Kiwanja (20M X 20M )chenye boma kinauzwa Ituha --Mbeya Tsh 10.5 Milioni

kilimomaarifa.tajiri

JF-Expert Member
Sep 8, 2015
574
409
SALAMU WAKUU

Nauza nyumba yangu, ambayo bado sijaezeka, ina vyumba viwili (Kimoja ni master), pamoja na sebule,

Saizi ya kiwanja ni 20M kwa 20M, Nyumba iko Ituha-Mbeya, karibu kabisa na shule ya Jifunzeni High school

-Kwa wenyeji wa mbeya, ukiwa unatokea mjini mbeya kuja Nane nane stend, au Ukiwa unatokea Nane nane stend kuja mjini, mita chache tu unaingia kushoto kwako barabara inayoelekea Ituha, Utapita George town hotel, utaendelea kushuka na hiyo barabara ya ituha ya lami, utavuka reli mpaka Ituha mwisho wa lami, kisha unashika njia ya vumbi kushoto kwako umbali kama wa kilomita 1, mbele kidogo ya kibao cha Jifunzeni High School.

-Nyumba iko barabrani kabisa, Nguzo ya umeme iko nje ni kuvuta waya tu, na maji yako mita 100 kutoka hiyo sehemu

KARIBU SANA TUWASILIANE, MIMI ndiye mwenye nyumba. HAKUNA CHA DALALI:

WASILIANA NAMI MMILIKI: Simu (WhatsApp): 0744 302645

BEI: 10.5 MILLIONI (TSH), -MAZUNGUMZO YAPO, KARIBU SANAA


IMG_20191105_112815.jpg
IMG_20191105_112630.jpg
IMG_20191105_112408.jpg
IMG_20191105_112712.jpg
IMG_20191105_112323.jpg
1588452343053.png
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom