TCRA bila kuwa na mkutano wa pamoja na mafundi simu mtafunga wengi

Asilimia kubwa ya iphones znazotumika bongo zimeflashwa so zina IME za kichna.
IMEI ya kichina na kimarekani au UK si sawa tu, sidhani kama ukiflash na imei inabadilika, kuna wengine wameagiza kutoka amazon na ebay za huko huko marekani na zimegoma kuhakikika
 
That was well said.
Mkuu kwa asilimia 99 TCRA wanakosea kusema neno kuflash eti ni kosa.
Inamaana mimi simu yangu inawaka tu Huawei na haimalizii je niifanyaje? niitupe ninunue nyingine na baada ya muda nayo ikiingia virus wa monkey nifanyaje? niitupe?

Flashing means reinstalling the operating system(OS) of the cell phone. In this process, we erase the entire OS and install a new OS. This will repair any problem that was there before due to the OS being corrupt.

The signs of any problem in the software of a mobile phone are as follows:

  • Slow processing
  • Frequent freezing or hanging
  • Sometimes, your handset may not switch on if its OS become corrupt.
  • Restarting automatically or switching off automatically frequently.
Maelezo mazuri kwa wakati baadhi ya terms za kifundi hawazijui
 
Hamna
Unataka TCRA wakaombe ushauri kwa mafundi wa vibarazani wakaenao na kupata ushauri nini cha kufanya? TCRA wanafanya mambo kitaalam kwa mitambo maalumu ambayo hata wewe huijui, ikiwa watakosea watarekebisha mambo lakini sio kulinda ajira za mafundi simu kwa visingizio vya kesi. Hutaki mahama zifanye kazi?
Hamna fundi makini anakaa vibarazani wa vibarazani ni matapeli wengine ni mafundi saa waliiojifanya madalari na wanaowapa simu wawatengenezee ni wajinga kama weye unayewafuata vibarazani wengi walio na lessen mimi ndio mwalimu wao na wanamaisha mazuri
 
IMEI ya kichina na kimarekani au UK si sawa tu, sidhani kama ukiflash na imei inabadilika, kuna wengine wameagiza kutoka amazon na ebay za huko huko marekani na zimegoma kuhakikika
hapo kuna ujanja wanatumia lakini sasa wameshindwa kwa kuwa zimerudi mitaani kama kawa hsa SONY na Samsung chip aina Spedrum.
 
Wana JF,

Napenda kuwataarifu kuwa TCRA imejiandaa kuwa na kesi nyingi za mitandao pamoja na vijana mafundi simu waliojitafutia ajira kwa njia ya kutengeneza simu za mikononi na kutengeneza ajira.

Mpaka sasa kuna vijana waliojiajili zaidi ya laki tatu , karibu kila kona kuna fundi simu wa software and hardware, hii huduma ilianzishwa na vijana watundu Yahaya mapua, Peter Lema na Mwesiga Reginald, mwaka 1999, hii ilionekana kuwa ajira mpya kwani ilikuwa inaiingiza kipato sana, pamoja na kuwa na matatizo mengi, kadri vijana walivyoendelea kukosa kazi, walijikita kwenye ufundi zaidi hadi kuwa wengi, ilipofika mwaka 2005, mambo yakabadilika, ufundi ulionekana uhuni kwani fani hii iliingiliwa na vijana ambao hawakuwa na ujuzi , vijana hawa walitoka kwenye secta yao ya kutengeneza saa na kuvamia ufundi simu, wakati huo wakiwa wamejisajili kwenye vyama vyao WAMASA( mafundi saa)

Vijana hawa walifanya uharibifu mkubwa sana mpaka kukawa na kesi za simu nyingi zilizoharibiwa kwa kuchoma choma na kifaa kama hothair gun , kifaa cha kuunguza nywele dry hair , hapo ndipo heshima ya ufundi ilipotea.

Kwa nini nimeamua kuandika kuwa TCRA wanatakiwa kukutana na vijana waliojiajiri kutengeneza simu ili kuwanusuru na kifungo, hii ni kwa sababu ya kupunguza vijana wataoathrika na zoezi hili.

1. TCRA hawajui kwa nini kumekuwepo vijana wengi watengeneza simu, na katika simu hizo huwa wanatengeneza nini?

2. TCRA awajui au wanafanya makusudi kutumia neno ku-flash linatumika muda gani,

3. TCRA viwango vyao vya uchunguzi kuhusu jinsi ya kubadili Imei Number bila kwenda kwa fundi bado kuna utaalam ndogo.

4. TCRA hawajawahi kukagua mafundi na kuwauliza changamoto wanazokutana nazo na wao kutoa elimu jinsi ya kuwaondolea tatizo hilo , badala yake wame-copy sheria za nchi fulani na kuziweka kama zilivyo.

5. TCRA hawajaweza kudhibiti apps, gapps ambazo zinaweza kutumika kubadili imei zilizojazwa kwenye playstore.

Namaliza kwa kusema kuwa, watanzania wenzangu mafundi simu wamekuwepo miaka mingi kwa ajili ya kusaidia watu ili simu zao ziweze kutumika, kuna siku zimu zinastuck, zinaingia virus kama vile time service, monkey test , englis, adobe air, street view na nk, software za android zinakufa, hivyo bado mahitaji ya kuwepo mafundi simu.

TCRA wanachotakiwa kufanya ni kuzuia mafundi saa kutumia nembo ya mafundi simu na kuondoa vibao vyao vinavyowatambulisha kuwa mafundi simu ili kupunguza malamiko ya hapa na pale, TCRA inatakiwa kuwa na orodha ya mafundi na lesseni zao wanaotambulika kisheria kwani mafundi saa wenye vimeza pamoja na uharibifu hawalipi kodi. Ikiwa kuna tatizo mafundi simu wanaweza kutoa ushirikiano mkubwa sana kukomesha hata uharifu kwa kutumia simu bandia.
Maelezo yako ni mazuri ila kusema mwaka 1999 ni nyie 3 ndiyo mlianza ufundi huo ni uongo that time ujaanza wala ujulikani kbs walikuwepo Hima kimeo na Mengi wa post enzi hizo ni mobitel analogi na Steve wa kkoo miaka hiyo.

Hoja yako ni nzuri Tcra wanatakiwa wajue na wanajua kwamba mtu unaweza kusahau password/userlock nk na watambua kwamba mitandao yote ya simu tz awana service center kwa matengenezo ya simu hata kwa simu wanazouza wao wenyewe hiyo inawapatabu wateja wao wenyewe na sehemu pekee wanakopatia uvumbuzi nikwa mafundi simu huku mitaani.

Shida ingine nikwamafundi simu wenyewe walipaswa wawe wamejisajili wote nchi nzima kisha wote wapewe nembo maalum yakuwatambulisha na hii ni baada yakukidhi vigezo na masharti ya umoja wa mafundi simu tz ivyo wanakuwa ni rasmi na hawa wenye vimeza wote watafutwa wenyewe au kukamatwa maana watakuwa cyo rasmi ivyo usalama wa mteja na mali yake inakuwa salama kupitia usajili na nembo ya umoja akifanyiwa chochote chama kinakuwa chakwanza kumtetea mteja kabla kesi ajakweñda popote.

Sasa kwa umoja huu na ushirikiano ndipo mngekuwa na nguvu yakuishawishi Tcra na wao wawasikilize nakufanyia kazi mapendekezo yenu yote lkn kwa mgawanyiko mlionao wakulalamika one by one bila shaka mtafutiwa wote kutengeneza simu maana kuflash amwezi kutetea kwa kujenga hoja kwa pamoja huyu anaongea hivi huyu vile Tcra wanachukua mwanya huo huo kuwatandika
 
Wazo wazuri, nyongeza wasajiriwe watambulike, na kama mtu anataka kuflash au kutoa lock yake kwenye simu, unatakiwa uende na kitambulisho kinachotambulika kama Cha Taifa, passport au License ya gari, fundi simu anatoa kopi anabaki nayo,
Ikitokea tatizo ni rahisi kukupata uliyeleta hiyo simu, kuzuia kufungua simu nami sikubaliani nayo,
Nimeshaenda mara nyingi kwenye kampuni ya simu wanashindwa ma sister Du na ma brothermen lakini vijana wa mtaani wanafungua na ni simu yangu halsli.
 
Maelezo yako ni mazuri ila kusema mwaka 1999 ni nyie 3 ndiyo mlianza ufundi huo ni uongo that time ujaanza wala ujulikani kbs walikuwepo Hima kimeo na Mengi wa post enzi hizo ni mobitel analogi na Steve wa kkoo miaka hiyo.

Hoja yako ni nzuri Tcra wanatakiwa wajue na wanajua kwamba mtu unaweza kusahau password/userlock nk na watambua kwamba mitandao yote ya simu tz awana service center kwa matengenezo ya simu hata kwa simu wanazouza wao wenyewe hiyo inawapatabu wateja wao wenyewe na sehemu pekee wanakopatia uvumbuzi nikwa mafundi simu huku mitaani.

Shida ingine nikwamafundi simu wenyewe walipaswa wawe wamejisajili wote nchi nzima kisha wote wapewe nembo maalum yakuwatambulisha na hii ni baada yakukidhi vigezo na masharti ya umoja wa mafundi simu tz ivyo wanakuwa ni rasmi na hawa wenye vimeza wote watafutwa wenyewe au kukamatwa maana watakuwa cyo rasmi ivyo usalama wa mteja na mali yake inakuwa salama kupitia usajili na nembo ya umoja akifanyiwa chochote chama kinakuwa chakwanza kumtetea mteja kabla kesi ajakweñda popote.

Sasa kwa umoja huu na ushirikiano ndipo mngekuwa na nguvu yakuishawishi Tcra na wao wawasikilize nakufanyia kazi mapendekezo yenu yote lkn kwa mgawanyiko mlionao wakulalamika one by one bila shaka mtafutiwa wote kutengeneza simu maana kuflash amwezi kutetea kwa kujenga hoja kwa pamoja huyu anaongea hivi huyu vile Tcra wanachukua mwanya huo huo kuwatandika

Mkuu umenikumbusha huyu mengi ndo alikua hapa mbele ya azam? Ofisi yake ni kigorofa cha mbao hivi
 
Na bado yupo hapo hapo mpk leo mkuu hao ndiyo tulianza nao miaka hiyo ikaja tritel ndo gsm yakwanza kabla mobitel awajahamia digital
 
Maelezo yako ni mazuri ila kusema mwaka 1999 ni nyie 3 ndiyo mlianza ufundi huo ni uongo that time ujaanza wala ujulikani kbs walikuwepo Hima kimeo na Mengi wa post enzi hizo ni mobitel analogi na Steve wa kkoo miaka hiyo.

Hoja yako ni nzuri Tcra wanatakiwa wajue na wanajua kwamba mtu unaweza kusahau password/userlock nk na watambua kwamba mitandao yote ya simu tz awana service center kwa matengenezo ya simu hata kwa simu wanazouza wao wenyewe hiyo inawapatabu wateja wao wenyewe na sehemu pekee wanakopatia uvumbuzi nikwa mafundi simu huku mitaani.

Shida ingine nikwamafundi simu wenyewe walipaswa wawe wamejisajili wote nchi nzima kisha wote wapewe nembo maalum yakuwatambulisha na hii ni baada yakukidhi vigezo na masharti ya umoja wa mafundi simu tz ivyo wanakuwa ni rasmi na hawa wenye vimeza wote watafutwa wenyewe au kukamatwa maana watakuwa cyo rasmi ivyo usalama wa mteja na mali yake inakuwa salama kupitia usajili na nembo ya umoja akifanyiwa chochote chama kinakuwa chakwanza kumtetea mteja kabla kesi ajakweñda popote.

Sasa kwa umoja huu na ushirikiano ndipo mngekuwa na nguvu yakuishawishi Tcra na wao wawasikilize nakufanyia kazi mapendekezo yenu yote lkn kwa mgawanyiko mlionao wakulalamika one by one bila shaka mtafutiwa wote kutengeneza simu maana kuflash amwezi kutetea kwa kujenga hoja kwa pamoja huyu anaongea hivi huyu vile Tcra wanachukua mwanya huo huo kuwatandika
Hongera kwa kumbu kumbu, uliowataja hakuna aliyekuwa anatengeneza simu kwa kutumia komputer, enzi izo za analogy simu za kwanza \\\Digital, zilikuwa mtorola star tek, ericsson t10, siemens s10, nokia 3210 alcatel , samsung a100, ikaja a200 ya kukunja, uliowataja, walikuwa wanabadilisha ice za anolgy wakati unaitwa utumbo, wanaprogramm number, kutoka kwa vijana waliokuwa mobitel, kumbuka kampuni ya kwanza tritel iliyokuwa inamilikiwa lugemalila, ilianza miaka ya 90's, simu za kwanza zilikuwa zikiuzwa laki 8 mpaka 1m , walikuwa na fundi wao aanaitwa PETER lema, huyu alikuwa mtundu sana kwenye hardware baada ya kuona anakutana na simu nyingi sina tatizo la software akamtafuta mwalimu waka ambaye alikuwa anafundisha dar tek, wakaanza kufuatilia program, ili kukabiliana na tatizo, baada ya kufanikiwa peter akaacha kazi, wakati huo mimi nilikuwa kwenye kampuni fulani natengeneza komputer, utafiti wa sotware tulikuja kuufanikisha mwaka 2000 baada ya kupata michoro ya kuunda kable yenye TX RX CC, Ground tukatengeneza kwa kufuata kitu kinaitwa test point, siwezi kusema ni wa kwanza moja kwa moja maana mimi ndiye nikuwa mtaalamu wa ericsson, sony, siemens kwa sababu baada ya kugundua wenzetu wana vifaaa nikaviagiza, wakati huo, hakuna aliyekuwa anajua jinsi ya kuagiza vifaa nje, uliowataja mpaka leo hawajui software, watafute wakuambie nani ni nani
 
Nafikiri ujaelewa unaongea na nani ndonana ila tuyaache hayo tuje kwenye main point aswa ya post hope umeelewa mchango wangu wa mawazo hapo
 
Wana JF,

Napenda kuwataarifu kuwa TCRA imejiandaa kuwa na kesi nyingi za mitandao pamoja na vijana mafundi simu waliojitafutia ajira kwa njia ya kutengeneza simu za mikononi na kutengeneza ajira.

Mpaka sasa kuna vijana waliojiajili zaidi ya laki tatu , karibu kila kona kuna fundi simu wa software and hardware, hii huduma ilianzishwa na vijana watundu Yahaya mapua, Peter Lema na Mwesiga Reginald, mwaka 1999, hii ilionekana kuwa ajira mpya kwani ilikuwa inaiingiza kipato sana, pamoja na kuwa na matatizo mengi, kadri vijana walivyoendelea kukosa kazi, walijikita kwenye ufundi zaidi hadi kuwa wengi, ilipofika mwaka 2005, mambo yakabadilika, ufundi ulionekana uhuni kwani fani hii iliingiliwa na vijana ambao hawakuwa na ujuzi , vijana hawa walitoka kwenye secta yao ya kutengeneza saa na kuvamia ufundi simu, wakati huo wakiwa wamejisajili kwenye vyama vyao WAMASA( mafundi saa)

Vijana hawa walifanya uharibifu mkubwa sana mpaka kukawa na kesi za simu nyingi zilizoharibiwa kwa kuchoma choma na kifaa kama hothair gun , kifaa cha kuunguza nywele dry hair , hapo ndipo heshima ya ufundi ilipotea.

Kwa nini nimeamua kuandika kuwa TCRA wanatakiwa kukutana na vijana waliojiajiri kutengeneza simu ili kuwanusuru na kifungo, hii ni kwa sababu ya kupunguza vijana wataoathrika na zoezi hili.

1. TCRA hawajui kwa nini kumekuwepo vijana wengi watengeneza simu, na katika simu hizo huwa wanatengeneza nini?

2. TCRA awajui au wanafanya makusudi kutumia neno ku-flash linatumika muda gani,

3. TCRA viwango vyao vya uchunguzi kuhusu jinsi ya kubadili Imei Number bila kwenda kwa fundi bado kuna utaalam ndogo.

4. TCRA hawajawahi kukagua mafundi na kuwauliza changamoto wanazokutana nazo na wao kutoa elimu jinsi ya kuwaondolea tatizo hilo , badala yake wame-copy sheria za nchi fulani na kuziweka kama zilivyo.

5. TCRA hawajaweza kudhibiti apps, gapps ambazo zinaweza kutumika kubadili imei zilizojazwa kwenye playstore.

Namaliza kwa kusema kuwa, watanzania wenzangu mafundi simu wamekuwepo miaka mingi kwa ajili ya kusaidia watu ili simu zao ziweze kutumika, kuna siku zimu zinastuck, zinaingia virus kama vile time service, monkey test , englis, adobe air, street view na nk, software za android zinakufa, hivyo bado mahitaji ya kuwepo mafundi simu.

TCRA wanachotakiwa kufanya ni kuzuia mafundi saa kutumia nembo ya mafundi simu na kuondoa vibao vyao vinavyowatambulisha kuwa mafundi simu ili kupunguza malamiko ya hapa na pale, TCRA inatakiwa kuwa na orodha ya mafundi na lesseni zao wanaotambulika kisheria kwani mafundi saa wenye vimeza pamoja na uharibifu hawalipi kodi. Ikiwa kuna tatizo mafundi simu wanaweza kutoa ushirikiano mkubwa sana kukomesha hata uharifu kwa kutumia simu bandia.
Hivi apps unazithibiti vipi kwenye playstore wewe ukiwa kama TCRA? hapo ndo umeniacha bila bila..
 
R.

R.I.P YAHAYA MAPUA LEO TAREHE 10/08 MIDA YA SAA MOJA JIONI MWAKA HUU 2020 YAHAYA KAFARIKI DUNIA
 
Mkuu huyu alikuwa wapi? Mara ya mwisho kuonana naye ilikuwa 2007
Msiba upo wapi?
 
Alikuwa hapa kahama tunafanya mawasiliano na ndugu na jamaa zake huenda tukamsafirisha kwenda dar au mtwara itategemea na maamuzi ya ndugu Leo
 
Tcra walishawahi kukutana na mafundi simu ila sanasana wakawapa sheria zao kama kutobadiri ime lakini kama unavyotujua watanzania ni mafundi wachache walijitokeza .
Kuna mafundi makini ukifika ofisini kwao wanakwambia kabisa hawabadiri ime ila kwa sababu wengi ni wajanjawajanja wanafanya vitu hivyo.
 
Alikuwa hapa kahama tunafanya mawasiliano na ndugu na jamaa zake huenda tukamsafirisha kwenda dar au mtwara itategemea na maamuzi ya ndugu Leo
Do poleni sana , namfahamu vizuri sana ila sikujua alipo kwa miaka. karibu kuni iliyopita
 
Back
Top Bottom