Pinda alivopinda

Ninaweza

JF-Expert Member
Dec 14, 2010
12,029
6,780
Nakumbuka alipoteuliwa kuwa pm, binti yake akaomba ibada ya kumuombea babaye wanafunzi wengi 2lishiriki kumuombea kwa MUNGU, Apoanza nilimwona mwenye kutia ma2main ya kuleta mabadiliko ndan ya chama chake. Sasa iv naona amesha jipanbanua kwa kauli zake kama fisadi, je hii hali ameadapt kwa mafisadi wandamiz kama jk,RA,EL,.....au ni tabia yake alokuwa ameficha?
 
usiwaamini ccm wala viongozi wake wapo kwa manufaa yao na mafisadiz
 
Ukiwa na wenye chongo sharti uumize jicho lako.

Ni vigumu kwa sasa kwa yeyote kushika uongozi wa juu wa chama tawala kilichopo na kubaki mahiri katika utumishi wa wananchi.
 
Look deep into nature, and then you will understand everything better. likes and unlikes don't dwell together.
 
Binti yake kumwombea hapa inakujaje??

Ufisadi wa Baba yake hauhusiki na sala ya binti yake. Hiyo ni tabia ya ambayo ameipata huko alikoingia
 
Kwani pinda naye mtu!!!
Ni chui fulani hivi!!
I wish hata angebaki fisadi lowa...!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom