Naomba mwongozo wadau.

Ninaweza

JF-Expert Member
Dec 14, 2010
12,027
6,780
Ni sehemu gani dar. Wanapo nunua vito (dhahabu, ruby, almas,.....) ntashukuru mkiniwekea na bei.
 
Kwa masonara!

Wahindi ni walanguzi na wanapenda kualalia sana, fika Magomeni Mapipa, kama unakwenda Idara ya Maji kuna jamaa anaitwa Nchimbi, ni mtu wa Mungu, mkweli na hana tamaa! Atakupa ushauri mziri tu.
 
ubarikiwe sana mkuu.
 
Back
Top Bottom