Rais wa Zambia ayataka mataifa ya Ulaya kuacha kuingilia namna uongozi wa Afrika unavyotakiwa kuwa

Miss Zomboko

JF-Expert Member
May 18, 2014
4,505
9,286
Rais Edgar Lungu amesema haikubaliki kwa watu wa nje kuamuru jinsi nchi za Afrika zinavyopaswa kuongozwa kwasababu Afrika inapaswa kuruhusiwa kuamua jinsi inavyojitawala badala ya kuamrishwa na watu wa nje

Amesema Afrika imekuwa ikichagua polepole jinsi watu wake wanavyoongozwa na muundo gani wa utawala au taasisi gani zitawekwa


=====================

Zambian President Edgar Lungu said on Monday it was unacceptable for outsiders to dictate on how African countries should be governed.

The Zambian leader said Africa should be allowed to dictate how to governs itself instead of outsiders dictating. or imposing their own style of leadership.

He said Africa was slowly choosing how its people would be governed and what structures of governance or institution would be put in place.

Lungu stated these when the outgoing Sudanese Ambassador to Zambia, Award, Ali paid him a courtesy visit at the presidential office in Lusaka.

The Zambian leader said his government remained committed to cooperating with all the regional bodies it was affiliated to in Africa.

According to him, African countries could only grow if they realised their potential and work to enhance their growth potential.

He further pledged Zambia’s commitment to strengthen its relations with Sudan in order to improve the lives of people of the two countries.

Zambia, he said, was keen to learn from Sudan’s best practices in the agriculture sector.

On his part, the Sudan envoy commended the Zambian president over his participation in various regional bodies. (NAN)
 
Wasenge wote ni maadui wa Lungu


Ilani: Wasenge ni kiswahili fasaha
 
Wamarekani ni wapuuzi.

Ila watawala wa Africa ni takataka na wapuuzi zaidi.

Mmarekani Ni Adui Wa Tawala Za Africa Lakini Mpaka Sasa Ndiye

"Rafiki Wa Kweli Wa Mwafrika Wa Chini Yaani Wa Kawaida"
 
Haya matapeli ya kisiasa wakati wako nje ya mifumo ya utawala wanataka utawala bora ila wakishapata nafasi wanaona hakuna mwingine anayefahamu uongozi zaidi yao!

Watu walihangaika na wakoloni na wakafanikiwa kuwaondoa wakoloni wengine kwa kutumia ushawishi na wengine kwa gharama za damu ya wananchi wao. Leo cha kushangaza hawa viongozi wamechukua nafasi za wakoloni weupe wao wakiwa wakoloni weusi.

Ilitegemewa kuwa baada ya wazungu/wakoloni kuondoka Waafrika tujipangie mambo yetu kwa manufaa ya wananchi wote lakini wengine wamebaki kulinda matumbo yao na vyama vyao

Kwa mfano hapa Tanzania kuna shida gani wananchi wasiwe na katiba mpya ambayo mchakato tena kwa gharama za kodi ya wananchi ulishaanza?

Kuna tatizo gani kusiwe na tume huru ya uchaguzi?

Sasa watawala wanaogopa nini kusiwe na mambo kama hayo kwa wananchi wao?
 
Rais huyu mpumbavu sana

Nilimuona punguani siku aliyokusanya wananchi uwanja wa mpira eti wanamuomba mungu alete mvua

Rais wa nchi badala ya kuleta solutions ya matatizo anaenda kusalisha upumbavu

Na ukiona Mirais ya kipumbavu hivi inalia lia na Ulaya ujue ni mipumbavu inashindwa ku exist duniani hapa na superpowers!

Lazima uwe na uwezo wa ku co exist na hold your own as a nation,sio unalia lia crying wolf!
 
Nchi za Africa zilijikomboa kutoka katika mikono ya wakoroni
part one

Pia nchi za afrika zinahitaji kujikomboa na kuwa na uhuru kamili part two
 
Kauli kama hizi ni za kawaida kwa watawala wa kiafrika. Huwezi ukaongelea sovereignty wakati wewe ni omba omba.

Zambia ni moja ya nchi zinazonigwa na madeni luluki huku zaidi ya nusu ya watu wake wakiishi kwenye lindi la umaskini sasa amefanya nini kuiondoa nchi yake ktk janga hilo? Hamna kitu ni ziro tu.
 
Back
Top Bottom