Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

General Tyre inauzwa kesho, na EL ndiyo mnunuzi kwa B5

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Nyangomboli, Jul 13, 2012.

 1. Nyangomboli

  Nyangomboli JF-Expert Member

  #1
  Jul 13, 2012
  Joined: Nov 24, 2010
  Messages: 1,760
  Likes Received: 239
  Trophy Points: 160
  Wanajamvi, kwa habari au tetesi nilizopata kama lisaa limoja lililopita ni kwamba General Tyre kesho inapigwa mnada na EL atanunua kupitia watu wake.

  Je, kama ni kweli kuna umuhimu wa kufanya hivyo? Kwa nini tusipinge na badala yake Serikali ikifufue kiwanda pekee kama kile?

  Naomba kuwasilisha.
   
 2. The Son of Man

  The Son of Man JF-Expert Member

  #2
  Jul 13, 2012
  Joined: Feb 9, 2010
  Messages: 11,139
  Likes Received: 528
  Trophy Points: 280
  Ndo ujue serikali inayojichanganya, wanasema ni ya kijamaa lakini wanaamini katika ubinafsishaji
   
 3. marejesho

  marejesho JF-Expert Member

  #3
  Jul 13, 2012
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 6,263
  Likes Received: 541
  Trophy Points: 280
  Basi mambo yatakuwa yamebadilika!!!anayekiua kiwanda leo ndio mnunuzi??Na wale walioachishwa kazi watalipwa na nani?EL?
  Hii nchi imejaa miujiza kila kukicha!!!
   
 4. Kunta Kinte

  Kunta Kinte JF-Expert Member

  #4
  Jul 13, 2012
  Joined: May 18, 2009
  Messages: 3,557
  Likes Received: 62
  Trophy Points: 145
  Wameshauza kila kitu sasa hichi kimoja itasaidia nini? acha wamalizie tu, lakini wakae wakijua watakuja jibu tu muda si mrefu ujao!!
   
 5. zomba

  zomba JF-Expert Member

  #5
  Jul 13, 2012
  Joined: Nov 27, 2007
  Messages: 17,082
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  Habari hazina ukweli, imetangazwa bungeni na mwanasheria mkuu wa Serikali, baada ya Mbunge mmoja kutoa hoja ya dharura, kuwa mnada ulioamriwa na mahakama hautokuwepo tena umesimamishwa kwa pingamizi mahakamani.

  Usipotoshe Umma.
   
 6. Daudi Mchambuzi

  Daudi Mchambuzi JF-Expert Member

  #6
  Jul 14, 2012
  Joined: Nov 25, 2010
  Messages: 22,400
  Likes Received: 13,889
  Trophy Points: 280
  kwani jumamosi ni mbali??
   
 7. zomba

  zomba JF-Expert Member

  #7
  Jul 14, 2012
  Joined: Nov 27, 2007
  Messages: 17,082
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  Leo Jumamosi.
   
 8. LiverpoolFC

  LiverpoolFC JF-Expert Member

  #8
  Jul 14, 2012
  Joined: Apr 12, 2011
  Messages: 10,967
  Likes Received: 88
  Trophy Points: 145


  Wewe zomba! Nimeshakutahadharisha kitambo tu ya kwmb hebu somaga alama ya nyakati Ndg yangu!

  Lisemwalo hakika lipo na kama halipo hakika laja!
  Haya yote tumeshapataga tetesi kabla hata ya kuenguliwa Ubunge wa G. Lema!
  Na issue kubwa ya kuenguliwaga huyu Kamanda Ubunge tulijua kabisa ni uuzaji wa kiwanda hii na ni ili mafisadi waneemeshee A/C zao aingali Watanzania wanateseka!

  Ila hakika hawa ccm wanajiona wao ni wajanja lakini siku zote mbio za sakafuni itaishia ukingoni.
  Ngoja tuone kama machozi ya Watanzania wapatao elfu nne na mia tano waliokosa haki yao pale kama itaenda bure!

  Kama MUNGU tunayemtegemea hayuko hakika tutajuaga one day tu!

  Ngoja tuone usemi uliokuja!
   
 9. Chipukizi

  Chipukizi JF-Expert Member

  #9
  Jul 14, 2012
  Joined: Mar 12, 2009
  Messages: 1,768
  Likes Received: 93
  Trophy Points: 145
  Kuna matangazo katika gazeti la leo jumamos kutahadharisha watu juu ya mnada huo,kuwa ni batili
   
 10. WA-UKENYENGE

  WA-UKENYENGE JF-Expert Member

  #10
  Jul 14, 2012
  Joined: Oct 1, 2011
  Messages: 2,896
  Likes Received: 216
  Trophy Points: 160
  Ahsante mkuu kwa kunifungua zaidi kuhudu hawa mafedhuli.
   
 11. MNYISANZU

  MNYISANZU JF-Expert Member

  #11
  Jul 14, 2012
  Joined: Oct 21, 2011
  Messages: 7,049
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  Hakika Hon. Edward Ngoyai Lowassa ni mjasiriamali imara. Tumuige
   
 12. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #12
  Jul 14, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 24,407
  Likes Received: 1,111
  Trophy Points: 280
  True dat, mh yule bonge la mtu kama le mutuz alilisema hili bungeni na AG alitolea ufafanuzi kwamba mnada hautofanyika kwani serikali washaweka zuio mahakamani
   
 13. zomba

  zomba JF-Expert Member

  #13
  Jul 14, 2012
  Joined: Nov 27, 2007
  Messages: 17,082
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  Usichokielewa ni nini? haya leo ni Jumamosi, muulize Lema wako mnada upo au hakuna.

  Prove me wrong. Blah blah blah zanini?
   
 14. Wambugani

  Wambugani JF-Expert Member

  #14
  Jul 14, 2012
  Joined: Dec 8, 2007
  Messages: 1,733
  Likes Received: 38
  Trophy Points: 145
  Jumamosi ni leo. Vipi kinachoendelea?

  Nchi itajengwa na wenye moyo na italiwa na wenye meno.
   
 15. f

  filonos JF-Expert Member

  #15
  Jul 14, 2012
  Joined: Oct 13, 2011
  Messages: 629
  Likes Received: 57
  Trophy Points: 45
  SASA IVI NI JUMAMOS TUONE AU TUSIKIE kinacho endelea
   
 16. Ndachuwa

  Ndachuwa JF-Expert Member

  #16
  Jul 14, 2012
  Joined: Mar 8, 2006
  Messages: 4,165
  Likes Received: 326
  Trophy Points: 180
  Serikali imeshajivua shughuli za baishara Nyangomboli jipande wewe na ukoo wako na nyie mkanunue
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 17. Tram Almasi

  Tram Almasi JF-Expert Member

  #17
  Jul 14, 2012
  Joined: Feb 26, 2009
  Messages: 756
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 33
  So pingamizi lime work out? If so,what is next?
   
 18. Nyangomboli

  Nyangomboli JF-Expert Member

  #18
  Jul 14, 2012
  Joined: Nov 24, 2010
  Messages: 1,760
  Likes Received: 239
  Trophy Points: 160
  Ndaaga Baba!
   
 19. zomba

  zomba JF-Expert Member

  #19
  Jul 14, 2012
  Joined: Nov 27, 2007
  Messages: 17,082
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  Mnada umekwisha? Jumamosi ndio inaondoka hivyo, kwa shillingi ngapi?
   
 20. manuu

  manuu JF-Expert Member

  #20
  Jul 14, 2012
  Joined: Apr 23, 2009
  Messages: 3,909
  Likes Received: 8,992
  Trophy Points: 280
  Na hata mnada ungefanyika na EL ashinde kwani kuna tatizo gani?
  Watu hawana ajira wanataka kazi hawaangalii nani atawapa kazi so kuzuiliwa kwa huo mnada ni kuendelea kuumiza zaidi ya watz 300 ambayo wangepata ajira hapo.
   
Loading...