Salaamu
Karibu ujipatie PDF za mazao mbali mbali,
Zipo PDF za mazao 11 (1. Viazi Mviringo 2. Hoho 3. Tikiti Maji 4. Vitunguu Maji 5. Parachichi 6. Kabichi 7. Pilipili Kali 8. Karoti 9. Bamia 10. Nyanya, 11. Tango).
PDF zimeeleza kila kitu unachohitaji kujua kuhusu zao husika, kuanzia...
-Nauza nyumba yangu, ambayo bado sijaezeka (boma limeshafika kwenye lenta), ina vyumba viwili (kimoja ni master), pamoja na sebule,
-Nyumba (Boma) Ipo barabarani kabisa, ni umbali wa kilomita 1 kutoka Ituha mwisho wa lami.
-Saizi ya kiwanja ni 20m kwa 20m, nyumba iko ituha-mbeya, karibu kabisa...
SALAMU WAKUU
Nauza nyumba yangu, ambayo bado sijaezeka, ina vyumba viwili (Kimoja ni master), pamoja na sebule,
Saizi ya kiwanja ni 20M kwa 20M, Nyumba iko Ituha-Mbeya, karibu kabisa na shule ya Jifunzeni High school
-Kwa wenyeji wa mbeya, ukiwa unatokea mjini mbeya kuja Nane nane stend, au...
RAV4 OLD MODEL, INATAKIWA HARAKA SANA , IWE KWENYE HALI NZURI, IWE MANUAL, NO B NAKUENDELEA, MILANGO 5, KM ZISIZIDI 120,000, BEI MILIONI 6-7,, Simu/WhatsApp 0744302645
Habibu B. Anga
Hongera kwa kazi nzuri mkuu
Kwa heshima yako Kiongozi, naomba niweke link hii ya hii operation, ili kwa wale wanaopenda kuifuatilia wafanye hivyo
ASANTE SANA
Chachu Ombara
Kiongozi heshima yako
Nakupa tu taarifa kwamba, siku nyingine unapokopi material toka sehemu moja si mbaya uka aknowledge source
Hii umekopa partlly toka katika hii blog yangu..KILIMO MAARIFA: KILIMO CHA PARACHICHI (AVOCADO), na content hizo hizo zilikuwa katika uzi wangu mama...
Tafuta pia Kinatishi sumu ( Aqua wet,aquat sticker) utakachomix na hizo dawa,ili kusaidia zisiondolewe na mvua mapema,na kusaidia kuingia ndani kwa haraka. Ukipiga dawa ndani ya masaa 3 mvua ikinyesha basi dawa yoote imeondoka.
QUOTE="kijani11, post: 25284510, member: 201241"]Yah unyevu upo...
Mkuu polesana, Hiyo ni Bacteria Leaf spot, kuisimamisha isienee zaidi check Active Ingredient inaitwa Mono- Di Potassium Phosate ( Agrifos 400- Jina LA kibiashara), tumia Cppper na Booster ( Omex au PotPhos) kuipa nguvu mimea ambayo haijashambuliwa. Huenda kuna unyevu mwingi eneo lako La shamba...
Junior Nicky
Kiongozi salamu, nimepata ujumbe wako
Unaweza fanya kilimo hicho
Kama unategemea mvua basi fanya kabla ya mvua kuanza na kabla ya mvua kuisha
Kama utapenda kutumia njia za kumwagilia (Kuweka drip line) unaweza kufanya wakati wowote wa kiazi, endapo utakuwa na kisima au maji ya...
Kajirutaluka
POLE SANA MKUU
HIYO HUITWA BAKA JANI WAHI (EARLY BLIGHT)
DAWA ZINGINE UNAZOWEZA KUTUMIA, KUTIBU UKUNGU/FANGASI, NI MULTI POWER PLUS 78WP, NATIVO, NA OTHELLO (AZOXTROBIN 250g/L)
KWA SASA NG'OA HIYO MIMEA, NA TIBU UDONGO, NA PANDA MIMEA JAMII YA GALLIC (VITUNGUU) , RUDIA TENA...
tzhello
POLESANA (NIMEKUJIBU KULE INBOX), LAKINI KWA FAIDA YA WENGINE
TAFUTA DAWA ZA WADUDU HIZI,1. KARATE MIX NA 2. DIMETHOATE (DUME), MIX KWA KIPIMO CHA MILS 10 KILA MOJA KWA MAJI LITA 15, KISHA SPRAY ASUBUHI AU JIONI, ILA NAWE UWE NA PPE MAANA DAWA HIZO NI KALI SANA ZIKIKUINGIA...
Huenda udongo ni kichanga sana, na maji hupotea haraka
Pia yaweza kuwa ni wadudu hasa white flies, hao huleta virusi vya majani vinavyosababisha majani kujikunja kwenda juu
PIGA BOOSTER NDANI MIX NA DIMETHOATE TENA PIGA JUU NA NYUMA YA MAJANI, RUDIA KILA BAADA YA SIKU 14, CHINI ZUNGUSHIA...
hiyo ardhi haitakufaa mkuu kwa kilimo cha mipapai
MIPAPAI ikiwa michanga itakufa sana kwa sababu ya kukakamaa kwa udongo-Soil compaction, mizizi haitakua vizuri
Hiyo ni Bakteria wilt Mkuu
Tafuta uzi wake humu, nilikwisha ueleza na namna ya kujikinga/kupunguza maambukizi
Bad enough udongo wako ni kichanga, na huo ugonjwa hupiga sana katika maeneo hayo. NDIO MNYAUKO PEKEE AMBAO MIMEA HAIPUKUTUSHI MAJANI
Wakati wa mvua nyingi tumia Eden F1, au Shanty F1, au Milele F1 au Bingwa F1. Kwa eka 1 unahitaji miche 11,000, mmea unatoa kilo 1-5/wiki3-wiki 8 za mavuno, hii ni kutegemea na matunzo yako (Mbolea, Madawa, udhibiti wa wadudu)
Eden gram 50-60 inatosha kwa eka 1, andaa kati ya laki 3- 450,000
Hiyo Yara Nitrabor unaweza itumia wakati wa mimea ikiwa na matunda COZ INA POTASSIUM (K) nyingi
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.