Igunga: Kampeni ktk nyumba za ibada, haikubaliki!

Ninaweza

JF-Expert Member
Dec 14, 2010
12,023
6,774
Taarifa kutoka kwa waumin wa kkt igunga zinasema mtu 1 aliyetangaza nia ya kugombea ubunge kwa tiketi ya ccm, akiwa na kitambaa cha kijani shingon amekaribishwa na viongozi wa kanisa madhabauni na kuwaomba waumin wamuunge mkono ktk uchaguzi unaotarajiwa kufanyika hiv karibun, inasemekana mtu huyo amefanyiwa maombi kisha akatoa sh. 2milion kwa kwaya. MAONI YANGU: Hilo limetendeka KKT, sijui kinacho endelea kny madhehebu mengine!, siungi mkono tabia hii ya viongozi wa dini na wana siasa kutumia madhabahu kutangaza siasa kwa chama chochote kile. NAWASILISHA!

mkuu hili neno KKT ni hili neno KKKT au hilo ni kanisa jipya lipo huko Igunga au mimi ndo nimekosea..

@ ndetichia, mkuu ni kanisa la kiinjili la kirutheri tanzania. @Chatu dume, kama una ndugu hapa igunga mpigie, na ibada tulikuwa nayo 1 tu.

kwa kuwa kkkt hakuna shida mwache aendelee
Taarifa kutoka kwa waumin wa kkt igunga zinasema mtu 1 aliyetangaza nia ya kugombea ubunge kwa tiketi ya ccm, akiwa na kitambaa cha kijani shingon amekaribishwa na viongozi wa kanisa madhabauni na kuwaomba waumin wamuunge mkono ktk uchaguzi unaotarajiwa kufanyika hiv karibun, inasemekana mtu huyo amefanyiwa maombi kisha akatoa sh. 2milion kwa kwaya. MAONI YANGU: Hilo limetendeka KKT, sijui kinacho endelea kny madhehebu mengine!, siungi mkono tabia hii ya viongozi wa dini na wana siasa kutumia madhabahu kutangaza siasa kwa chama chochote kile. NAWASILISHA!

Huyuo ni mwasibu wa ccm taifa, habari kutoka the peak hotel ya igunga zinadokeza kuwa mzee pius msekwa amejichimbia pale kwa takriban juma 1 na zaid huku akisambaza pesa. Kwa hali inavyo onekana cdm wanakubalika sana na kama watafanya uteuzi makini wa mgombea wao na pia wakasimamia kura zao vizuri, igunga watainyakua tena kwa kura nyingi tuu!

Ni ngumu kwa vyama vingine kushinda dhidi ya CCM kama havitaungana ktk jimbo la Igunga,
Inaonekana aliekuwa mgombea wa CUF alipata kura zaidi ya 10,000 ktk uchaguzi wa 2010 kama sijakosea, hivyo anamtaji huo,
na kwa CHADEMA inazidi kupata umaarufu na mashabiki siku zinavyozidi kwenda mbele,
hivyo CHADEMA watachukua kura za CUF kidogo na CCM kidogo,
na CCM ambao uchaguzi uliopita walipata kura zaidi ya 30,000 watabaki na nyingi tu za kutosha kushinda,
Maoni yangu Wapinzani waunganishe nguvu kuchukua Jimbo la sivyo, NAMBARI WANIII EEEH NI CCM ..... !!!!!!!!!!!!!!!

Mkuu chamoto kama ccm hawatatumia rafu ambazo hadi sasa zimashaanzwa ni hakika jimbo watalipoteza, mfano, wamemwamisha mkuu wa polisi wilaya kaamishwa ndani ya masaa 12, kisa wana mtuhumu kusaidia wapinzani, the sam story applied to NMB & TRA managers ingawa wao hawajaamishwa lkn inasemekana nao wametishiwa, kwa kifupi ccm hawajajua mchawi wao!.

Chama Cha Magamba kinapenda kutuhumu vyama vingine kutumia nyumba za ibada kufanya kampeni, wakati wao ndi watumiaji wakubwa wa nyumba hizo. Kesho utamsikia msajili anavionya vyama kinafiki huku akijua fika chama chake ndio tatizo.

Ni ngumu kwa vyama vingine kushinda dhidi ya CCM kama havitaungana ktk jimbo la Igunga,

Inaonekana aliekuwa mgombea wa CUF alipata kura zaidi ya 10,000 ktk uchaguzi wa 2010 kama sijakosea, hivyo anamtaji huo,

na kwa CHADEMA inazidi kupata umaarufu na mashabiki siku zinavyozidi kwenda mbele,

hivyo CHADEMA watachukua kura za CUF kidogo na CCM kidogo,

na CCM ambao uchaguzi uliopita walipata kura zaidi ya 30,000 watabaki na nyingi tu za kutosha kushinda,

Maoni yangu Wapinzani waunganishe nguvu kuchukua Jimbo la sivyo, NAMBARI WANIII EEEH NI CCM ..... !!!!!!!!!!!!!!!

Kumbuka elimu ya uraia itasaidia zaidi kupunguza kura za magamba. Wana Igunga waadhibuni magamba kwa kusababisha kipenzi chenu RA akajiuzulu msiwape kura.

RA hakuwai kuwa kipenzi cha wana igunga watu walipenda pesa zake zaidi!

Chama Cha Magamba kinapenda kutuhumu vyama vingine kutumia nyumba za ibada kufanya kampeni, wakati wao ndi watumiaji wakubwa wa nyumba hizo. Kesho utamsikia msajili anavionya vyama kinafiki huku akijua fika chama chake ndio tatizo.

binafsi siamin kauli za tendwa hubadilika badilika sana huyu mzee.

I can smell something fishy will happen in Igunga, kwani kuna kata kibao ziko kwenye remote areas na huko ndo magamba yatafanyia michezo michafu. Kutakuwa na vituo hewa kibao, wapiga kura hewa kibao mpaka jimbo lirudi magambani. Cha msingi ni kuweka network vizuri ili wakose pakukimbilia.

chadema wahakikishe kila kituo kina msimamizi kama vipi watuchukue kutoka mikoani..

hoja ilikuwa kufanyia siasa kanisani mbona wote mmehama laiti mtoa hoja angetaja msikiti na sio kanisa mngechachamaa humu

Mbona wewe pamoja na kufahamu kwamba hoja ya mwanzilishi wa thread ni mgombea kufanya kampeni kanisani lakini bado umeishia pale pale walipoishia wengine.
Sasa leta hoja yako.

kwanza namshangaa mwanzilishi wa hii thread anastaajabishwa na nini mbona kampeni za 2010 zilifanyiwa makanisani mpaka kanisa lilitayarisha ilani yake. hoja ya msingi ni hii tabia itatucost ikemewe

nakubaliana na wewe nyumba za ibada zisigeuzwe majukwaa ya siasa wachungaji/ma-sheikh/ mapadre na wengine inabidi walitambue hilo!

chadema wahakikishe kila kituo kina msimamizi kama vipi watuchukue kutoka mikoani..

Igunga ni kubwa kieneo kama wapinzani hawatakuwa makini watapoteza, kama sasa ivi wanatafuta sapoti ya viongozi wa dini wawekwe sawa,...

amini amini mawaambieni, mwigulu nchemba anahusudu kutoa rushwa kuliko mjuavyo, akishagundua kupata mafanikio ya kuwahonga madiwani, anazo fikra na mikakati atoe rushwa kwa MUNGU ili ccm ibaki madarakani angalau kitambo kidogo. muogopeni mwigulu baada ya dhambi.

Back
Top Bottom