Search results

  1. N

    Nahitaji nyumba ya kupanga Mwanza

    Iwe na :- - inajitegemea umeme na maji (visiwe vya ku share). - vyumba vya kulala 3 au zaidi. - iwe mahala popote ambapo napanda gari moja kuelekea Ghana (pasiwe usahilini) - ujirani mwema. - iwe sehemu ambapo gari linafika. Budget yangu ni sh. 2,500,000/= kwa mwaka.
  2. N

    Soya kwa bei ya TSH 1600/=/kg, zinauzwa.

    Zipo tani 7.8, zinapatikana songea lundusi. karibuni sana. Mwenye kuhitaji ani pm.
  3. N

    Kaka yangu kanielewa na amechukua hatua

    Ni kaka yangu ninaye mfuata kwa mara ya tano. tulitofautiana tangu mwezi wa sita mwaka huu kutokana na kushindwa kutimiza ahadi ya kumpatia pesa ya mradi wa kufuga ng'ombe wa maziwa. Nikiwa likizo ya desemba mwaka jana kaka yangu huyo alinipa wazo hilo katika mchanganuo wake alisema...
  4. N

    Kama wameshindwa haya madogo, hakika makubwa hawayawezi

    -Hata kusimamia barabara ili zitumike kama zilivyo kusudiwa nalo limewashinda! Tazama maeneo kama haya, a) Karume, hapa pamewashinda baada ya kujaribu mara kadhaa sasa wamesalimu amri hakika hawayawezi. b) Manzese along Moro road na barabara zinazo ingia, njia zoote zimejaa meza za wafanya...
  5. N

    Nunua mtama mweupe/kaki na mwekundu kutoka igunga.

    Ni kwa mnunuzi anaye hitaji tani 1 na kuendelea Bei ni tshs.370/kg kwa mtama mwekundu tshs.470/kg kwa mtama mweupe Magari ya mizigo kutoka kanda ya ziwa,Rwanda,Congo mashariki, Burundi na Uganda hupita hapo hivyo usafiri si tatizo Tuwasiliane kwa PM karibuni sana.
  6. N

    Jipatie mtama mweupe/kaki na mwekundu kutoka igunga.

    Ni mtama unauzwa, kwa mnunuzi wa kuanzia tani 1 na kuendelea. bei ni: tshs. 370/kg kwa mtama mwekundu. tshs. 470/kg kwa mtama wa kaki. Usafiri siyo shida kwani magari yote ya mizigo kutoka kanda ya ziwa, Rwanda, Congo mashariki, Burundi na Uganda hupita pale! TUWASILIANE...
  7. N

    Advera Senzo toa ufafanu wa kuundwa jeshi la green guard!

    Katika mahojiano na mtangazaji wa BBC leo jioni msemaji wa jeshi la polisi afande Advera Senso amesisitiza kuwa ni kosa kisheria kwa chama cha siasa kuunda jeshi kwa ajili ya kujihakikishia usalama!. Mahojihano hayo yamekuwepo baada ya CHADEMA Kutoa maazimio yaliyofikiwa ktk kikao cha mkutano...
  8. N

    Naomba mwongozo wadau.

    Ni sehemu gani dar. Wanapo nunua vito (dhahabu, ruby, almas,.....) ntashukuru mkiniwekea na bei.
  9. N

    Katika hili serikali iwe makini sana

    "Liwalo na liwe" ni kauli ya waziri mkuu, ni kauli inayoonesha kuwa selikali itaamua maamuzi magumu ktk utatuzi wa mgomo wa ma dr. Niitahadharishe selikali kuwa makini ktk maamuzi yatayochukuliwa kwani kuna uwezekano mkubwa maamuzi hayo yakachochea wauguzi nao kuingia ktk mgomo!
  10. N

    Mishahara ya mwezi wa 9 haijatoka Igunga!

    Ikiwa ni siku ya 4 tangu tuanze mwezi wa 10, wa2mishi wa selikali hapa wilayani wanaendelea kupitia hali ngumu ya maisha kwani mishahara ya mwezi jana haijatoka! na hakuna sababu ya msingi iliyotolewa na wahusika. Swali, je, sababu ya kuchelewa mishahara inahusiana na harakati za kisiasa hapo...
  11. N

    Elections 2010 Polisi igunga, mnamaanisha nini?

    Leo hii polisi imegawa vipeperushi vyenye picha za ffu wakiwa wamekamata watu, na ujumbe unaosomeka "epuka aibu na fedheha, tii bila shuruti", "polisi tupo imara tutamshuguriki kikamilifu yeyote atakayeleta vurugu siku ya uchaguzi".Vipeperushi hivi wamepewa watu mbalimbali wakiwemo wanafunzi wa...
  12. N

    Kashfa ya fumanizi Igunga magazeti yaliyo ripoti, yote yanunuliwa CCM

    Ile kashfa ya kutembea na nke wa ntu inayo nkabili kiongozi wa ccm jimboni igunga. CCM inajaribu kuzimwa kiaina ili isisambae na na kufanya nchakato wa kuomba kura kuwa mgumu ccm, walichofanya jana ni kununua magazeti yoote yaliyo ripoti tukio hilo kabla hayajafika mikononi mwa raia, na...
  13. N

    Igunga: Kampeni ktk nyumba za ibada, haikubaliki!

    Taarifa kutoka kwa waumin wa kkt igunga zinasema mtu 1 aliyetangaza nia ya kugombea ubunge kwa tiketi ya ccm, akiwa na kitambaa cha kijani shingon amekaribishwa na viongozi wa kanisa madhabauni na kuwaomba waumin wamuunge mkono ktk uchaguzi unaotarajiwa kufanyika hiv karibun, inasemekana mtu...
  14. N

    Asali mbichi inauzwa

    Asali mbichi inapatikana kwa ujazo wowote utakaoitaji. Bei ni Tsh. 12,000/= kwa lita 1. Kwa anaye hitaji tuwasiliane kwa pm Nipo Igunga TBR.
  15. N

    Pinda alivopinda

    Nakumbuka alipoteuliwa kuwa pm, binti yake akaomba ibada ya kumuombea babaye wanafunzi wengi 2lishiriki kumuombea kwa MUNGU, Apoanza nilimwona mwenye kutia ma2main ya kuleta mabadiliko ndan ya chama chake. Sasa iv naona amesha jipanbanua kwa kauli zake kama fisadi, je hii hali ameadapt kwa...
Back
Top Bottom