Kashfa ya fumanizi Igunga magazeti yaliyo ripoti, yote yanunuliwa CCM

Ninaweza

JF-Expert Member
Dec 14, 2010
11,257
5,665
Ile kashfa ya kutembea na nke wa ntu inayo nkabili kiongozi wa ccm jimboni igunga.

CCM inajaribu kuzimwa kiaina ili isisambae na na kufanya nchakato wa kuomba kura kuwa mgumu ccm, walichofanya jana ni kununua magazeti yoote yaliyo ripoti tukio hilo kabla hayajafika mikononi mwa raia, na hivyo kufanikiwa kudhibiti habari hiyo kusambaa jimboni.

Magazeti yaliyonunuliwa ni Tanzania Daima na Mwananchi
 

NEW TANZANIA

Senior Member
Aug 15, 2011
101
25
Mwigullu Nchemba ambaye ni kiongozi wa uchaguzi wa CCM Igunga mbona hilo liko wazi na nguo yake ya ndani nasikia alisahau guest?

hahahaha KIU wamepata toleo, kuna haja ya kutafuta cheap camera na kuzisambaza TANZANIA kuna matukio mpaka basi
 

NEW TANZANIA

Senior Member
Aug 15, 2011
101
25
hizo kampuni za magazeti watume mengine hata kama yapepitwa na wakati kuna soko hapo igunga, wanaweza kuuza kopy za kutosha
ina maana hawakujua ili? watu wao wa marketing vipi?
 

Massawe mtata

Member
Aug 12, 2011
36
13
Wanaficha moto moshi unawaumbua. Tayari wanaigunga wanacopy nyingi baada ya kununua yote ilibidi wanunue kwenye mabasi yatokayo dar
 

Ninaweza

JF-Expert Member
Dec 14, 2010
11,257
5,665
Alafu huyu Rage alikuwa na magari yenye no. Za STK mida ya saa 1 usiku usiku!.Ova!
 

chigwiye

JF-Expert Member
Oct 28, 2010
352
59
Ile kashfa ya kutembea na nke wa ntu inayo nkabili kiongozi wa ccm jimboni igunga.

CCM inajaribu kuzimwa kiaina ili isisambae na na kufanya nchakato wa kuomba kura kuwa mgumu ccm, walichofanya jana ni kununua magazeti yoote yaliyo ripoti tukio hilo kabla hayajafika mikononi mwa raia, na hivyo kufanikiwa kudhibiti habari hiyo kusambaa jimboni.

Magazeti yaliyonunuliwa ni Tanzania Daima na Mwananchi
Haisaidii kuficha magazeti, coz wana igunga waliona live,hawahitaji magazeti ktk tukio hilo
 

Uwezo Tunao

JF-Expert Member
Nov 14, 2010
6,942
1,187
CCM WATIA KOVU LA KIHISTORIA NGUZO KUU LA FAMILIA YA USTAADH RAAJAB IGUNGA: HAKUNA UTENGAMANO, UPENDO WALA KUAMINIANA TENA MLE!!!!!!!!

Ni lini kibaka Mkuu wa CCM kwenye kampeni za Igunga, Mwigullu Nchemba, atakaporudisha NGUO YA NDANI ya mke wa Mwana-Igunga Ustaadh Raajab??????????? Hili ni janga kubwa kwa wana-Igunga kubakiwa mkeo wao na bado kutarajiwa kukipigia kura kundi hilo hilo la vibaka kwenye huu uchaguzi mdogo wiki chache zijazo.

Endapo huyu kijana aliyetenda lisilokubalika (1) kisheria, (2) kitamaduni na kubwa zaidi (3) KIDINI hatokamatwa na kutiwa ndani na serikali ya CCM basi hesabu hizo zitachukuliwa kuwa sawa na CCM kufunguliwa UKIMWI kusambaa kote nchini kupitia maafisa wake kila kampeni zinapoibuka.

Enyi taasisi za kidini nchini (Wakristo, Waislamu kwa Dini nyinginezo), taasisi za msaada wa kisheria na wanaharakati wenye kujali; NGUZO YA FAMILIA IMETIKISWA na CCM kule Igunga.

Ni ukweli usiopingika kwamba CCM wameacha kovu kubwa pale; hakuna upendo na utengamano tena katika ya Ndg Raajab, ustawi wa familia mashakani, ukoo mzima na jamii ya Igunga imetiwa aibu ya mwaka kitendo cha KUBAKIWA MKE WAO.

Kama kweli bado kuna mtu yeyote katika jamii yetu ya Tanzania anayejali watoto basi ajue kwamba baada ya tukio hili la kusikitisha sana wa CCM kumtemea Raajab mate usoni kwa kwa kulala na mkewe mara baada ya yeye kujitolea huduma za kompyuta kwao, sehemu ya jamii yetu ambayo itakua imeumia kuliko wote ni watoto wa familia hii.

Wala sio siri tena kwamba watoto katika familia hiyo kamwe hawatoweza kuchangamka kuchanganyana na wenzao popote pale kutokana na aibu itakayokua ikiwakumba kila wanakopita; huu ni unyama ambao usiposhughulikiwa kwa haraka kisheria basi huenda ikawa na malipo ya hatari sana huko mbele ya safari.

1. Yawezekana kabisa ama kwa Raajab kutamani kujinasua nayo kwa kufikisha swala hilo
KATIKA MAHAKAMA YA MWENYEZI MUNGU, au

2. Wana-Igunga kuamua kutetea haki za kijana wao kwa kujichukulia sheria mkononi kwa mtaji wa kudhalilishwa na afisa mwandamizi wa CCM na kiongozi wa kampeni hizo na kesi kuishia kuzimwa, au

3. Wana-ukoo kuifikisha swala zima katika mahakama ya kienyeji kwa misingi ya ukoo wao kutiwa balaa na mikosi kwa mtu asiyejulikana asiye na damu yao kuingilia mke wao au,

4. Watoto wa Ndg Raajab wenyewe wanaweza kuja kujionelea kitu gani kinafaa zaidi kufanyika huko mbele ya safari kujiondolea aibu hiyo ya kihistoria.

Kwa misingi hii yote, endapo kuna Mwana-CCM yeyote anafikiria kwamba jambo hili ni ndogo na la kufichwa tu uvunguni na watu kujisahaulia tu papo hapo basi wajue wamejidanganya sana.

Hata na nyinyi wenzetu Watanzania wenzetu wengine ambao wake zenu ama wameteuliwa kitu fulani na CCM angalieni sana kabla hamjaanza kuvuna UKIMWI na kuanza safari za Babu wa Kikombe kule Arusha mara mkasikika kupiga hodi kwa Mchungaji Emmanuel kule Nigeria.

Siku zote familia ni kila kitu kwa wanafamilia na uvamizi wowote ndani mle huwa hugeuka kuwa ni janga na maafa makubwa sana kwa wale wote wanaoguswa naalo; lolote laweza kutokea Igunga ama leo ama kesha - amini hilo wewe unayefuatilia uzi huu hapa!!!!!!!!
 

Uwezo Tunao

JF-Expert Member
Nov 14, 2010
6,942
1,187
Aaaahhhaaaaa, kumbe Rage naye kaamua kujipaka masizi haya ya kubakwa kwa mke wa Wana-IGUNGA!!!!!!!!!!! Vijana wapiga kura tukamfungulie huyu mzee jalada yake kule jimboni kwake.

Kijana mwenzetu Ustaadh Raajab kadhalilishwa kiasi hiki kwa kiongozi wake mmojawapo kuamua kuvunja miiko ya ndoa na kulala n mkewe mchana kweupe huku Rage yeye anaona ni sawa tu!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!

<br />
<br />nkuu yalinunuliwa na Ismail Aden Rage mbunge wa Tabora mjini akishirikiana na Changarawe na Tall(hao 2 ni makada wa ccm). Ova!
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

1 Reactions
Reply
Top Bottom