Nyie wa Dar hampo Leaders mpokee miamala ya miujiza ya huyu Nabii?

Kwenye harakati za kutumia remote control huku na huku nikaifikia channel ya Clouds nikakutana na tamasha huyu nabii huko viwanja vya leaders Club Dar.

Watu wanapokea miamala ya miujiza kwenye simu zao mmoja apa kapokea 43,000/= mmoja ndo kanikata asee yeye kapokea dola 200M etc

Anachosema huyu Nabii kwamba hizo pesa wanazopokea zimetokana na pesa zinapotea baharini, yeye anazitoa huko anawapa hawa waumini kama muamala, pesa zingine kashika anazigawa ovyo.
Yaani ni mazingaombwe ya uhakika
 
200 million? Au ni usd 200?
 
Wewe $ 200mil. imeingia kwenye simu?

Acheni basi mizaha!

Kwa change ilivyo unaongelea zaidi Tsh. 450bil. ingie kwenye simu za kuambiwa …………. By J.Kikwete.
 
😁😁😁😁 Wajinga ndio waliwao... Kipindi Fulani nilipita Zimbabwe, nikaambiwa alifukuzwa Zimbabwe na Mugabe, alifanya mkutano kama huu akagawa hizo miracle Money.. Akaitwa na Mugabe kipindi hicho anasuction uchumi uko down, akamwambia kama Mungu wako Kanagawa hela basi atujazie hela hazina.. Jamaa yakamshinda... Mugabe akamtimua😁😁😁Mi nachek a Sana hasa nikimwangalia Pastor kapola jinsi nilianza kumwamini.. Dah kumbe nae chama la wana wa miujiza hewa.... Dah Kapola umejiharibia Sana Brother...

😁😁😁😁 Wajinga ndio waliwao... Kipindi Fulani nilipita Zimbabwe, nikaambiwa alifukuzwa Zimbabwe na Mugabe, alifanya mkutano kama huu akagawa hizo miracle Money.. Akaitwa na Mugabe kipindi hicho anasuction uchumi uko down, akamwambia kama Mungu wako Kanagawa hela basi atujazie hela hazina.. Jamaa yakamshinda... Mugabe akamtimua😁😁😁Mi nachek a Sana hasa nikimwangalia Pastor kapola jinsi nilianza kumwamini.. Dah kumbe nae chama la wana wa miujiza hewa.... Dah Kapola umejiharibia Sana Brother... 😥😥
Kapola ukimsikiliza kwa umakini in btn lines na kama nimsomaji Mzuri wa Neno na Roho mtakatifu yu ndani yako, utamshtukia faster..yule sio mtumishi wa Mungu bali motivational speaker tena wa ule upande mwingine direct kabisaa..ndi maana kuna topics hutamsikia anazigusa hata kwa bahati mbaya..
 
Cha kushangaza kuhusu hii miamala, wote wanaoonyesha miamala ukiangalia vizuri utaona wanaweza ku-reply hizo sms wakati Kwa kawaida sms za miamala huwezi kuzijibu
Nmerudi kuangalia vdeo aisee,nkafananisha na miamala ya kwny simu yangu

Nmeona meseji zao za miamala zna sehemu ya kureply tofaut na miamala yetu ambao hatukua leaders club

Dah!
 
Tony kapola kajiharibia. Ninmchungaji kijana anayechipukia na tayari alishanza kuaminiwa na mamia ya watu. Lakini kwa tukio hili la leo la pesa za miujiza atabaki na watu wachache Sana hususan wale wenye uwezo mdogo sana wa kuchanganua mambo
 
kwanini unampinga?kwani haiwezekani kutumiwa miamala kwenye simu.
 
Back
Top Bottom