket za bongo bwana

samtz1

JF-Expert Member
Nov 8, 2015
1,197
1,370
Juz kat npo kipande cha super market na mtoto mkareee tunanunua bidhaa mara ghafla ushuz ukanibana nikaona apa nitembee kwa spid ili nmuache demu nyuma nipate chance ya kuachia vitu vyangu sasa kila nikiongeza spid mtoto nae yupo tu daaah kwa bahat nzuri nkawa nasikia mdundo wa mzik unasikika ilikuwa nyimbo ya look at me now ya chriss brown nkaona yes ngoja nijambe uku nanata na beats ili huyu demu asijue baada ya kumaliza shughul naona mtt kasimama ananiangalia kwa hasira hapo ndipo nlpogundua kumbe ile beat nlkuwa naisklza kuptia ear phones
 
KWA USALAMA WAKO USIONEKANE KABISA, KUMBE NDIO WEWE, YULE DKT ULIYEMTOROKA MILEMBE ANAKUTAFUTA.
 
Back
Top Bottom