Kituo cha mafuta ruvu kabla ya daraja la treni | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kituo cha mafuta ruvu kabla ya daraja la treni

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Nyangomboli, Aug 6, 2011.

 1. Nyangomboli

  Nyangomboli JF-Expert Member

  #1
  Aug 6, 2011
  Joined: Nov 24, 2010
  Messages: 2,307
  Likes Received: 649
  Trophy Points: 280
  ndugu zangu wana JF, nilitoka DAR ES SALAAM wiki mbili zilizopita na nikajaza petrol pale kituo cha mafuta cha RUVU sikumbuki jina lake lakini kiko mkono wa kushoto kama unakwenda CHALINZE. NIKAJAZA LITA 43 NA NILIPOTOKA KAMA KILOMETER 10 GARI LIKAANZA MISS. NIKAENDESHA NA MISS ZAKE HADI ARUSHA. NIMELIPAKI HADI LEO NIKALIPELEKA GARAGE. WAMELIFANYIA DIAGNOSIS KWENYE COMPUTER WAMEKUTA LIMEUA SENSOR 2 NA SABABU NI MAFUTA YALE. HAPA NINAHAHA KUPATA NAMNA YA KUTAFUTA SENSOR HIZO. NA WASWAHILI HATUCHUKUAGI RECEIPT HATA SIWEZI SHITAKI. NAWATAHADHARISHA MSIWEKE MAFUTA KWENYE KITUO HICHO NA VINAVYOFANANA NA HIVYO KWANI MTAPATA HASARA KAMA ILONIPATA NDUGU ZANGUNI. NAWASILISHA.
   
 2. Preta

  Preta JF-Expert Member

  #2
  Aug 6, 2011
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 24,113
  Likes Received: 3,035
  Trophy Points: 280
  pole sana mkuu.....jitahidi upate jina la kituo ili na wengine tuweze kuwasusia hao wachakachuaji........ila siku nyingine uwe na mazoea ya kuweka mafuta katika vituo vya aina moja na ukumbuke kuchukua risiti
   
 3. masopakyindi

  masopakyindi JF-Expert Member

  #3
  Aug 6, 2011
  Joined: Jul 5, 2011
  Messages: 13,909
  Likes Received: 2,336
  Trophy Points: 280
  Hicho kituo kiko opposite na shule fulani ya msingi pale Ruvu Darajani.
  Kimsingi kituo hiki inaelekea ni mojawapo ya vile viwanda vingi vya uchakachuaji kayi ya Kibaha na Mlandizi.
   
 4. Mzito Kabwela

  Mzito Kabwela JF-Expert Member

  #4
  Aug 7, 2011
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 17,520
  Likes Received: 1,691
  Trophy Points: 280
  Petroli nayo inachakachuliwa?
   
 5. Wacha1

  Wacha1 JF-Expert Member

  #5
  Aug 7, 2011
  Joined: Dec 21, 2009
  Messages: 12,766
  Likes Received: 920
  Trophy Points: 280

  Ndio matatizo ya Tanzania kuna watu wanalipwa kufanya hizi kazi kwa maslahi ya walipa kodi lakini hakuna kitu.
   
 6. Gama

  Gama JF-Expert Member

  #6
  Aug 7, 2011
  Joined: Jan 9, 2010
  Messages: 9,224
  Likes Received: 1,411
  Trophy Points: 280
  Hebu ngoja kwanza: bunge la bajeti bado linaendelea, na bunge liliamua kupandisha kodi ya mafuta ya taa ili uchakachuaji usifanyike-sasa kama bado wanachakachua tufanyeje?, napendekeza tufanye mambo mawili: tuandamane kwenda kulisihi bunge likatishe vikao bcos hakuna manufaa. Tuandamane na kuteketeza vituo vyote vya mafuta vinavyo uza mafuta machafu.
   
 7. Michael Scofield

  Michael Scofield JF-Expert Member

  #7
  Aug 7, 2011
  Joined: Jul 30, 2011
  Messages: 1,218
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  We naona hauna ufahamu katika sekta hiyo....! be quit.
   
Loading...