Search results

  1. Nyangomboli

    Saidieni huyu mtu kwa anaemfahamu

    Maelezo yako kwa picha. Please.
  2. Nyangomboli

    Kubota generator 15kva for sale

    Mwenye kulitaka ani PM.
  3. Nyangomboli

    General Tyre inauzwa kesho, na EL ndiyo mnunuzi kwa B5

    Wanajamvi, kwa habari au tetesi nilizopata kama lisaa limoja lililopita ni kwamba General Tyre kesho inapigwa mnada na EL atanunua kupitia watu wake. Je, kama ni kweli kuna umuhimu wa kufanya hivyo? Kwa nini tusipinge na badala yake Serikali ikifufue kiwanda pekee kama kile? Naomba kuwasilisha.
  4. Nyangomboli

    Traffic Police.

    Wana jamvi niko safarini kuelekea Mwanza lakini ninachokiona kwa matrafiki wetu kwanza ni usumbufu pili ni wizi au rushwa ya wazi. Tangu kutoka Arusha mpaka Babati tumeweza kusimamishwa zaidi ya mara 10. Majengo, Arusha AirPORT, KISONGO, DUKA BOVU, MTI MMOJA, MAKUYUNI, MINJINGU, MBUYU WA...
  5. Nyangomboli

    African Cup of Nations

    Wakuu wa salaam aleikhum. Nikisubiria mchezo wa Zambia na Ivory coast king'amuzi kimekata KBCpekee. Niangalie chanel gani? I have the star times and free to air receiver. Hapa nimepata presha. Aide moi jamani.
  6. Nyangomboli

    Zitto kabwe ndani ya ch ten now

    Jamani zitto ndani ya ch 10 na ni mahojiano yanahusu uchumi. its nice na mwenye uwezo wa ch 10 acheck.
  7. Nyangomboli

    Nape awachimba mkwara wanaoanza kujipanga kuwania urais 2015. Vua gamba ndiyo imeanza?

    Nimeangalia taarifa ya habari ya saa mbili usiku na nimemshuhudia bwana NAPE akisema atashughulika na wanaoanza kujipanga kwa urais wa 2015 sasa. Amesema wanapoteza muda na kawaasa waache kufanya hivyo. Ni wapiga campaign na wale wanaopigiwa. Katumia lugha ya kigeni hapo”Wanaokubali kuwekewa...
  8. Nyangomboli

    Arusha na tatizo la umeme

    Nduguzanguni, nilikuwa na kiziara uchwala huko HANDENI, SIMANJIRO, SAME , MWANGA pia KARATU. Kwa kweli nimeshangaa sana kuona huko mgao haupo na kama kuna tatizo la umeme basi ni la kawaida tu na si kama hapa kwetu ARUSHA. Swali langu ni kwa wenzangu wenye uelewa mpana kidogo juu ya mambo haya...
  9. Nyangomboli

    Kituo cha mafuta ruvu kabla ya daraja la treni

    ndugu zangu wana JF, nilitoka DAR ES SALAAM wiki mbili zilizopita na nikajaza petrol pale kituo cha mafuta cha RUVU sikumbuki jina lake lakini kiko mkono wa kushoto kama unakwenda CHALINZE. NIKAJAZA LITA 43 NA NILIPOTOKA KAMA KILOMETER 10 GARI LIKAANZA MISS. NIKAENDESHA NA MISS ZAKE HADI ARUSHA...
  10. Nyangomboli

    Msaada wa ukokotoaji wa kodi kwa magari

    Wakuu, natamani ku bid gari la mwaka 2004 ambalo ni la ubalozi. Ni TOYOTA LANDCRUISER, SUBARU FORESTER. Nikibid kwa mfano M4 kwa kila moja au mojawapo wa hayo hapo juu, ushuru unaweza kuwa kiasi gani? Natanguliza shukrani zenu. yameingia nchini mwaka huo wa 2004. naogopa kuingia kichwakichwa TRA...
  11. Nyangomboli

    Mchangiaji kuhusu katiba mpya jina MJUNI GEORGE na sauti ni PIUS MSEKWA

    Mungu nisamehe mie. Mchangiaji wa mwisho kwenye maada iliyokuwa inaendeshwa na STAR TV kwa kujitambulisha kwa jina la MJUNI GEORGE NA HUKU SAUTI YAKE NI KAMA ILE YA PIUS MSEKWA hapa nimekoma. Ninamshauri pia atambue hao wanaopiga simu ndo wanamchi wenyewe na haingewezekana wote kupata nafasi ya...
Back
Top Bottom