Search results

  1. Slave

    Nyie wa Dar hampo Leaders mpokee miamala ya miujiza ya huyu Nabii?

    200 M ataitolea kwa wakala yupi 🤣
  2. Slave

    Msaada jinsi ya kuandika talaka

    🤣🤣🤣
  3. Slave

    Mbinu kali za kibaharia za kumuumiza adui au mbaya wako

    hapa mbinu ya kininja ni kutoka na mama wa adui kimapenzi lazima ushindi lazima na utaitwa baba
  4. Slave

    Happy birthday Evelyn Salt!

    hivi huyu kimwana mbona kaadimika hivi
  5. Slave

    Fungua kitabu cha waongo 9:10-11

    Waongo 2:6- 2:19 Unasema wewe tu ndio mtu wa pili kukutana nawe wa kwanza alinikaba kwa nguvu akanizidi nguvu.
  6. Slave

    Zanzibar: Makamu wa Kwanza wa Rais, Maalim Seif Sharif Hamad, Mkewe Bi Awena waambukizwa virusi vya Corona

    kushare microphones kwenye mikutano ni zaidi ya janga
  7. Slave

    Hivi ni kwanini Typhoid haiko kwenye bima ya afya?

    bima wakati mwingine ni kama pata potea unakaaa huumwi hadi bima ina expire
  8. Slave

    Mwendelezo utajiti wa dunia upo hapa

    watu wengi wanauwezo wa kuzalisha mawazo shida ni kulinda sio kwa mataasisi makubwa makubwa tu hata uswahilini issue buku mbili watu wakinasa idea umeooteza
  9. Slave

    TCRA bila kuwa na mkutano wa pamoja na mafundi simu mtafunga wengi

    Alikuwa hapa kahama tunafanya mawasiliano na ndugu na jamaa zake huenda tukamsafirisha kwenda dar au mtwara itategemea na maamuzi ya ndugu Leo
  10. Slave

    TCRA bila kuwa na mkutano wa pamoja na mafundi simu mtafunga wengi

    R. R.I.P YAHAYA MAPUA LEO TAREHE 10/08 MIDA YA SAA MOJA JIONI MWAKA HUU 2020 YAHAYA KAFARIKI DUNIA
  11. Slave

    Mada: Fahamu namna ya kufungua (Ku- unlock) Moderm za aina mbalimbali

    sheria Inasema unapo unlock network lock??
  12. Slave

    Kwenye video hii msanii Two pac alitabiri huu ugonjwa?

    Hata mwinamila alitabiri """Mwisho gwa dunia ninashaka kiama shegela nabhona mungu otupa maradhi bhuganga kuduhu"""
  13. Slave

    Rais wa Zambia ayataka mataifa ya Ulaya kuacha kuingilia namna uongozi wa Afrika unavyotakiwa kuwa

    Nchi za Africa zilijikomboa kutoka katika mikono ya wakoroni part one Pia nchi za afrika zinahitaji kujikomboa na kuwa na uhuru kamili part two
  14. Slave

    Mfalme Zumaridi yu hali gani huko aliko?

    Matumizi mabaya ya imani
  15. Slave

    JIFUNZE ki-nyiramba.

    hahaaaha 😂
  16. Slave

    JIFUNZE ki-nyiramba.

    🗿Duh!!! Post ina umri wa mtu
  17. Slave

    Hii tabia ya ' Kimakusudi ' inayofanywa na Watoto Wachanga ambao bado wanalala na Wazazi wao inatutokea wengi au peke yangu tu?

    😂😂😂😂 wewe mtu hatari Sana umeifanya siku yangu kuwa njema hakika umenichekesha hasa hapo kwenye kughani 😅😅😅
Back
Top Bottom