Mwendelezo utajiti wa dunia upo hapa

mujulu

Member
Dec 25, 2017
61
37
UTAJIRI WA DUNIA UPO HAPA

Je, unajua kuwa wawekezaji waliowekeza kwenye teknolojia ya mawasiliano wana utajiri mkubwa. Kwenye teknolojia ya Mawasilianao ni kati ya Maeneo nyeti yanayo aminika kuwa na utajiri wa ajabu sana japo inahitaji kujitoa na kujituma ili ufanikiwe katika uwekezaji wako kwani ndio sejhemu pia ambayo ina wezi walioenda shule.

Hapo ni sehemu pekee ambayo ukimuita mtu umuelezee project yako ili mshirikiane kuipushi hawezi kukataa wito wako hata kama anahisi haustahiri kukaa naye lakini ni njia mojawapo ya kupata wazo la kiteknolojia ambalo either aliibe au libust akili yake kutoka kwenye wazo hilo apate lingine next time ntakuleletea namna gani unaeza kujiokoa na mtego wa mtu unaemuelezea project yako ether una lengo la kupata msaada au unataka awe share holder be carefully

KEEP IN MIND" ISSUE SIYO KUWA NA WAZO LA BILIONS OF MONEY ISSUE YA MSINGI NI JINSI GANI UNAWEZA KULILINDA MPAKA LIKAZAA PESA UKAITUMIA "
 
Post iliyo pita nilikuelezea kuwa utajiri mkubwa upo kwa wawekezaji walio wekeza kwenye teknolojia , sikatai kwamba wawekezaji wa kwenye mafuta na Madini na wengine wapo ila tunaona kwenye teknolojia ya mawasiliano wamezidi kuwa juu
HII NI ORODHA YA MATAJIRI 10 WAKUBWA DUNIANI

karibia asilimia 80% wote wamewekeza kwenye teknolojia ya mawasiliano angalia
hawa hapa

1. Jeff Bezos, dola bilioni 145

Jeff Bezos, mbali na kuwa mmiliki wa Makampuni ya Amazon, lakini pia amewekeza zaidi kwenye teknolojia za anga za juu (Space technology) na pia anamiliki gazeti kubwa la The Washington Post

2. Bill Gates, dola bilioni 106.6

Kwa miaka 20 iliyopita, Bill Gates, Mwanzilishi wa Microsoft amekuwa juu kwenye orodha ya Forbes ya watu matajiri zaidi duniani. Bill ametoa kiasi kikubwa cha umiliki wake kwenye Microsoft na sasa anamiliki 1% pekee na amejikita zaidi kwenye shughuli zake za kutoa misaada chini ya Taasisi yake ya Bill and Melinda Gates Foundation.

3. Bernard Arnault, dola bilioni 91.6

Arnault, Mfaransa ni Tajiri namba moja barani Ulaya anayepatikana kwenye orodha hii. Bernard anamiliki zaidi ya makampuni 60 ikiwemo Louis Vuitton na Sephora. Hivi karibuni alishika nafasi ya pili katika orodha ya matajiri duniani mbele ya Bill Gates, ingawa alirudishwa nyuma baada ya utajiri wa Bill kuongezeka

4. Mark Zuckerberg, dola bilioni 78.6

Mark Zuckerberg ni maarufu zaidi kwa kuanzisha kampuni la Facebook Inc. ambalo linamiliki makampuni mengine kadhaa ikiwamo Facebook yenyewe, Instagram, WhatsApp na kadhalika. Zuck alianzisha Facebook mwaka 2004 akiwa na umri wa miaka 19 pekee.

5. Warren Buffett, dola bilioni 68.8

Kwa zaidi ya miongo tisa sasa, Warren Buffet, Mwanzilishi na mmiliki wa kampuni ya Berkshire Hathaway, ni moja kati ya watu matajiri zaidi duniani na moja kati ya wawekezaji wenye mafanikio zaidi duniani na pia ameahidi kutoa 99% ya utajiri wake kwaajili ya misaada.

6. Larry Ellison, dola bilioni 67.3

Larry ni Mwanzilishi mwenza wa Kampuni la kutengeneza programu mbalimbali ya Oracle. Aling’atuka kama Mkurugenzi Mkuu mwaka 2014 lakini bado ni mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi na Afisa Mkuu wa Teknolojia.

7. Steve Ballmer, dola bilioni 66.4

Steve Ballmer ni Mkurugenzi Mkuu wa zamani wa Microsoft akihudumu kati yam waka 2000 hadi 2014 huku akiwa mwajiriwa wa kampuni hiyo tangu mwaka 1980. Steve aliacha Chuo Kikuu cha Stanford wakati akifanya Shahada ya Uzamili. Baada ya kustaafu kutoka Microsoft, alinunua Klabu ya Mpira wa Kikapu ya Los Angeles Clippers inayoshiriki Ligi ya NBA.

8. Larry Page, dola bilioni 63.3

Mwaka 1998, Page alianzisha kampuni ya Google pamoja na mwenzake Sergey Brin. Mwaka 2019, aliamua kung’atuka madarakani kama Mkurugenzi Mkuu wa Alphabet, kampuni mama wa Google ingawa bado ni mmoja kati ya wajumbe wa bodi ya kampuni hiyo.

9. Amancio Ortega, dola bilioni 61.9
Mwaka 2011, Ortega aling’atuka kama Mwenyekiti wa Inditex, kampuni inayomiliki chapa ya Zara ingawa bado anamiliki 60% ya hisa za kampuni hiyo.

10. Sergey Brin, dola bilioni 61

Brin ni Mwanzilishi mwenza wa Google ambaye aling’atuka kama Rais wa Alphabet 2019 December, ingawa bado ni mjumbe wa bodi. Kwasasa anatumia muda wake mwingi kwenye mradi wa utafiti wa Alphabet unaufahamika kama Lab X

POST ITAKAYO FUATA NDIO NTAELEZEA JINSI YA KULINDA WAZO LAKO LA KITEKNOLOJIA ILI LIZAE MATUNDA NIMEKWAMBIA TENA ISSUE SIKUWA NA WAZO LA KITEKNOLOJIA ISSUE KUBWA NI KULINDA WAZO NA KULIBADILI LIZAE PESA UITUMIE
 
Pia wazo lako tafuta namna kabla ya kulitoa ovyo ulilinde kisheria ili siku akiamua kukugeuka, msubirie hadi alianzishe na kuonesha matokeo chanya ndipo uingie kisheria.
 
Mkuu kwa kwa mataifa ya Africa ukiona maskini kashinda kesi yake ya madai jua ni Mungu kamsaidia , labda jinai anaweza shinda , wewe kumshitaki mtu wakati organization zinazotoa copyright ndo washukiwa wa kwanza na viashiria vinaonyesha ndo wanaofanya michongo ya kuiba idea za watu na kuzipindua kidogo tu alafu anauziwa MTU , mkuu naongea yalishanikuta sanaa
 
pole mkuu. unashauri tufanyaje kwa vijana wa kiafrika ambao wana ideas especially kwenye tech, ideas ambazo zinaweza kuleta mapinduzi makubwa kwenye ulimwengu wa teknolojia, kulinda ideas zao kisheria zaidi
 
Mkuu sasa nimekuwa mkongwe kwenye innovation za tech , zipo taasisi 2 hapa TZ zina jina kubwa sana sana , ila zimekula project zangu na sasa Mimi naendelea kusota , nimewategea mitego mingi sana , mwaka 2015-2020 wamekuwa na share na government mitego yangu ikapungua nguvu kwani huwez pambana na government za kiafrica ukashinda , labda ilikuwa siyo Sikh hizi ila .nimetengeneza mtego mwingine ninauhakika , mwaka 2026 au kabla nawanasa , coz nlipata ushauri kwa PhDs wengi was sheria nkajikuta napata average answer , nkaichukulia kwa uzito uzuri copyright ninazo . Chief nkujibu swali lako naomba nkuandalie majibu yenye usahihi na mashiko coz ni mengi , ila nkushauri kwamba sheria ya intellectual property kwa Africa haipo stable so plse njia si kulinda kisheria , hapo ntakwwmbia namba moja cha msingi ni kuwa na uwezo wa kutambua WADAU GANI MUHIMU WA KUFANYA NAO HIYO PROJECT UKIBUGI HAPO kwaheri umeliwa , sheria itakusaidia kidogo sana kwenye kesi za madai tena ikiwa kwenye issue nyeti.
ILA KWA JINSI NKIWANASA HAO MATAASISI YALIYOKULA CHANGU NAKWAMBIA ITAKUWA FUNDISHO .
 
haha kila lenye heri mkuu...natamani sana
ungekua na namna ya kuwasaidia na wengine ambao wako katika situation ambayo umeipitia wewe, natamani ufungue mjadala huu ueleze kwa mapana, naamini wengi watafaidika na kusaidika wengi wanaumia na idea zao, wengine wanafaidika ila unakuta wewe muanzilishi wa hio idea unaambulia zero. nami nakuombea heri uwapasue hao wa kwako mwaka huo ukiwadia ili iwe fundisho kwa wengine. Kuna mmoja humu alikua na idea ambayo ililenga kampuni za simu ila ikachukuliwa na moja ya kampuni za simu akaja kulalamika ila ndio hivyo hakulinda wazo lake.
 
Chief nakwambia hatakama ntakosa kufaidika lakini lazima waliomwaga mboga ntamwaka ugari wao au ntautia mchanga usilike vizuri ila hata yeyote aliyeibiwa atafurahi one day chief nkwambie shida kubwa ya mataifa yetu watu wengi ni wezi hawapendi MTU anufaike na ubunifu na akili yake wanatamani vyakunyonga sasa chief nakwambia nimejipanga one day utakuja kusema kweli , Nina friends WANGU wameibiwa na hao wanaojiita incubators Fulani flani ila haki ya MTU hailiki , IPO siku watakubali kwamba walidhani wamekula kumbe wameliwa , na soon mwaka kesho ntabip kidogo , Nina mbunu 13 nilizopanga mpaka sasa 1 ilifeli baadhi yao walipoingia share na serikali sasa mbinu ya pili hawawez chomoka mpaka zifike 13 wataachia siwez waachia ngurue shamba LA miogo eti Mungu atakulipa hahaha tutatafutana town Mungu atatusaidia kulipana
 
watu wengi wanauwezo wa kuzalisha mawazo shida ni kulinda sio kwa mataasisi makubwa makubwa tu hata uswahilini issue buku mbili watu wakinasa idea umeooteza
 
You can be rich even if you discover nothing.

Buy their stocks and hold.

Imagine you invest $10M in each of these stocks.

20200831_212435.jpg
 
Hivi vipi aliyegundua software ya kutuma pesa kwa simu? nasikia ni mwafrica tena kutoka Kenya, je amepata pesa kweli au mabeberu wamemrusha? kwani kwa sasa hii imekuwa ni technology kuwa sana.
 
Kunawatu wanapesa zaidi ya hao binadam wametulia tuliii.bradmin Putin baba lao
Post iliyo pita nilikuelezea kuwa utajiri mkubwa upo kwa wawekezaji walio wekeza kwenye teknolojia , sikatai kwamba wawekezaji wa kwenye mafuta na Madini na wengine wapo ila tunaona kwenye teknolojia ya mawasiliano wamezidi kuwa juu
HII NI ORODHA YA MATAJIRI 10 WAKUBWA DUNIANI

karibia asilimia 80% wote wamewekeza kwenye teknolojia ya mawasiliano angalia
hawa hapa

1. Jeff Bezos, dola bilioni 145

Jeff Bezos, mbali na kuwa mmiliki wa Makampuni ya Amazon, lakini pia amewekeza zaidi kwenye teknolojia za anga za juu (Space technology) na pia anamiliki gazeti kubwa la The Washington Post

2. Bill Gates, dola bilioni 106.6

Kwa miaka 20 iliyopita, Bill Gates, Mwanzilishi wa Microsoft amekuwa juu kwenye orodha ya Forbes ya watu matajiri zaidi duniani. Bill ametoa kiasi kikubwa cha umiliki wake kwenye Microsoft na sasa anamiliki 1% pekee na amejikita zaidi kwenye shughuli zake za kutoa misaada chini ya Taasisi yake ya Bill and Melinda Gates Foundation.

3. Bernard Arnault, dola bilioni 91.6

Arnault, Mfaransa ni Tajiri namba moja barani Ulaya anayepatikana kwenye orodha hii. Bernard anamiliki zaidi ya makampuni 60 ikiwemo Louis Vuitton na Sephora. Hivi karibuni alishika nafasi ya pili katika orodha ya matajiri duniani mbele ya Bill Gates, ingawa alirudishwa nyuma baada ya utajiri wa Bill kuongezeka

4. Mark Zuckerberg, dola bilioni 78.6

Mark Zuckerberg ni maarufu zaidi kwa kuanzisha kampuni la Facebook Inc. ambalo linamiliki makampuni mengine kadhaa ikiwamo Facebook yenyewe, Instagram, WhatsApp na kadhalika. Zuck alianzisha Facebook mwaka 2004 akiwa na umri wa miaka 19 pekee.

5. Warren Buffett, dola bilioni 68.8

Kwa zaidi ya miongo tisa sasa, Warren Buffet, Mwanzilishi na mmiliki wa kampuni ya Berkshire Hathaway, ni moja kati ya watu matajiri zaidi duniani na moja kati ya wawekezaji wenye mafanikio zaidi duniani na pia ameahidi kutoa 99% ya utajiri wake kwaajili ya misaada.

6. Larry Ellison, dola bilioni 67.3

Larry ni Mwanzilishi mwenza wa Kampuni la kutengeneza programu mbalimbali ya Oracle. Aling’atuka kama Mkurugenzi Mkuu mwaka 2014 lakini bado ni mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi na Afisa Mkuu wa Teknolojia.

7. Steve Ballmer, dola bilioni 66.4

Steve Ballmer ni Mkurugenzi Mkuu wa zamani wa Microsoft akihudumu kati yam waka 2000 hadi 2014 huku akiwa mwajiriwa wa kampuni hiyo tangu mwaka 1980. Steve aliacha Chuo Kikuu cha Stanford wakati akifanya Shahada ya Uzamili. Baada ya kustaafu kutoka Microsoft, alinunua Klabu ya Mpira wa Kikapu ya Los Angeles Clippers inayoshiriki Ligi ya NBA.

8. Larry Page, dola bilioni 63.3

Mwaka 1998, Page alianzisha kampuni ya Google pamoja na mwenzake Sergey Brin. Mwaka 2019, aliamua kung’atuka madarakani kama Mkurugenzi Mkuu wa Alphabet, kampuni mama wa Google ingawa bado ni mmoja kati ya wajumbe wa bodi ya kampuni hiyo.

9. Amancio Ortega, dola bilioni 61.9
Mwaka 2011, Ortega aling’atuka kama Mwenyekiti wa Inditex, kampuni inayomiliki chapa ya Zara ingawa bado anamiliki 60% ya hisa za kampuni hiyo.

10. Sergey Brin, dola bilioni 61

Brin ni Mwanzilishi mwenza wa Google ambaye aling’atuka kama Rais wa Alphabet 2019 December, ingawa bado ni mjumbe wa bodi. Kwasasa anatumia muda wake mwingi kwenye mradi wa utafiti wa Alphabet unaufahamika kama Lab X

POST ITAKAYO FUATA NDIO NTAELEZEA JINSI YA KULINDA WAZO LAKO LA KITEKNOLOJIA ILI LIZAE MATUNDA NIMEKWAMBIA TENA ISSUE SIKUWA NA WAZO LA KITEKNOLOJIA ISSUE KUBWA NI KULINDA WAZO NA KULIBADILI LIZAE PESA UITUMIE
 
Hivi vipi aliyegundua software ya kutuma pesa kwa simu? nasikia ni mwafrica tena kutoka Kenya, je amepata pesa kweli au mabeberu wamemrusha? kwani kwa sasa hii imekuwa ni technology kuwa sana.
alafu yaani sijui mabeberu nkwambie kitu hakuna sehemu ambayo wanaheshimu akili ya mtu kama mabeberu jiulize kwanini watu wengi wamekimbilia huko , Kyle wakitambua your potential unapewa msaada unanufaika sisi ambao sio mabeberu ukifaulu darasa LA saba enzi zetu shule wilayani hakuna uende boys au girls mkoani wanakijiji wanakukalia kikao wakuroge ufe ila hapa ni tunawasema mabeberu bila kujua nkwambie ukipata story ya mtu wa Mpesa utachoka kichwa but ndo watu weusi
 
Du hatari sana, Africa Bara la giza tu.
 
Back
Top Bottom